Wao wanajidai wanahaki ya vitisho...dunia imebadirika sana..huyo NK atafanya chochote na hakuna watamfanya..US sio police wa dunia..anajipa umuhimu sana....yaani anajifanya kama vile CCM wanavyotufanya TZUzuri wa US huwa hawataniagi.... stay turned.
“Providing weapons to Russia for use on the battlefield to attack grain silos and the heating infrastructure of major cities as we head into winter, to try to conquer territory that belongs to a modern sovereign nation – this is not going to reflect well on North Korea, and they will pay a price for this in the international community,” Sullivan told reporters.
Hivi zile bandari za Ukraine zilizo chakazwa na drones za Urusi zinaendeleaje? Ukraine washapewa ela na mabwana zao wa west kuzirekebisha?Hivi ndivyo tunavyoweza kusema baada ya mashambulizi ya drones za Ukraine kuwatia tumbo joto warusi Kwa takribani kila siku iendayo kwa molaView attachment 2741848
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bandari zote za ukraine kwisha kaziMimi nilifikiri zinapiga,kumbe zikiingia zinaangushwa kama ndege wa porini?
Fuatilia zile zinazorushwa na Russia kuelekea Ukraine zinaacha uharibifu kiasi?
Wewe andika tu mawazo yako, hili ni jukwaa huru.Hii vita sijaelewa mission yake, ni kupora mamlaka au kufanya uharibifu tu na kuacha. Maana Russia walitakiwa wawe wamemaliza show. Kuna siku nilijidai kutoa comments kwenye uzi wa vita kumbe nimeandika mambo ya ajabu, wala sirudii
Wengi wameukimbia Uzi baada ya kuona comments na matazamio Yao waliyokuwa nayo Manzoni ni kinyume kabisa na uhalisiaWewe andika tu mawazo yako, hili ni jukwaa huru.
Btw, hapa tunapashana tu kinachoendelea...usifikiri mawazo/comments za hapa zitabadili chochote kwenye hii vita.
Mkuu umeongea kitu kikubwa sana! Nimeipenda sana comment yako! Ukweli utabaki kuwa ukweli! Aliyeumia, ameumia hata afunikwe vipi na propaganda!Wewe andika tu mawazo yako, hili ni jukwaa huru.
Btw, hapa tunapashana tu kinachoendelea...usifikiri mawazo/comments za hapa zitabadili chochote kwenye hii vita.
Kwahiyo israel ameshindwa kuwa mkubwa kijeshi kwenye lile eneo kwa kuwa muda wote anamuwaza palestina?Hiyo ni kweli..,na ndoto ya urusi kuwa super pawer ndio inayeyuka hivyo, maana muda wote Kazi yake itakuwa na kumuwaza Ukraine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukrainian forces are gaining ground, breaking through Russian fortifications and liberating their land, proving that the Russian army, which used to be the second strongest in the world, has now become the second strongest in Ukraine, according to NATO Secretary General Jens Stoltenberg.Kwahiyo israel ameshindwa kuwa mkubwa kijeshi kwenye lile eneo kwa kuwa muda wote anamuwaza palestina?
hizi stori zinafaa vijiweni sio hapaUrusi ni madege na silaha tu ila askari hana kabisa, hata Burundi anamgonga mchana kweupe!
Ukrainian forces are gaining ground, breaking through Russian fortifications and liberating their land, proving that the Russian army, which used to be the second strongest in the world, has now become the second strongest in Ukraine, according to NATO Secretary General Jens Stoltenberg.hizi stori zinafaa vijiweni sio hapa