lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Wangekuwa wanakufa kwa hiyo rate unayoripoti hapa kila siku, kwa muda huu ambao vita inatakribani miaka miwili basi hesabu ingekuwa kwenye laki 5-6. Hivi hicho kichwa chako kinauwezo wa kufanya analysis au nikuamuka na hayo matakwimu yako na kurusha humu.Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2849651
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukiangalia hizi takwim za kipanya ni kama ndani ya Urusi amebaki Sergey Lavrov tu wengine wote wameshafia ukraineWangekuwa wanakufa kwa hiyo rate unayoripoti hapa kila siku, kwa muda huu ambao vita inatakribani miaka miwili basi hesabu ingekuwa kwenye laki 5-6. Hivi hicho kichwa chako kinauwezo wa kufanya analysis au nikuamuka na hayo matakwimu yako na kurusha humu.
Kumbuka mwanzoni mwa uvamizi idadi ya warusi wanaochinjwa ilikuwa kidogo tu let's say ata 50 Kwa siku, lakini kadri muda ulivyoongezeka silaha Bora zilizidi kumiminika,Sasa tuseme kwamba miezi minne ya mwanzoni mwa vita Ukraine walikuwa dhaifu,alafu tuchukulie wastani kwamba Ukraine amekuwa akichinja wanajeshi 500 kila sikuWangekuwa wanakufa kwa hiyo rate unayoripoti hapa kila siku, kwa muda huu ambao vita inatakribani miaka miwili basi hesabu ingekuwa kwenye laki 5-6. Hivi hicho kichwa chako kinauwezo wa kufanya analysis au nikuamuka na hayo matakwimu yako na kurusha humu.
Akiri yake inakifurahisha kupitia maandishi yake yenye vyanzo vya chumbani.Wangekuwa wanakufa kwa hiyo rate unayoripoti hapa kila siku, kwa muda huu ambao vita inatakribani miaka miwili basi hesabu ingekuwa kwenye laki 5-6. Hivi hicho kichwa chako kinauwezo wa kufanya analysis au nikuamuka na hayo matakwimu yako na kurusha humu.
Huyu Stoltenberg kweli anajua kula na kipofu.Putin has lost Ukraine forever, — Stoltenberg.
With a full-scale invasion, the Russian president sought to prevent Ukraine from moving towards NATO and the EU, Ukraine is "closer to NATO and the EU than ever," NATO Secretary General Jens Stoltenberg said in an interview with DPA.
"The Ukrainians have shown that they can defend themselves, repel, especially when they receive weapons from Germany and many other NATO countries," — Stoltenberg stressed.
He also called for continued strong support for Ukraine and to consider providing Kyiv with more defense equipment by modifying existing agreements with other countries.
"In general, we need to increase our production in order to help Ukraine better and protect ourselves better," the Secretary General concluded.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wapuuzi walifikiri propaganda inaweza kushinda vita.