lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
kp kipanya44 una tofauti gani na Tariq Azizi?Ni zaidi ya elf Moja na miamoja walichinjwa Jana 🥱🥱🥱
Mkuu,sitaki kukuambia mengi.., lakini naomba tu kukujulisha kwamba mpaka Sasa urusi imeshafanya mobilization ya askari zaidi ya million 1..,!kp kipanya44 una tofauti gani na Tariq Azizi?
Hizi taarifa huwa napenda sanaKiev and Odessa are ours – Medvedev
Moscow must capture the Ukrainian capital sooner or later, the former president has claimed
Hahaha....mwamba ana roho ngumu balaaKatika watu wana roho ngumu nimewahi kuwashuhudia jamani Kipanya nae yumo,haiwezekani watu wanadundwa kama ngoma lakini hasikii wala haelewi kila siku " leo wamechinjwa 10000000000" ukijumlisha hesabu zake unapata jibu urusi yote wamechinjwa hamna hata mtu mmoja😅😅😅😅🤣
Hizi taarifa huwa napenda sana
Kituo kinachofuata ODESA , NIMEMSIKIA LIVE PUTIN AKISEMA MABENO MAFUPI SANA KUWA:
JESHI LIPEWE ZANA ZOTE ZINAZOTAKIWA NA OPERATION ISONGE, NA WAZIRI SHOIGU AKASEMA NDIO MKUU.
SWALI:
JE WANAKWENDA ODESA ANA WAPI? AU KYIVE?
Haki tena Ukraine inapotea mazima.... NATO+Us imewaponza.Russia wameteka eneo jingine linaitwa Pobeda kwa kiingereza linaitwa Victory.
Russian troops liberate ‘Victory’
Moscow’s forces have liberated the settlement of Pobeda (Victory), also defeating several Ukrainian formations in the area
In addition to capturing Pobeda
whose name translates as ‘Victory’ –
Russian troops have also improved their positions along the front line in Donetsk, defeating Ukrainian formations near the villages of Novomikhailovka and Krasnogorovka, several kilometres from Donetsk, the ministry said.
The battles resulted in heavy casualties for Ukraine, according to the report, which claimed Kiev lost over 410 servicemen, as well as a range of military hardware, including Western-supplied systems.
The Russian military also said it had destroyed the launcher and transport-loading vehicle of a US-made Patriot anti-aircraft missile system, along with other Ukrainian military equipment and manpower in 114 regions.
Last week, Moscow announced the capture of the key Donbass stronghold of Avdeevka.