Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hv BAKHMUT haikukombolewa tena eenh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bakhamut bwana ulikuwa iwanja wa kusaga nyama za Mesenaries na wajeshi wa UKRAINE, Ndipo Zelensiky akashauliwa na US uimalishwe Ulinzi ktk Vijiji wanavyomiliki.
Wasisonge mbele ktk vichinjio. Wiki iliyopita Urusi inajiimarisha ktk Viungo hivyo vya Ukraine na Majeshi ya Seleman yana retreat.
 
Naomba kuuliza maswali 5 ambayo siyajuhi!
1 . MAJIMBO 4 YALIYOTEKWA NA URUSI ATAYARUDISHA ENDAPO UKRAINE IKABAKI NEUTRAL?

Kwa kumbukumbu nilizo nazo na za uhakika Putin alishaweka wazi juu ya hili swali lako,alishalizungumzia.
Alisema hivi anakaribisha mazungumzo ya amani lakini majimbo aliyoyateka hayatakua sehemu ya mazungumzo.
2, JE MATAIFA YA MAGHARIBI YALIYOKUWA YAKITUMA MASHEAHI NA SILAHA NA KUSHINDWA KUREJESHA MAJIMBO DUNIA ITAMBUE WAMESHINDWA VITA?

Of course vita haijaisha rasmi.isipokua dalili zote zinaonesha kua Ukraine na NATO yake wamezidiwa kurudisha majimbo yaliyoyekwa na urusi,ndio maana unaona sauti zimeanza kupazwa kumtaka zelensky akubali mazungumzo ya amani na urusi.
Hii ni dalili kua kwenye uwanja wa mapambano wanaona hawatamshinda Tena Urusi.
Silaha walizotuma ni hasara kwao ama wataidai Ukraine iwe inawalipa taratibu.
Sio TU Dunia itambue kua west wameshindwa vita,Bali Dunia Sasa inatambua kua wameshindwa vita na urusi.
Hata wachambuzi na magazeti makubwa ya kimarekani na WA west wengine wameanza kutambua kua NATO wameshashindwa.
3. JE ENDAPO RUSSIA ASIRUDISHE MAJIMBO. RAMANI YA DUNIA ITABADIRIKA?

Hili lipo wazi kabisa.
Kwa sababu majimbo yote yaliyoyekwa na urusi yatakua sehemu ya Urusi.
Watakachokifanya west TU,ni kujitia kutoyatambua.lkn majimbo yote hayo yatakua yakitumia vitu vya Urusi badala ya Ukraine mfano passport,fedha,uchaguzi wa Rais na Wabunge,sheria,watakua wakilipa Kodi Urusi,uwakilishi wa kimataifa na kadharika.
Ramani ya Dunia Kwa upande wa west wao watakua wanaonesha kua majimbo hayo bado yapo Ukraine,lkn Kwa upande wa Urusi wao ramani Yao itaonesha majimbo hayo ni sehemu ya Russia.
Hali itaendelea hivyo kwa miongo kadhaa lkn mambo yatakua yakienda,Kuna nchi zitaanza kuyatambua kidogokidogo.


4, VITA HII UCHUMI WA URUSI UMEZOROTA NA HALI YA KISIASA INA SURA GANI?

Katika Hali ya kawaida nchi yoyote ilikiwekewa vikwazo vikali kama ilivyowekewa Urusi haiwezi kua sawa kiuchumi kama ilivyokua kabla haijawekewa.
Urusi ilikua inafanya biashara na ulaya yote na pia ilikua inategemea kufanya biashara kubwa zaidi na ulaya kuhusu Bomba la gesi lkn vikwazo na vita vimeirudisha nyuma.

