Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

But Wagner continue to advance in Bakhmut city. Today they’ve captured the Olympic school (1) and has been captured by the Wagner forces after a couple of weeks fighting.

Near the southeastern area, Wagner have taken more high rises after heavy urban combat (2)

The green-highlighted areas are currently contested by both sides

 
Urusi imepeleka ‘Sky Scanner’ Niobium Radars Ukraine zenye uwezo wa kudetect Fighter Jets, UAV, zikiwa na range hadi 500 Km

View attachment 2619119
Hili Taifa limeshindikana halijawahi kushindwa kuhusu mambo ya medani anaweza akawa hana silaha ila ktkt ya vita majibu yanapatikana kwa changamoto apatazo upande wa pili
 
Mkuu mimi niliona tangazo sasa tu. Ukiwa na habari tafadhali tuambie: zilitumika lini na wapi?
Taarifa zote nilizoona kuhusu roketi za masafa marefu upande wa Ukraine zilihusu roketi za zamani zilizofanyiwa mabadiliko, hivyo zilikuwa chache sana.
 
Hili Taifa limeshindikana halijawahi kushindwa kuhusu mambo ya medani anaweza akawa hana silaha ila ktkt ya vita majibu yanapatikana kwa changamoto apatazo upande wa pili
Mkuu ukitaja historia, basi tusiende mbali mno na historia halisi. Katika karne ya 20 Urusi ilipigania vita zifuatazo:
# Vita dhidi Japani 1905 - Urusi ilishindwa ikaona mapinduzi
# Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia - iliisha katika uasi wa jeshi la Kirusi na mapinduzi
# Vita dhidi ya Poland mnamo 1920 - iliisha kwa ushindi wa Poland

# Vita dhidi ya Finland - iliisha kwa ushindi wa Urusi baada ya kupoteza askari wengi; Urusi ilipaswa kukubali kuwepo kwa Finland
# Vita Kuu ya Pili ya Dunia dhidi ya Ujerumani - Urusi ilkuwa mshindi mmojawapo, pamoja na kupokea misaada mingi kutoka Marekani
# Uvamizi wa Afghanistan 1979 - Urusi ilishindwa ikapaswa kuondoka
# Uvamizi wa kwanza wa Chechnya 1994 - Urusi ilishindwa ikapaswa kuondoka
(hadi kurudi 1999)

Je kweli "halijawahi kushindwa kuhusu mambo ya medani" ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…