Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanajitetea sana.
Kwani wanaogopa Nini?
 

Ni kwamba Wallace anataka kuingiza Ukraine kwa njia yoyote ile wewe fuatilia kauli zake. Kama atakua Secretary General ina maana kwamba atafanya kila kitu Ukraine iingie NATO. Sasa Ukraine ikiingia NATO inamaana article 5 itahusika, swali ni kwamba hao NATO wataweza kuingia vita na Russia?? Jibu ni HAPANA hakuna nchi ambayo iko tayari direct War na Russia.

Hii inamaana kama NATO watafeli hapa inamaana NATO/WEST wataonekana wameiogopa Russia automatically itapelekea kuzidi kuaibika duniani si kitu mbele ya Russia. Hata mimi ningekua Biden ningekataa tu. Maana akili za uyo jamaa anataka kuipeleka NATO vitani na Russia.
 
🤣🤣🤣 Tanzania gani unayoizungumzia??
 
Wakilazimisha kuingiza Ukraine ujerumani haitashiriki na nchi nyingi zitakataa, maana watakuwa wamevunja sheria za NATO zinazokataza nchi iliyopo kwenye vita kupewa uwanachama
 
Ni zaidi ya wiki mbili Sasa hypersonic missile hazisikiki Tena

Shikamoo patriot[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya apewe maji tafadhali koo limemkauka [emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Top US General ‘Not Surprised’ By Ukraine’s Slow Offensive

Ukraine’s counteroffensive against Russia will be highly costly for its troops and will continue for a few months, US Chairman of the Joint Chiefs of Staff Mark Milley said on Friday.

Speaking at the National Press Club in Washington, DC, the top US military commander offered his take on the Ukraine conflict, saying, “It doesn’t surprise me at all” that Kiev’s much-hyped counteroffensive is going slower than expected.

“I had said this is going to take six, eight, ten weeks. It’s going to be very difficult. It’s going to be very long, and it’s going to be very, very bloody,” he said, noting that Kiev’s advance has been hampered by Russian minefields.

“No one should have any illusions about any of that,” he stressed, adding that Ukraine is fighting for survival against a strong adversary.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…