Lengo la west lilikua ni kuiua kabisa Urusi kiuchumi na kisisasa,ikiwezekana kutokee machafuko na nchi igawanyike Putin aangushwe na nchi ikiwezekana isambaratike.
Lkn ukweli matokeo yamekua ni kinyume chake
Madahara Kwa upande wa kiuchumi yapo lkn ni madogo sivyo west walivyotarajia,Urusi imeweza kujiokoa na tatizo la vikwazo na uchumi kwa kutengeneza masoko sehemu nyingine na Sasa Iko vizuri.hata hivyo vikwazo na vita hivyo vimewaathiri sana na wao pia.
Hali ya kisiasa kwa Urusi Iko shwari kabisa na Putin anakubalika sana Sasa hivi nchini kwake kwa mijibu wa kura za maoni hasa kutokana na jinsi anavyowadhibiti NATO katika uwanja wa mapambano na hata kidunia anakubalika ,ndio maana utaona Sasa Viongozi wa nchi nyingi duniani wanaenda Moscow,mfano Viongozi kutoka Afrika,Asia na latin America.
Hata raia wa nchi za kiafrika kwa Sasa wanaona kama Urusi ndio mkombozi wao.mfano Niger,congo,Senegal,Mali n.k
Hii yote ni kukubalika kwa mwamba Putin ndani na nje ya Urusi.
4 JE TAIFA LENYE NGUVU ZA KIJESHI NA TECHNOLOGY NZURI YA SILAHA NI IPI 2023?

Namba hua hazidanganyi.
Kujua taifa lenye nguvu za kijeshi na tech nzuri ya silaha Kwa mwaka 2023 ni mpambano unaoendelea Ukraine.
Mshindi katika vita hii ndio mwenye nguvu za kijeshi na tech nzuri.
Iko hivi:
Kwangu Mimi taifa lenye nguvu na high tech ya silaha Kwa 2023 ni Russia.
Kwa sababu Russia peke yake kaweza kumudu vita hii mseto.
Urusi peke yake dhidi ya mataifa 40 yenye tech ya Hali ya juu mno,uchumi mkubwa na Kila aina ya silaha kutoka Kila nchi.lkn ni ukweli usio na mashaka kua Urusi katumia silaha ambazo hao NATO na wapambe wake wote hawana na wameshindwa kuzizuia,mfano hypersonic missile na mifumo ya kielectronic ya kuzima silaha zao.hii tech west wote hawana,USA kashindwa.hivyo kwa ushahidi huu na maelezo mengine hapo juu Urusi ndio taifa lenye nguvu na tech ya Hali ya juu zaidi Yao.
5. Vita ikiisha nani ataijenga UKRAINE?
Urusi hatajishughulisha kuijenga upya Ukraine,kwa sababu mshindi ndio mbabe,nani amfunge paka kengele?
Yeye Urusi anajenga miji aliyoichukua TU.
West wakiweza watajenga wao.
Naomba nihelimishwe bila mihemko wala
matusi.
Nimejaribu kujibu kama nilivyojaaliwa wengine wanaweza kunirekebisa na ama kuongezea.
 
Nimeshiba Sasa nasimama na haya majibu.
 
Ngoja nieke kituo hapa maana kurasa zambeleni zishagoma kufunguka[emoji52][emoji2955][emoji2955]
 
(1)Majimbo ya Crimea, Donensk, Luhansk, Kherson na Zaphorozphia tayari yashaondoka kwenye mikono ya Ukraine.kadri muda unavyozidi kwenda basi mipaka inazidi kutanuka.

Kama vita isipositishwa basi tutegemee kabisa mipaka kuongezeka zaidi
 

North Korea claims British aircraft carrier pictured by new spy satellite​

The surveillance system intended to monitor US and South Korean military activities has been internationally condemned


North Korea has claimed its newly launched military surveillance satellite has taken photos of a British aircraft carrier as well as US Navy vessels, the White House and the Pentagon.
Pyongyang last week successfully launched its first reconnaissance satellite, which it said was intended to monitor US and South Korean military activities. The launch was internationally condemned, amid concerns it could provide cover for the country’s illegal missile technology.
Kim Jong-un, the North Korean leader, personally viewed the latest imagery, taken late on Monday night, the state-run Korean Central News Agency reported on Tuesday.
 
