D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kudadeq.......mambo yanaendeleaWagner wana recruit vijana wapy, mwisho wa maombi ni june 28.
Wahuni wanakwenda kumtandika poland mitaa ya belgorod
Application requirements:
1 Willingness to walk more than 700 km in two weeks
2 Ability to learn 7 phrases in Polish: Hands in air
Drop weapon
Take off your clothes
It's your own fault
This is for Belgorod
Kurwa
As 1612
3 We do not accept vegetarians
Pro Russia now mshaanza kujua why Russia hawataki Ukraine ijiunge NATO na Kwa nini Russia wanaogopa vita na Mataifa ya maana ya Ulaya.
Kuilinda Russia kutoea Ukraine ni kazi sana sababu ni tambarare, kwa hiyo mtu anayeshambulia wakati usio wa Baridi au Ardhi ikiwaa kavu anakuwa hazuiliki...
Imagine Russia walitumia miezi 8 kupigana Bakhmut na walikuwa wanapiga hatua ya mita kadhaa, ila now Russia wanarudi nyuma Si chini ya Kilometers 1000
acha chai.aisee...kama umelewa kalale...Pro Russia now mshaanza kujua why Russia hawataki Ukraine ijiunge NATO na Kwa nini Russia wanaogopa vita na Mataifa ya maana ya Ulaya.
Kuilinda Russia kutoea Ukraine ni kazi sana sababu ni tambarare, kwa hiyo mtu anayeshambulia wakati usio wa Baridi au Ardhi ikiwaa kavu anakuwa hazuiliki...
Imagine Russia walitumia miezi 8 kupigana Bakhmut na walikuwa wanapiga hatua ya mita kadhaa, ila now Russia wanarudi nyuma Si chini ya Kilometers 1000
Adumu Vladimir PutinMsafara wa Leopard tank unateketea kama vile mchezo wa kuigiza.Wanatembea kama vile ni msafara wa kwenda harusini kumbe wapo uwanja wa vita.
Kwa hali hii muda sio mrefu watoa silaha watamkimbia
Leta tuchome moto sisi tuko TayariMzigo mwingine huo kwa Ukraine..... ni Tshs 4.9 Trillions za Kitanzania.
US announces $2.1bn military package for Ukraine
The US Department of Defense has announced an additional $2.1bn military package for Ukraine that it says includes air defence support and ammunition.i
It will provide additional munitions for Patriot air defence systems, Raytheon HAWK air defence systems and missiles, 105mm and 203mm artillery rounds, AeroVironment Puma unmanned aerial systems, laser-guided rocket system munitions and support for training and maintenance, the department said in a statement.
Ukraine Security Assistance Initiative funds will be used to purchase the weapons, allowing President Joe Bidenβs administration to buy weapons from the defence industry rather than pull from its own stocks.
if so, you could have finished the so what your calling "military operation in Ukraine".Leta tuchome moto sisi tuko Tayari
Mzee Putin anakaribia kuwa comedian.Ukrainian troops had no success due to courage of Russian servicemen β Putin: Ukrainian troops had no success due to courage of Russian servicemen β Putin
Kwa hali hii wanaotoa izo silaha wanajisikiaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
PUMBAVU. Hivi unafahamu km 1000 nini??Pro Russia now mshaanza kujua why Russia hawataki Ukraine ijiunge NATO na Kwa nini Russia wanaogopa vita na Mataifa ya maana ya Ulaya.
Kuilinda Russia kutoea Ukraine ni kazi sana sababu ni tambarare, kwa hiyo mtu anayeshambulia wakati usio wa Baridi au Ardhi ikiwaa kavu anakuwa hazuiliki...
Imagine Russia walitumia miezi 8 kupigana Bakhmut na walikuwa wanapiga hatua ya mita kadhaa, ila now Russia wanarudi nyuma Si chini ya Kilometers 1000
Military operation mbona tuliimaliza kitambo sana, sasahivi tunachofanya ni kulinda mipaka dhidi ya magaidi nakuwaadhibu pale wanapo ishambulia nchi teuleif so, you could have finished the so what your calling "military operation in Ukraine".
π π πMilitary operation mbona tuliimaliza kitambo sana, sasahivi tunachofanya ni kulinda mipaka dhidi ya magaidi nakuwaadhibu pale wanapo ishambulia nchi teule