Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Mpaka wazir shoigu kusimama na kuweka hadharani,ujue walipokea kipigo haswa[emoji16]Command post ya Urusi ilipigwa jana
Wamekufa viongozi wakubwa zaidi ya 20 wakiwemo
Kamanda wa brigade ya 124
Makanali 2
Wanadhimu
Wasaidizi mbali mbali
Haya yamethibitishwa na MoD Shoigu
Alafu zelensiky analetewa hizi taharifa akiwa kwenye misele yake huko [emoji16]Command post ya Urusi ilipigwa jana
Wamekufa viongozi wakubwa zaidi ya 20 wakiwemo
Kamanda wa brigade ya 124
Makanali 2
Wanadhimu
Wasaidizi mbali mbali
Haya yamethibitishwa na MoD Shoigu
Nguchiro yuko kwenye handakiAlafu zelensiky analetewa hizi taharifa akiwa kwenye misele yake huko [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu sitaki kuharibu furaha yako. Ila hadi sasa Urusi haikuonyesha dalili nyingi kwamba ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".NATO wapuuzi sana wanaipa silaha Ukraine halafu wanaipa mifumo ya ulinzi ya miaka ya 50 huko huku wakijua fika Russia ina uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa ndani na nje ya Ukraine.
MmmmhCommand post ya Urusi ilipigwa jana
Wamekufa viongozi wakubwa zaidi ya 20 wakiwemo
Kamanda wa brigade ya 124
Makanali 2
Wanadhimu
Wasaidizi mbali mbali
Haya yamethibitishwa na MoD Shoigu
Information war imepamba Moto...
Hatimae Urusi imekiri kuuawa kwa makanali wake huko BakhmutKumekuchaaa
[emoji102]
[emoji1255] source Tsaplienko: Russian HQ in Klishchiivka near Bakhmut was struck on the night of 13 May.
Colonel Makarenko and Colonel Mazur, both from the 4th Separate MRB + Colonel Tretyak from the 2nd Army Corps were killed.
There is also information that in Klishchiivka, the 2nd battalion of the 124th Separate MRB demanded that the brigade commander personally lead them into position, and he died during the shelling…
NATO wapuuzi sana wanaipa silaha Ukraine halafu wanaipa mifumo ya ulinzi ya miaka ya 50 huko huku wakijua fika Russia ina uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa ndani na nje ya Ukraine.
Ukraine nayo ndo kichwa Cha mwenda wazimu kabisa, unakubali vipi kupewa mawe upigane na adui alie na bunduki?
Ama kweli siyo kila mwenye kichwa ana akili, wengine vichwa wanafugia nywele na kuhifadhia meno nulimi tu.
Mkuu sitaki kuharibu furaha yako. Ila hadi sasa Urusi haikuonyesha dalili nyingi kwamba ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".
Kama wangekuwa na uwezo huo, Ukraine isingekuwa na Himars iliyosababisha Jeshi la kirusi kukimbia Kharkiv na Kherson. Wala na mfumo wa IRIS inayolinda vizuri sana mji mkuu wa Kyiv, wala zile beteri za Patriot.
Kama wamefaulu sasa unaweza kuwapongeza ukipenda.
Ila ninashangaa nikisikia habari hapa za watu wanaodai kujua ni kiasi gani cha silaha kilichoharibika na thamani yake ilikuwa nini . . . . Sijaona Waukraine walitangaza chochote, hivyo yale yote ni zaidi kama ndoto kuliko habari.
We jamaa mpiga porojo sanaMkuu sitaki kuharibu furaha yako. Ila hadi sasa Urusi haikuonyesha dalili nyingi kwamba ina "uwezo wa kupiga sehemu yeyote, Kwa muda wowote na kwa usahihi mkubwa".
Kama wangekuwa na uwezo huo, Ukraine isingekuwa na Himars iliyosababisha Jeshi la kirusi kukimbia Kharkiv na Kherson. Wala na mfumo wa IRIS inayolinda vizuri sana mji mkuu wa Kyiv, wala zile beteri za Patriot.
Kama wamefaulu sasa unaweza kuwapongeza ukipenda.
Ila ninashangaa nikisikia habari hapa za watu wanaodai kujua ni kiasi gani cha silaha kilichoharibika na thamani yake ilikuwa nini . . . . Sijaona Waukraine walitangaza chochote, hivyo yale yote ni zaidi kama ndoto kuliko habari.
Hivi hiyo HQ ilikua haina Air defenses [emoji124]Russia wenyewe wamekiri kuwa Makanali 2 waliualiwa jana
Makambanda na Msaidizi waliuawa pia
Inasemekana watu zaidi ya 20 wamefyekwa kwenye hilo shambulio Bakhmut
Bakhmut hakuna ADSHivi hiyo HQ ilikua haina Air defenses [emoji124]
Hii ni hatariRussia wenyewe wamekiri kuwa Makanali 2 waliualiwa jana
Makambanda na Msaidizi waliuawa pia
Inasemekana watu zaidi ya 20 wamefyekwa kwenye hilo shambulio Bakhmut