kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Vip,hii habari unayo??Leo mko makini sana kwenye uchaguzi wa maneno, mkuu. Hii ni baada ya kuumbuka sana jana. PROBABLY!
Sergei Shoigu aliwaonya vile mnavyoshindwa kutambua aina ya makombora ya Russia ndivyo mnavyokosea shabaha za kuyatungua.
We know who you are Umshana,unajisumbua,mavi utayaita keki ilimradi tu utetee handlers wako,the CIA and Western Goverments,how evil,people should scorn you off.Watu wanakuwa exposed to radiation and possibly death, halafu wewe unaleta hadithi zako za kijinga zilizotungwa hapa.Hakuna mnururisho wa juu nchii Poland!
Hapa unaleta propagansa kipumbavu hasa kuhusu hali ya mnururisho nchini Ukraine. Ilhali unakopi kwenye tovuti za njama za Marekani pekee, hujali habari halisi.
Kwa bahati nzuri nchini Poland kuna ramani rasmi inayoonyesha vipima vya kila siku. Ona chini ramani ya 18 Mei 2023. Kila kitu kama kawaida:
View attachment 2626062
Chanzo: Państwowa Agencja Atomistyki
Maelezo: New data on the radiation map of Poland - National Atomic Energy Agency - Gov.pl website
Tena link yako ni kipumbavu zaidi. Inaonyesha mnururisho kutoka Bizmut kuwa juu. Metali ya Bimuth haina hatari ya afya ikiwa nururifu ambayo ni haba. "in 2003 Bismuth was discovered to be weakly radioactive. The metal's only primordial isotope, bismuth-209, experiences alpha decay at such a rate that its half-life is more than the estimated age of the universe."
Ukitaka kupinga lete data halisi. Hutaleta badala yake utaleta mahubiri yako ya kawaida kuhusu Wayahudi (Khazarian Mafia) na fujo nyingine . ..
Kipanya, Zelensky yuko wapi?Ulitaka zelensiky ampokee mjumbe kutoka china? Masihara haya!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu nadhani sisi sote tunajua kanuni namba 1 hapa jamiiforums:We know who you are Umshana,unajisumbua,mavi utayaita keki ilimradi tu utetee handlers wako,the CIA and Western Goverments,how evil.Watu wanakuwa exposed to radiation and possibly death, halafu wewe unaleta hadithi zako za kijinga zilizotungwa hapa.
Wewe Umshana possibly ni CIA moron na Mzungu,possibly seated in the American Embassy in Dar es Salaam or working with the USAID or even one of an American bizarre NGOs for spreading American shit around the World.So what you are putting across cannot be any better,it's what we expect out of you,and what the Mockingbird Media has provided you.
Mavi si matusi,ni Kiswahili fasaha kabisa.Mkuu nadhani sisi sote tunajua kanuni namba 1 hapa jamiiforums:
Asiye na hoja anatukana!
Usisahau kupiga mswaki, maana ukiweka maneno kama "mavi" mdomoni mwako mara kwa mara, harufu inabaki.
Nashukuru kwamba umethibitisha nilichosema: huna jibu kuhusu mnururisho wala kuhusu bismuth - majibu yako ni mahubiri au "mavi" (nukuu yako!)
Basi matusi fasaha (labda jisomee kuhusu lugha fasaha; neno "mjinga" ni lugha fasaha kabisa, isipokuwa ukitumia maneno fasaha kutukana watu unatumia matusi...)Mavi si matusi,ni Kiswahili fasaha kabisa.
Wewe unayechukuwa Swahili translation ya Google Translate ukaibwaga JF ndiye unayejua Kiswahili!?Umshana kama huna point ya maana kaa kimya,you look stupid,usitetee ujinga.Basi matusi fasaha (labda jisomee kuhusu lugha fasaha; neno "mjinga" ni lugha fasaha kabisa, isipokuwa ukitumia maneno fasaha kutukana watu unatumia matusi...)
Na bado huna jibu kuhusu mnrurisho wala bismuthi !
Kumbe hii habari ni kweliVip,hii habari unayo??
[emoji298][emoji298][emoji298]Russian Hypersonic Missile Scientists Face Accusations of Treason
Senior Russian scientists have warned that the continued arrests of their colleagues is in danger of destroying their ability to conduct the research essential to protecting their nation.[emoji298][emoji298]
Read more on our website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji298][emoji298]The Estonian parliament adopted a statement in support of Ukraine's NATO accession on May 17.
The statement urges NATO allies to invite Ukraine to join the alliance and formulate "concrete and unequivocal steps" needed to speed up the accession process at the July NATO summit.
Learn more: Estonian parliament calls for 'concrete steps' on Ukraine's NATO accession at Vilnius summit
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zelle ana ziara isiyo na mwisho mkuu.Zelensky yupo wapi?
Zelensiky bado ataendelea kula bata sana [emoji1787]Zelensky yupo wapi?