Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah,wanadamu tupo na tunaangalia tu,huku misingi ya ubinadamu wetu ikisambaratishwa wazi wazi kabisa.Na hakuna siri tena,Shetani ametangaza Vita dhidi ya binadamu.Watch this very disturbing clip[emoji116]


Huna tofauti na wale wanaoedit picha kule Facebook Ili kuwavutia subscribers

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]
si unaona alivoenda fanya usafi huko watu wanajipanga kutalii taliii yeye chap kesha fanya yake na kurudi alipotokea watu tukawa tuna sikilizia mlio unatokea wapi .....ooo mara wataliii mara civilians aisee ....
Hivi huyu akienda huwa anarudi? Nilifikiri anajitoa mhanga kama yule wa Iran
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
huyu anarudigi home akishaenda kukinukisha kwa jirani fasta fasta anarudi nyumbani mpaka uvunguni alafu anasikilizia kinachoendelea huko...
Asante sana. Huyu ni mzuri zaidi maana anapunguza gharama... Kazi yake anapeleka upupu anarudi nyumbani kuchukua upupu mwingine wakati adui akiendelea kujikuna 🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Asante sana. Huyu ni mzuri zaidi maana anapunguza gharama... Kazi yake anapeleka upupu anarudi nyumbani kuchukua upupu mwingine wakati adui akiendelea kujikuna [emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji3][emoji3]
ok wale wanaoendaga kujitoa muhanga alafu hawarudi wana maumbile madogo madogo sana ...

huoni huyo popo ni very giants ... angalia vile vigari kuleee nyuma ya ndege hilo dude ni kubwa na jamaa yuko juu yake
View attachment 2676707
 

Attachments

  • IMG_20230628_225243.jpg
    44 KB · Views: 17
Huna tofauti na wale wanaoedit picha kule Facebook Ili kuwavutia subscribers

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama picha imekuwa edited si jambo la msingi sana,it is the content that really matters.Yaliyo ongelewa hapo ni kweli au sio kweli that is what is important.Afterall why should I edit,napata faida gani hasa,nothing.

Wewe ni Satan's minion and moron,kwa hiyo una haki ya kumtetea,and I believe you have sold your soul to him.
 
Unaijua zugzwang wewe???? Hii ndiyo inamkumba Zelensky kwenye counteroffensive!!!!!!!!!!!!!! Bado ile ya mapinduzi!!!!!!!!!!! Warusi wanapenda sana kucheza chess!!!!!!!!!!!!Hasa Putin!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


What does zugzwang mean in a chess game?​


It means you are in a position where you have no good moves, but you must make a move anyway (zugzwang is German for “compulsion to move”). If you are in ...

Source: Quora
 
Zelensky anahaha na Wagner.

🇺🇦 Ukrainian President Volodymyr Zelensky announced on the Telegram channel that he ordered the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valery Zaluzhny to implement a package of measures to strengthen the position of the Ukrainian army in the direction of Belarus
 
Wameanza visingizio!!!!!!!!!!!!!!


Ukraine says offensive plans marred by lack of arms​

Commander-in-chief of Ukraine’s military says its counteroffensive plans are hindered by the lack of adequate firepower, from modern fighter jets to artillery ammunition, in an interview with the Washington Post.


Source: Aljazeera:30/06/2023
 
MAFUNZO toka Nato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…