(1)Majimbo ya Crimea, Donensk, Luhansk, Kherson na Zaphorozphia tayari yashaondoka kwenye mikono ya Ukraine.kadri muda unavyozidi kwenda basi mipaka inazidi kutanuka.

Kama vita isipositishwa basi tutegemee kabisa mipaka kuongezeka zaidi
Hapo Sasa Zelensiky atawambia nini wenye Taifa lao wakirudi toka ukimbizini?
 
Yupo zake mtimbila huko anapiga jembe, nasikia mvua imekubali huko nyumbani
 
Itakuwa ni mambo ya Rambo first blood part one
 
Na alikua ukimbana Kwa hoja kidogo yeye atatoa maelezo meeeeeeengi kuhusu silaha , logistics,uchumi,geografia,climate na Kila aina ya mbwembwe ili akuchanganye tu lkn yooote ni blabla TU.
Hivi yupo huyo jamaa humu JF ...au alikuwa active lini hapa jf ? Au kaamia nyuzi zipi tukamfulumue [emoji2957]
 
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
30 NOV, 22:28

Russia wins in Ukrainian conflict — The Economist​

The newspaper speculates that the conflict may last for many years

LONDON, The current situation around the conflict in Ukraine suggests that Russia may prevail due to the indecisiveness of Kiev’s Western allies, The Economist says.
"The West could do a lot more to frustrate Mr. Putin. If it chose, it could deploy industrial and financial resources that dwarf Russia’s. However, fatalism, complacency and a shocking lack of strategic vision are getting in the way, especially in Europe. For its own sake as well as Ukraine’s, the West urgently needs to shake off its lethargy," The Economist’s op-ed reads. "The reason a Putin victory is possible is that winning is about endurance rather than capturing territory."
The newspaper speculates that the conflict may last for many years, but Russia will be in a better position to continue the conflict than Ukraine after it replenishes its artillery munitions stockpile and ramps up its drone production. The Economist noted that Moscow successfully transfers the economy to military mode, it avoided a split among the elites and social unrest, and it continues to receive substantial income from oil trade, because Western attempts to limit the price for Russian oil failed "because a parallel trading structure has emerged beyond the reach of the West."
In these circumstances, "the mood in Kyiv is darker," the newspaper says, noting that the support for President Vladimir Zelensky has plunged, and internal political struggle has intensified. At the same time, while the Western states its readiness for a long-term support for Ukraine, doubts about the reasonability of this approach are growing. The process of allocation of additional support for Kiev has stalled, both in Washington and in Brussels, and the upcoming presidential elections in the US may complicate the situation even further. The Economist states that Europe does not seriously prepare for a potential return of Donald Trump, who may split Ukraine’s allies.

According to the newspaper, in 2025, the fatigue from the conflict may increase significantly in Russia, as well, but there is no reason to hope for the collapse of the regime. Therefore, Europe must get ready that Russia and its leadership will remain "the main long-term threat to its security." European countries will have to reform their defense structure with consideration of the fact that Russia will rearm itself and its forces will have significant combat experience.
The op-ed underscores that European countries will have to maintain their support for Kiev, ramp up their weapons production and provide Ukrainian forces with modern military vehicles. In addition, The Economist considers it necessary to show a true readiness to admit Ukraine to the EU, to help it carry out reforms, deal with corruption and prevent Russia’s alleged attempts to "to sabotage the country’s transformation into a Western democracy.".
Itakuwa ni mambo ya Rambo first blood part one
Sylvester Stallone as Johnny Rambo in the First Blood
 
Wenzagu, warusi wanachinjwa kwa idadi ya kusikitisha Wala sio utani..,hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miambili walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwasasa Dunia Imeamka sana
hebu fikiria Israel &Marekani wanahenyeshwa na Wavaa Kobasi wasio na Kifaru wala Silaha Yeyote
hawana Ad wala Nini Sasa Angalia Mziki wa China kwa sasa



Your browser is not able to display this video.

MChina kaamua Kutuma Ujumbe
Yaani NATO Wajipange

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…