Aliye kwambia kuwa silaha zote zinazo tengenezwa na Urusi ni kwa ajili ya kupeleka Ukraine ni nani?Ni kweli urusi ana uwezo mkubwa sana wa kuzalisha silaha lakini inashangaza kwamba inakuwaje ni mwaka wa tatu bado anapambana na Ukraine huku ikiwa hakuna dalili za kutoboa siku za hivi karibuni?..,yap! Najua wengine watadakia kwa kusema kwamba urusi hapambani na Ukraine pekee bali anapambana na collective West.., lakini kwa mujibu wa takwimu zinazotolewa ni kwamba urusi anazalisha ammunition kuwazidi west kwa umoja wao!
Hapa unaweza kupata jibu kwamba kuzalisha silaha kwa wingi Kuna nafasi ndogo sana kwenye battle field!
Of course sijadai kwamba silaha zote zinapelekwa Ukraine., point yangu ni kwamba wingi wa silaha sio guarantee ya mafanikio kwenye uwanja wa vitaAliye kwambia kuwa silaha zote zinazo tengenezwa na Urusi ni kwa ajili ya kupeleka Ukraine ni nani?
Stoltenberg, like Biden, is demented. 😆😆Putin said that he remembers Stoltenberg as Prime Minister of Norway, when he “did not suffer from dementia”
Huo mimi naona ni upuuzi.DUNIANI kunakuwepo na watu/viongozi wenye akili timamu ukiacha ROBOTIC LEADERS/PUPPETS
View: https://x.com/ivan_8848/status/1794805177322475860
mkuu, kwa akili ya kawaida kabisa, unaamini urusi kapoteza wanajeshi zaidi ya laki 5,? afu anaetoa taarifa hizi ni ukraine!Naam, ni zaidi ya elf Moja na mianne walilambishwa mchanga Jana
Vilevile ameanza kusajili Jeshini Watumishi wa Umma na Wafungwa.mkuu, kwa akili ya kawaida kabisa, unaamini urusi kapoteza wanajeshi zaidi ya laki 5,? afu anaetoa taarifa hizi ni ukraine!
hapo hapo hasemi yeye kapoteza wangapi, na sasa ameanza kusajili vijana, bado hujaongelea changamoto anayokutana nayo ya kukosa wanajeshi (refer kauli za macron kwamba jeshi la ukraine linakribia kuvunjika),....
anyway, vita ni saikolojia pia labda ndio mana wana overestimate losses za Urusi na ku-underestimate losses za ukraine
Bro mwaka wa pili huu tunaenda wa tatu.... Nimeona nikukumbushe tu kama bado upo JF😂😂Tatizo watz tuna ujuaji wa kinonko sana.
Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.
Marekani na vibaraka wake wangekuwa na nia ya kweli kuisaidia Ukraine wangeisadia kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Inashangaza eti jeshi ambalo limeshindwa na kukundi cha waasi chenye wapiganaji wasiozidi 50,000 eti kije kukabiliana na moja wapo ya jeshi kubwa duniani.
Iwapo vita itatokea nakuhakikishia jeshi la Ukraine halitaweza kuhimili nguvu ya jeshi la Urusi hata ndani ya wiki mbili.