Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

💫 US announces $2.1 billion in military aid to Ukraine.

The aid package includes HAWK air defense systems and missiles, Puma reconnaissance drones, additional ammunition for Patriot air defense systems, 105mm and 203mm artillery rounds.
 
💫 US announces $2.1 billion in military aid to Ukraine.

The aid package includes HAWK air defense systems and missiles, Puma reconnaissance drones, additional ammunition for Patriot air defense systems, 105mm and 203mm artillery rounds.
Kweli Russia kidume,baada ya mwezi utatangazwa mzigo mwingine!
Kweli jamaa walikuwa sahihi,silaha zozote za NATO zitachomwa na hazitabadili chochote!
 

Ule umeisha???
 
Mkuu si ajabu kama Leopard2 inalipuliwa. Hakika zitalipuliwa katika vita hiyo. Ila - nasubiri picha yake. Sijaiona, Kinyume nimeona picha ya trekta iliyoitwa Leopard 2.
Lete mkia wa paka!
Hata trekta aina ya combine harvester meonekano wake hata uki-zoom in au zoom out kutoka wenye cameras za loitering Drones vina onekana wazi ni vifaru vilivyo tiwa kiberiti na Putin, Putin aliwaonya tangu mwanzo kwamba silaha zote hasa vifaru vya magharibi vitatiwa kiberiti vikijiingiza kwenye mgogoro/vita ya Uktaine - nyie mkamchukulia kauli ya Putin poa kabisa!!

Kuna taarifa kwamba usiku wa leo 9/06/03 ndio Putin atazidi kuendeleza kufanya vitu vyake kwa kasi mpya na nguvu mpya - Zelensky akiendeleza kiburi chake na jeuri Ukraine itaangamia na wala Biden hatafanya lolote la maana zaidi ya kuitisha mikutano na makongomano na NATO yasiyo kwisha huku Ukraine inaendelea kuteketea na wanajeshi wake kutolewa kafara kwa niaba ya foreign policy za Merikani - Chuki binafsi za Biden kumuhusu Putin ndio amepania hata Dunia nzima iangamie kutokana na nuclear xchange between the USA na Russia ili kihakikisha Ukraine haishindwi na Russia kwa gharama yoyote ile ili kulinda heshima ya the so called NATO/USA alliance, wakati mwingine NATO/USA wana akili za ajabu sana.
 
Ukiona CNN wamesema hivi wakati wao ni team upinde ujue yanewafika shingoni..
 
Updates:

Habari za uhakika kabisa kutoka jikoni Kremlin na kuletwa kwenye njia maalum za mawasiliano zasema kwamba, mzee Yevgheny Prigozhin amepewa rasmi jukumu la kuishughulikia Belgorod na kuondoa kero zilizopo hapo.

Vikosi vya Wagner vipo njiani kuelekea Belgorod baada ya likizo ya wiki mbili kula bata katika maeneo mengine.

Wakati huohuo mkuu wa CIA William Burns, kwa siri ametia timu mjini Beijing kuonana na maofisa wa serikali ya China kuomba China wafungue njia nyekundu ya simu ambayo China waliizima tangia suala la puto la kijajusi lilipoleta mfarakano wa kidiplomasia.

Mazee Burns aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Russia kati ya mwaka 2005-2008.

Nae kanali mstaafu wa jeshi la Marekani Douglas MacGregor ametoa ushauri kwa Marekani kukubali kuwa Ukraine yazidi kupoteza askari wake na pia vifaa vyenye gharama vya kivita.

Mwisho, kuna mpango wa NATO na Marekani kutumia vikosi vya kutoka Poland kama chambo kuingia Ukraine jambo ambalo litaleta madhara zaidi kwa Poland na pia huenda huo ndo ukawa mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia. Hivi sasa serikali ya Marekani na Pentagon bado wachezea karata kutafuta waungaji mkono na kushinikiza Poland awe chambo.

Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule kati ya nchi na nchi lakini Marekani na washirika wake huu ni muda muafaka kwa kuketi na kujadili amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…