Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chasov Yar itakuwa Avdiivka ya pili maana Ukianguka tu huu mji basi miji ya Kramatorsk na Slaviansk itakuwa ipo kwenye hatari. Kwa sasa vikosi vya Warusi vipo karibu na mji japo madaraja ya kuingia kwenye mji yamevunjwa na vikosi vya Ukraine ili kupunguza kasi ya Warusi kuingia ndani ya mji.

Chasov yah ikianguka tu basi vikosi vya wanajeshi wa Ukraine vilivyopo kwenye eneo la Klishchiivka vitabidi vijisalimishe maana barabara za kuingia na kutoka zitakuwa kwenye mikono ya Warusi
 
Tulikua tumemiss uchambuzi wa kitaalam kama huu.
 

Terror and the West: Russian prosecutors demand answers from the US and its allies​

Moscow has demanded that Western countries investigate the organization and financing of terrorist activities targeting the nation
===
Naona anataka Sasa awachape kwa mujibu wa sheria za Russia. Justification ya kuwachapa ni kama imepatikana wasipotekeleza agizo.
 
Teh hawa ndio wanataka kukiwasha na Russia, kama kwa Houthis tu wamenyoosha mikono na kuhitaji diplomasia itumike. Mwanzo kwani walishindwa nini kutumia hiyo diplomasia? Wazee mnaikumbuka ile wenyewe waliita Operation Prosperity Gurdian against Houthis?
Na hapo bila kusahau Uncle Sam hua hafanyi jambo peke ake hadi awe na msaidizi na kwa hili alimbeba UK.

Before 🤣


Now 🤗


🇺🇸🇾🇪 IMPORTANT: USA tries to bargain to stop the attacks in the Red Sea.

➡️ Remember the proud announcement of the “Operation Prosperity Guardian” to stop the Houthis?

The U.S. led coalition failed miserably and now try to make a deal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…