lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nape alikuwa Sahihi nini kumkatalia Boss wa Starlink kufanya kazi hapa?Musk’s company,” while raising “broader questions about Starlink’s reliability against a technically sophisticated adversary.”
“We’re losing the electronic warfare fight,” a deputy commander from the Ukrainian 92ndAssault Brigade’s drone battalion told the newspaper.
Karibu Mwamba.Nape alikuwa Sahihi nini kumkatalia Boss wa Starlink kufanya kazi hapa?
===
Wakuu habari za Muda kidogo. Nilipotea hewani kutokana changamoto za kiufundi kwenye akaunti yangu ya JF. Lakini, Mkuu Max Melo na timu yake wameweza kunirudisha hewani. Nawashukuru JF Team.
Pia nawashukuru wote kwa kuendelea kuupasha Ulimwenguni ukweli juu mgogoro wa Russia vs Team NATO kupitia uzi huu na nyuzi nyingine ndani ya JF.
Nawapongeza sana.
Sasa nimerudi tuendelee kuupasha Ulimwenguni ukweli .
Asante.
Yap,ingawaje nafasi hiyo haipo kwa Sasa, maana Ukraine kadhamilia kutumia nafasi hii kurudisha kilichopotea!========================
Hata Putin anataka vita viishe kwa Sasa.
Karibu Mwamba.
Weka nyama kwenye suala la Nape na Mmiliki wa Starlink,wengi tulipitwa hapa.
Sikua na taarifa hii.Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...www.jamiiforums.com
Tupo pamoja, MwambaSikua na taarifa hii.
Nakushukuru sana Mwamba
Mkuu usisahau, Zelensky ni professional comedian. You can't bet on what he says.
Mlikuwa mnasema hivyohivyo....lakini watu wanasonga tu.... Siku hizi walaaa mtasema mpaka mtasema Tena...wenyewe
Yaani umpe nchi Kingwendu utarajie nini!??Mkuu usisahau, Zelensky ni professional comedian. You can't bet on what he says.