lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Unachokisema kinafanana na hiki ulichipost wewe hapo juu.Kuna mchambuzi Moja kasema hii itakuwa Russia aliamua kutest air defense za NATO aone kama ziko viti.
Hii inathibitisha Ile kauli ya Rusha kwamba anaweza twanga Europe ndani ya masaa machache mno
😂😂😂😀😅🤣😃Huko tunapoelekea Zelenksi ataomba msaada hadi huko huko Urusi
Kuna siku saa mbovu husema ukweliBye bye 2023...
Why 2023 was an uncomfortable year for the West
This year has seen a series of setbacks, writes Frank Gardner, but there are also glimmers of hope.www.google.com
Ha ha ha hahaaa,Wewe kinzal ni mziki mwingine. Unaambiwa ktk radal control room walitokwa jasho la uti wa mgongo.
HahahahahaHuko tunapoelekea Zelenksi ataomba msaada hadi huko huko Urusi
Haaaa.Huko tunapoelekea Zelenksi ataomba msaada hadi huko huko Urusi
Hakuna namna maana Mtawala wa Ukraine au professional begger ameamua kuwatoa kafara raia wake.Ndugu yangu usiombee Uzi huu kuchangamka,maana ukiona Uzi huu unachangamka ujue Kuna watu wanakufa.
Mimi katika mzozo huu naiunga mkono Urusi,lakini naumia sana mzozo huu kutatuliwa Kwa njia ya vita.
Ukweli ningefurahi sana kama Ukraine Ingekua nyutro kama Urusi ilivyopendekeza.
Lakini west wamemtia kiburi nae akamkubali kuingia vitani na Urusi.
Kwa hiyo ukiona Uzi umechangamka ujue Kuna binadamu wenzako wanakufa,kupoteza viungo na Mali zao.
Nakumbuka wakihita SIGARA Kama mnaknuka lakini. Hasa phasebook, instegram n.k wakihita SIGARA imechoma Tena, tuliteseka humu.Hizi himmers zilipoingia tulipigiwa kelele sana humu.lakini Sasa hivi ni zinachomwa moto TU utadhani takataka dampo.
Russian air defense intercepts 14 HIMARS, Olkha shells of Ukrainian forces in a day
31 drones of the Armed Forces of Ukraine were also shot down, the department noted
MOSCOW, December 31. Over the past 24 hours, Russian air defense systems have intercepted 14 HIMARS and Olkha shells, and also destroyed 31 Ukrainian drones, the Russian Defense Ministry reported.
Zinachomwa TU kama mishikaki ya nyama ya ng'ombe.
Russian forces destroy 2 HIMARS and one Olkha launcher in a day — Defense Ministry
The Russian army also eliminated the radar of the S-300 anti-aircraft missile system in the area of the settlement of Sanzheyka in the Odessa region
MOSCOW, December 31. Over the past 24 hours, the tactical aviation, artillery, and UAVs of the Russian armed forces destroyed two HIMARS multiple launch rocket systems and one Olkha multiple missile launcher, the Russian Defense Ministry reported.
Sana TU yaani.watu waliongea sana kuhusu himmers wakati TU zimeingia Ukraine.Nakumbuka wakihita SIGARA Kama mnaknuka lakini. Hasa phasebook, instegram n.k wakihita SIGARA imechoma Tena, tuliteseka humu.
Na anawatoa kafara kweli sio masihara.Hakuna namna maana Mtawala wa Ukraine au professional begger ameamua kuwatoa kafara raia wake.
Kweli mkuu vita ni mbaya sana na nazaniNdugu yangu usiombee Uzi huu kuchangamka,maana ukiona Uzi huu unachangamka ujue Kuna watu wanakufa.
Mimi katika mzozo huu naiunga mkono Urusi,lakini naumia sana mzozo huu kutatuliwa Kwa njia ya vita.
Ukweli ningefurahi sana kama Ukraine Ingekua nyutro kama Urusi ilivyopendekeza.
Lakini west wamemtia kiburi nae akamkubali kuingia vitani na Urusi.
Kwa hiyo ukiona Uzi umechangamka ujue Kuna binadamu wenzako wanakufa,kupoteza viungo na Mali zao.
