Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ngoja nieke kituo hapaNaona Ghana na wenyewe kumeanza kuwaka
View attachment 2711587
[emoji350] [emoji288][emoji1110] West Africa Freedom Rally [emoji110] The time is now for us to stop talking the talk and start walking the walk. The multipolar world is upon us. Today, we can reach across cultures and continents, we can help humanity. This is not just African liberation, it just begins in Africa, where we all began.
[emoji837]
Kama yule Dada Waziri wao wa Mambo ya Nje...nati dalini zitakuwa zimelegea yule si bure. German itazama kwa mwendo huu!
Kwa nini wanawake Huwa mnaoneana wivu sana?.,Sasa Kwa kuwa unaona huyo dada hambaye ni mwanamke mwenzio kakuzidi viwango ndo unaanza kumuonea wivu!Kama yule Dada Waziri wao wa Mambo ya Nje...nati dalini zitakuwa zimelegea yule si bure. German itazama kwa mwendo huu!
Pole sana. Ninajua kwa hakika haya uyaandikayo yanatokana na msongo wa mawazo ulionao. Kikubwa, jitahidi ku-manage hizo stress, vinginevyo utapigwa stroke shavu, Mkono, na mguu au ubavu mzima.mnaoneana wivu
Sawa bibie, lakini ilikuwa si kwa ubaya!Pole sana. Ninajua kwa hakika haya uyaandikayo yanatokana na msongo wa mawazo ulionao. Kikubwa, jitahidi ku-manage hizo stress, vinginevyo utapigwa stroke shavu, Mkono, na mguu au ubavu mzima.
Stress si nzuri kwa kijana nayetegea uwenda single mother wake ampe hela ya bando baada ya mother huyo kuuza vitumbua vya "iliki" vilivyokaangwa na mafuta ya sangara! Na inasikitisha zaidi kijana wake huyo anapotumia bando hiyo kujiabisha mbele ya Ulimwengu.
Usiku mwema, kama umeelewa haya maandishi.
Mchana Mwema, wasalimie wanaokujali.Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kuna ubaya gani Russia kuitegemea Iran?
bora huyu anategemea wachache
USA ANAITEGEMEA ISRAEL MAISHA YAKE YOTE NA NATO PIA
BILA HAO NO USA
NATO NI ZAID YA NCHO 30
Sisi waonambali tulikua tunanawasubri TU kwenye Kona..View attachment 2827012Huyu mbuzi ndio kutwa alikuwa Akiropoka ujinga wake
leo anakuwa mpole kisha ona Mambi sio Anasema
"Ukraine yenyewe lazima iamue ni njia gani ya kumaliza vita inaona inafaa."Stoltenberg.