Ni ban mkuu auMungu mkubwa nimerudi Tena jf baada ya mwaka mmoja na mwezi hivi. No ajabu Ukraine na Russia Bado vita mbichi
Soon ban shughuli za kidunia t zilinitoa humuNi ban mkuu au
Daaah pole sana mkuu..Soon ban shughuli za kidunia t zilinitoa humu
Yes Hadi nimesahau namna ya kutumia jf asee. Nambwelambwela tuDaaah pole sana mkuu..
Yaani hizo shughuli mpaka kushika simu inakua changamoto ..?
Wanasema mambo ni mengi mda ni mchache 😂😂😂😂Yes Hadi nimesahau namna ya kutumia jf asee. Nambwelambwela tu
Ukiona hivyo ujue huyo ni mtumishi wa Uma kutokana na ujuaji wake akahamishiwa vijijini, kapambana hatimae kachomoka tenaDaaah pole sana mkuu..
Yaani hizo shughuli mpaka kushika simu inakua changamoto ..?
Hongera kwa kurudi tena mjini. Ofisi inakufuatilia kama umeshaacha tabia za ujuajiSoon ban shughuli za kidunia t zilinitoa humu
Hivi quotation mbona la siielewi manHongera kwa kurudi tena mjini. Ofisi inakufuatilia kama umeshaacha tabia za ujuaji
A fifth US-made Abrams tank has been destroyed in the special military operation in the vicinity of Avdeyevka, the Russian Ministry of Defense confirmed on Thursday.
"The enemy has lost up to 95 servicemen, three tanks, including one US-made Abrams, two infantry fighting vehicles, nine cars, as well as two US-made M777 howitzers and two D-30 guns," the ministry said.
They clarified that in the Avdeyevka region, units of Russia's Battlegroup Tsentr improved their position on the front line and repelled seven counterattacks by assault groups of the 47th, 53rd, and 59th Mechanized Brigades of the Ukrainian Armed Forces in the areas of the settlements of Tonenkoye, Berdychi, and Pervomaiskoye in the Donetsk People's Republic.
On March 26, Russian military sources reported a successful missile strike on the Ukrainian military positions in the town of Chasov Yar located near Artyomovsk. According to the open sources, Russian Iskander ballistic missile destroyed an underground bunker, where Ukrainian command post was hidden.kufumuliwa
Wewe leta habari za upande wako wa NATO zile zinazokufurahisha wewe,na sisi tutaleta zile za upande wetu wa Urusi zinazotufurahisha,matokeo yake wasomaji watapata habari kamaili za pande zote mbili.Nasikia Mrusi anasonga mbele kwenye uwanja wa vita; eti ni kweli?
Maana, mara ya mwisho kuingia humu nilikuta raia wanajadili masuala ya dini. Tuseme ni uchovu kutokana na vita isiyoisha?
Waleta updates nao bado wako katika ubora wao wa kuleta taarifa zile ambazo zinaupamba upande wanaoushabikia.
Angalau mara mojamoja muwe mnatupia taarifa za kweli zinazowakera nyinyi wenyewe binafsi. I dare you! It's healthy!