Kabisa Mkuu.Kweli mkuu vita ni mbaya sana na nazani
Western walikuwa tayar kuimaliza Russia Mazima Once and for all, But its just a miracle bado anaendelea ku-survive
Umeeleweka vema kabisaa, kongole mkuuHii ni sababu nyingine ya kwa nini ni vigumu kwa Ukraine kuweza kushinda, kushinda vita kwa kutegemea silaha za msaada ni changamoto labda kama huo msaada ungekua unakuja vile ambavyo wewe unataka. Mf Ukraine akitaka 300 F-16 basi zije kwa wakati, akitaka 500 tanks zije kwa wakati, na ni kitu ambacho ni ngumu kuwa implemented.
viwanda vingi vya silaha vilibomolewa na makombora ya urusi mwanzoni sana kwenye mgogoro huo hivyo kupelekea kutokua na viwanda vingi vya kuzalisha silaha, inabidi sasa kutegemea misaada ya nchi washirika.
Ripoti nyingi zimeonyesha uhaba wa silaha kwa nchi za west hivyo inapelekea sapoti yao kwa Ukraine kuwa ndogo.
Ila kwa upande mwingine, sapoti ya west inaonekana ni ndogo kwa sababu ya opponent ambaye Ukraine anapambana nae. Binafsi naamini msaada wa silaha wa zaidi ya $40 Bil sio mdogo, ni msaada mkubwa sana wa kijeshi.
kuna ripoti moja wamemcite Estonian defence official akawa anasema Russia wanatengeneza ammunitions 7 times zaidi ya western.
View attachment 2858089
Sasa ili kuleta balance ya vita ilibidi nchi za west ziwe zina supply ammunitions kwa speed hiyo hiyo ambayo Russia anatengeneza.
Na kutokana na "kiwango kidogo" cha silaha ambazo Ukraine wanapata, na ili kurudisha mashambulizi kwa Russia, inapelekea wanazi "overuse" silaha na zinapelekea kushindwa kufanya kazi sawasawa. Lakini pia NYT waliandika kipindi flani kwamba ile speed ya western kusupply silaha kwa Ukraine, walikua wanapeleka silaha ambazo ni "unusable"
View attachment 2858070
Mfano;
-Faults zilianza kuonekana kwenye Italian FH70, Krabs, Caesar and German PzH 2000 howitzers.
-Italian FH70 ilikumbwa na changamoto ya kupungua kwa Nitrogen pressure kwenye gun balancing mechanism.
-PzH 2000 za wajerumani zilikumbwa na issues za overheating kwenye control unit monitors (Overuse?? Walikua hawaruhusu enough cooling time??)
-waukraine pia waligundua matatizo kwenye PzH 2000 za wajerumani hapa ishu ikaja kuwa kwenye kufeli kwa obturator rings na charging system za PzH 2000 howtizers. Pia kulikua na error messages zinatokea baada ya intense shelling (Overuse??)
-M777 za waingereza zilikua na changamoto ya kuretract the barrel baada ya frequent firing (Overuse??)
-Krab howitzer za wapoland pia zilikua zinapatwa na changamoto ya kuvunjika kwa shaft na wedge bolts baada ya heavy firing (Overuse??)
-Caesar howitzer za wafaransa zilikua na changamoto ya kufeli kwa guidance blocks na aiming program ambazo zilikua zinacalculate shots kimakosa, zikapelekea kwa shots kuwa "undershot"
Inawezekana sababu ikawa ni overuse bila timely services au ikawa ni ile mizigo waliyoletewa haraka haraka ambayo haikua stable kuingia kwenye battlefields.
Ukraine angekua bora zaidi kivita ila aliingizwa "mkenge" alafu akajaa. Ukraine alikua na vitu kama Tu-160 strategic bombers, strategic Tu-95 bombers, na Kh-55 air-launched cruise missiles na vingine vingi....
Sasa nini kilitokea? Mengi yalitokea. Mfano wa yaliyotokea;
Under the Cooperative Threat Reduction (CTR) program, the United States has assisted Ukraine with dismantling remaining heavy bombers, strategic air-launched cruise missiles, and ICBMs and associated silos and launch-control centers.
View attachment 2858124
View attachment 2858125
View attachment 2858126