Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu mtu kama kp kipanya44 anakuja na statistics zake kwamba leo wa Russia 650+ wameuliwa...
 
Mkuu, jamaa ni bingwa wa propaganda za wa west huyo hivyo lazima atakuja kukubishia kwa kiswahili chake cha ku-google
 
Hhii ishhu ya bakhmut namlaumu sna waziri wa ulinzi wa Russia na putin pia bakhmut ilikuwa kitambo sana ianguke ili wasogelee maeneo mengine ili kupunguzaa nguvu ya mashambulizi ya ukrein uko mbeleni ila kwa kuendekeza ushkaji umepeleka ugomvi wa maneno kati ya waziri wa ulinzi na mkuu wa wegner kikossi ambacho kimetumia nguvu kubwaa sana pale bakhmut kaama wangekisapot kwaa asilimia mia kisilaha na mashhaambulizi ya angani Leo hii ili eneo wangeshalichukua mda mrefu, ni wakati wa kumtoa waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi wakati huu huu ambao mambo hayaako saawa kusubiri zaidi ni kuzidi kutengeneza Bomu la kiutendaji mbeleni
 
Wengine wanasema trap[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kichapo Ni meta kwa meta.
Russian tanks in Bakhmut terrify Ukrainian soldiers - New York Times “Russian troops are furiously storming the city. Artillery fire, rocket and air strikes do not stop for a minute. Every meter of the city is now under fire. Russian tanks are causing nightmares,” Ukrainian member say.
 
Hii vita inapiganwa zaidi kijasusi, ukikaa vibaya unafanyiwa suprise.

Tuwape heshima urusi kwa hiki wanachotuonyesha kwenye ulimwengu wa inteligensia, si jambo rahisi hata kidogo kusimama na jamii ya watu walioamua kuungana kwa dhumuni la kukudhibiti.
-------

Ilya Yansen reports with high of degree of certainty that the successful Russian strike on the military target in Khmelnitsky hit a very large stockpile of depleted uranium munitions delivered to Ukraine officially (by UK) and unofficially (by other Western actors).
 
Unknown persons committed sabotage on the British warship HMS Glasgow

The contractor recorded about 60 cut cables on the ship, the Telegraph newspaper reports.

HMS Glasgow is a representative of the British Type 26 frigates of the new generation. It is designed for anti-submarine and anti-aircraft defense, as well as general-purpose operations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…