The Russian Army inflicted heavy losses on the Ukrainian armed forces in the last 24 hours. According to the Russian Defence Ministry, nearly 2,000 of Kyiv's soldiers have been killed. Ukraine tried to push back the Russian Army on multiple fronts but 'failed terribly.' In the process, Kyivβs army suffered a major loss of ammunition and manpower. This video has full details.
Ukraine kelele nyingi sana..hamna kitu pale..yaani Russia akiwa inactive wanalalamika, akituma vyuma mnalalamika - maeneo Ukraine hawachukui, Counteroffensive haifahamiki ipo ama la, vijana mtaani wanakamatwa, umeme hakuna, depopulation inaongezeka, makaburi yanayoongezeka, ardhi yao imechukuliwa, milipuko kila siku..Halafu watu kama wewe mnajitia moyo...
Kumbe hata watu weupe nao ni wajinga tu na wapumbavu - Yaani Zelensky na wenzake wanashindwa kukaa chini peke yao na hawa Warussi wakaelewana nini kifanyike??
Matokeo yake mpaka US,EU aongee kwa niaba yao. Where is diplomacy??
Kama US alimnuke Japan..akaua zaidi ya watu 100,000 instantly na effects kibao...kitu gani kinawafanya hawa wajinga wasiongee...???
Hivi kweli Ukraine anafikiri anaweza kuishi kwa amani kwa kukubali kutumiwa na West against jirani yake mnaeshare zaidi ya km 4000 - serious??Hizi ni akili au matope.
Gaza tu pale anamsumbua Israel..na ni kaa sehemu kadogo tu..sembuse Ukraine kujifanya anataka kukata mahusiano yote na kutengeneza uhasama na Russia??
Ni kama sisi na Uganda ya Idd Amini...tusingekubali tukae kwa tension kiasi kile lazima zingepigwa tu ns zilipigwa kweli...Idd Amini hatukumpenda..akajichanga..tukapata sababu ya kumtwanga...NIA tulikua nayo, tulikua tunasubiri sababu - tukapata.- UWEZO tulikuwa nao ingawa tia maji tia maji..
Ni case ya UKRAINE hivyohivyo..Russia wamekuwa wakiwavutia kasi. Ukraine muda mrefu...mara paa 2014 Coup..watu wakapata nafasi - sababu..wakapita na Crimea..Ukraine badala ya kutuliza akili - akaongeza contact na western world, ant- russia campaign ikaanza, wakapiga marufuku Kirusi, mara maabara za kamarekani zikaanza, yaani wakaanzs kutekenywa sana..RUSSIA hao wakalianzisha Donbas...imeenda..
Na bado akili hazikukaa sawa..sasa hivi Kharkiv inakuwa buffer zone..- na hawatasikia..mpaka siku buffer zone iwe Kiev yenyewe.
Ujinga wao kama ilivyo kwa Idd Amin tu..kumtafutia sababu adui yako akutwange...matokeo yake wamepoteza Ardhi kubwa yente rutuba, wamepoteza industrial zone, wamepoteza raw materials, wamepoteza watu...
NAWEZA KUSEMA UKRAINE NI WAZUNGU WAPUMBAVU...leo hii Cuba na kiherehere chake..anajitahudi asiwape sababu US ya kuwatandika..na watatandikwa kweli.
IRAN huyu na kujimwambafy lkn anakuwa makini asi-close the line..ndo maana kuna wakati US anamuonea kabisa lkn akurupuki tu..la sivyo wangeishaperekewa moto.
Juzi hapa Israel wamepiga ubalozi wa Iran Damascus..kosa kubwa lkn Iran imechukua wiki kujipanga kujibu..wanakuwa makini wasiwape sababu adui zao za kuwapelekea moto. INDIA na Pakistan wanaishi kwa calculation hatari...mmoja akifanya ujinga kinawaka...??
Sasa kama Duniani kote mataifa yanaishi kwa akili ili yasiwape maadui zao sababu za kipigo HAWA UKRAINE walifikiri nini??
UKRAINE NI WAZUNGU WEUPE WAJINGA