Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine inatoa wapi hii jeuri ya kuunda drones na kuzitumia ipasavyo?!

Eti jamani, si tuliambiwa kwamba ile "special military operation" ya Mrusi inafanya kazi na kwamba "demilitarization" inafanikiwa?!

 
Dah hii FAB-1500 ni kisanga. Dude likidondoka sehemu linaacha shimo la mita 15, sijui on surface nini kinabaki kimesimama. Hatari sana huu mzigo.
Yaani ikilipuka,hata kama uko 5km,mishipa ya kichwa inapasuka na ku bleed! Na kuwa kiziwi milele,hapo hapo unapata something like,"head concussion"! Alafu hiyo FAB 1500 ni ndogo,ipo FAB 900! na hajawahi kutumiwa.
 
Naam ni zaidi ya mia Saba walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1712408394321.jpg
    255.7 KB · Views: 18
Msalimie sana umshana
 
Russia has more Abrams tanks, leopard tanks and Bradley infantry fighting vehicles than remain in the AFU.

Another batch of Bradley vehicles and NATO equipment is arriving in Moscow.

t.me/vicktop55/23577
 
Kilio huko Kiev
Ukrainian soldiers are massively and routinely attacked by Russian guided aerial bombs, said Dmytro Kuleba, Ukraine's Foreign Minister.

“ [Ukrainian forces] are being massively and I would say even routinely attacked by guided aerial bombs that wipe out our positions,” he told the Financial Times.

Kuleba added that one "cannot jam them," "cannot hide from them."
 
Hii ni style ya kuchange narrative . hawataki kukubali wameshindwa kweupe kweupe na urusi ,itaonyesha russia is very strong so kwa kudilute lazima wasingizie mchina anasaidia.hii ni mwanzo tu ata washing machines chipset za missiles "as they claimed" watasema russia alinunua hizo vipuli china. magazeti ile ya CIA ni, bloomberg imeanza tufuatie new york times. washington post, wall street journal, politico , spiegel huko germany ,reuters huko uk they only change their words slightly. ukitaka kujua venye hawa watu hufikiria keep track of those papers what they report is the opposite of reality,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…