kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tangu vita ianze leo ndo mabomu yamefunguliwa si mchezo mpaka kwa watoa maamuzi ya mwisho.Leo Tu-95 zipatazo 12 zilikuwa airbone, vp kuna mwenye taarifa zimefanya nini?
Tunakifuatilia hicho kipigo kwa karibuLeo Tu-95 zipatazo 12 zilikuwa airbone, vp kuna mwenye taarifa zimefanya nini?
Na yametunguliwa kama senene,khinzal 33 zimeshushwa chiniTangu vita ianze leo ndo mabomu yamefunguliwa si mchezo mpaka kwa watoa maamuzi ya mwisho.
Naamini mchawi lugha iwe ni identity yako na siyo kwamba UNASAVAIVU kupitia gugoKwa hiyo nimepatia au nimetipwika
Piga haooooTutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56]
[emoji298]another 590 Russian occupiers have been eliminated in Ukraine in the past 24 hours, according to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.[emoji298]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mifumo ya ulinzi wa Anga ya Ukraine yadungua makombora 36 ya Urusi
....
Ukraine's air defence shoots down 36 Russian missiles
Ukraine’s air defence forces shot down 36 cruise missiles fired from the territory of the Russian Federation on Ukraine in the afternoon of 26 July.www.pravda.com.ua
Safi sana pastor mathanzua ,kwa mara ya kwanza Leo umeleta habari hambayo imeusuuza moyo wangu, [emoji56][emoji56]BREAKING NEWS: "MAIN THRUST" OF UKRAINE COUNTER-OFFENSIVE "HAS BEGUN"
26 JULY 2023
Four (4) U.S. Defense Officials have told me this afternoon into this evening that the “Primary Thrust” of the Ukrainian Offensive in the Southeast of the Country has begun.
Thousands of Soldiers who have been trained and equipped by Western Nations are now "pouring" into the Region.
Massive artillery battles between Russian and Ukrainian Forces are now RAGING in the Zaporizhzhia Region as these forces Mass for a large move against Russia.
Put simply, "this is it."
This is "Make-or-Break" for Ukraine . . . and for NATO.
As of this moment, it is completely unpredictable what will take place, where, how fast, or what the consequences might be.
The whole world is in very real peril, right now.
[emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]Piga haoooo
Ukraine [emoji1255] baba laoooo