Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

đź’« Bloomberg: Pentagon prepares new $2 billion air defense package for Ukraine. The Pentagon is set to announce a substantial long-term arms package for Ukraine, emphasizing air defense capabilities, valued at over $2 billion
 
Mkuu, ni kwamba hao wengine wooote ni mashabiki tu. Hawana jipya. Achana nao kabisa. Nisikilize mie niko huku Bakhmut Oblast. Hali ni shwari hasa, naona tu wingu zito kwa mbaali, nadhani Iskander BM inatumwa kazini hivyo.
 
Propaganda ni nyingi mno! Na usishangae wala kuwalaumu ma'reporter' maana uongo ni silaha hatari sana inayotumika kumnyong'onyeza adui yako ili hatimaye kumshinda!
 
Kinachokufanya uamini hawa ni wakweli na wale ni waongo ni nini? Aliyoandika huyu umeyashuhudia kwa macho yako au na wewe unasimuliwa na wawindaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…