Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni pigo kwa kweli lkn ndio vita.
Hasa ukizingatia Urusi anapigana na umoja wa nchi za Magharibi.
Ndege kupigwa au kifaru au Mwanajeshi kuuliwa hivyo ni vitu vya kawaida kwenye uwanja wa vita. Milestone ya progress kwenye vita inapimwa na ushindi wa kudhibiti maeneo ya mpinzani wako yaani utekaji wa maeneo. Hii vita imefika point ambayo Marekani kama Mshirika Mkuu wa Ukraine anaona anaharibu tu fedha zake. Hivyo, anatafuta namna nzuri ya kuachana nayo. Ingekuwa kinyume chake Marekani wangekuwa wamempa siku nyingi tu Ukraine msaada wa fedha uliokwama kwenye Bunge la Congress.
 

Kwa anayependa kuona kazi za Wagner basi litafute ili dude linaitwa( Best in hell) ndani ya mji wa Soledar

Humo ndani utaona kikosi cha mortar cha Ukraine kilivyosambaratisha na kikosi cha Artillery cha Wagner.pia utaona kikosi cha mortar cha Wagner kilivyosambaratishwa na Kikosi cha Artillery cha Ukraine. Pia utaona jinsi kikosi cha Artillery cha wagner kilivyoponea kusambaratishwa na artillery za Ukraine.

Mwisho baada ya wagner kujua location ya Artillery za Ukraine wanamua kutumia Uragan rocket launcher na kufanikiwa kusambaratisha kikosi cha Artillery cha Ukraine.

Kuna vita ya kugombea majengo ambayo kulikuwa na hazina kubwa ya silaha za Ukraine.humo zinapigwa njugu za kutosha pia kuna battle ya vifaru.
 
Documentary au movie?

View: https://twitter.com/igorsushko/status/1761213063104237903?t=Se5MNIjRpBZMEURm6mG-mA&s=19
 
Na hata ukraine anapigana na urusi china north korea iran
Ukraine wenyewe wamethibitisha kua,hakuna ushahidi wowote unaoonesha silaha za north Korea kuwepo uwanja wa mapambano.
Pia juzi FM wa china kwambia waziri mwenzie wa Ukraine kua haitoi silaha katika upande wowote katika mzozo huu.
Hapo awali china iliwahikusema kua muda wa kuisaidia Urusi haujafika,kwani wanaona Urusi ina uwezo wa kupigana peke yake.alimaanisha kama NATO wakiingia uchina haitakaa kimya.
 
Kweli kabisa.
 
WATCH: Russian troops inspect abandoned NATO weapons in Avdeevka.

Starlink terminals used to operate Ukrainian drones were also found, the Defense Ministry has said
Russian troops have captured NATO-made weapons and ammunition, as well as Starlink satellite terminals at the Avdeevka chemical plant, according to a new video released by the Defense Ministry on Saturday.

Officials in Moscow said the abandoned hardware was found by Russian assault groups that entered the Avdeevka Coke and Chemical plant, the largest facility of its kind in Europe, which became the linchpin of Ukraine’s defenses in the area after the start of the conflict in February 2022.

The ministry said that while inspecting the plant’s workshops, Russian assault teams discovered abandoned drone control stations with Starlink terminals, dozens of NATO-made anti-tank grenade launchers, ammunition, hand grenades, automatic weapons, and dry rations.

”All this was left behind by Ukrainian soldiers as they fled the plant in panic under the onslaught of Russian troops,” the statement said.

The video shared by the ministry shows Russian soldiers walking on the premises of the heavily damaged chemical plant. Another clip features one service member examining a box of communications equipment, including a relay station.

The video also shows a crate stuffed with frag shells for a grenade launcher and a metal container filled with 12.7 machine gun rounds with an inscription reading ‘Ministero della Difesa’, an apparent reference to their Italian origin.
 
Ukraine wanaini wataendelea kuwepo kama zamani.
Ukraine wapotea kwa kutafuta sifa kwa Marekani.
Wanaota wana mapembe wakiamka wanajikuta Wana vipara.
Leo hii Ukraine anajisifu kua anataka vita na china,na kia Yuko tayari kupigana na nchi yoyote itakayopigana na USA.
Hivi ana taarifa kua USA imewakimbia watalaban,ana taarifa kua USA imeshindwa kuondoa utawala wa Assad?

Ukraine ready for war with China – top MP

Kiev is a “valuable ally” of Washington, Aleksey Goncharenko said while demanding more funding
Ukraine ready for war with China – top MP
Ukrainian lawmaker Aleksey Goncharenko participates in a press conference on Capitol Hill on February 5, 2015 in Washington, DC. © AFP PHOTO/BRENDAN SMIALOWSKI
Kiev is ready to assist the US in a war against any enemy, be it Iran, North Korea, or China, a senior Ukrainian MP has said, claiming that his country would prove to be a valuable military ally.

In an interview with CNN’s Christiane Amanpour on Friday, Aleksey Goncharenko doubled down on calls for the US to send Ukraine more military aid amid gridlock in Congress. “[The] United States of America told [us that] we will be with you ‘as long as it takes.’ Now it’s time to keep the promises.”

Goncharenko rebuked US politicians for focusing too much on the looming 2024 presidential election, saying Ukraine should not be a “victim” of this. He also claimed that supporting Ukraine serves Washington’s interests regardless of who wins the race for the White House.

In the event of a future war, the Americans “will need people who will stand shoulder to shoulder with them,” but not many nations would be willing to go all-in to support the US, the lawmaker said.

Ukraine needs ‘nuclear rockets’ – MPREAD MORE Ukraine needs ‘nuclear rockets’ – MP
”Ukrainians are ready… We are ready to stand with the United States shoulder-to-shoulder, either in trenches near Tehran, or in North Korea, or near Beijing. No difference,” he stated. “Because we appreciate your support.”

Despite his plea for more Western military aid, Goncharenko argued that Ukraine has “the second strongest army in the free world” after the US, making it “a very valuable ally.”

“But today we need your support to defend our country,” he added, blaming gaps and delays in arms shipments for the loss of the strategic Donbass city of Avdeevka last week. According to the Russian Defense Ministry, the Ukrainian retreat from the heavily fortified city, which was often used as a launching pad to target civilians in Donetsk, turned into a disorganized rout with heavy casualties.

Russian President Vladimir Putin said on Tuesday that the capture of Avdeevka is “certainly a success,” adding that it needs to be advanced further.

Last year, Putin claimed that the Ukrainian government was defending the interests of other countries rather than its own, and that the West was using Kiev as “a battering ram” and a “testing ground” against Russia.
 
Nipe ushahidi wa hayo maandiko yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…