LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nina mashaka Russia anaweza kushindwa hivi vita!
Wanatakiwa wafanye jambo haraka sana, wasiruhusu hii vita iendelee hadi baada ya uchaguzi wa Marekani.
Kwani Russia anapigana na nani Sasa hivi?
Je anapigana na Ukraine,au anapigana na collective west?
Kama anapigana na Ukraine,its obvious Ukraine hawezi kumshinda Urusi,
Na kama anapigana na collective west,hapo hapatakua na mshindi.
Kumbuka mtu mwenye nuke hawezi kushindwa vita.
 
Mrusi hii vita ameimudu na anaimudu vibaya sanaa toka tulipotokea mpaka hapa alipofikia mrusi hii vita yeye ndio muamuzi,tunao ogopa ni sisi tu uku lakini mwenyewe wala hana wasiwasi west hii vita washaishindwa na hawana ubavu wa kufanya lolote hapa walipofikia wanapumulia machine wenyewe wanatamani leo kesho vita iishe maana wanaogopa aibu na fedhea viva russia
 
Hii vita sio rahisi kwa Urusi kushindwa.

Hii ni vita ya kimkakati ambayo itasababisha US hegemony kucollapse.

Hii vita itainua Multipolar world kuimerge.

Ambaye hana maslahi kwenye haya mapigano lazima anyanyue kitambaa cheupe n kukubali kushindwa ambaye ni Ukraine.

Neither European Union,US nor NATO wanaweza kumzuia Urusi na wakiruhusu Donbas na Ile mikoa mingine mitatu, itakuwa stategic defeat kwao.

Kuongezwa kwa askari almost 100,000 kutoka North Korea kufanya humanitarian works kutaboost moral kwa ajili ya final battle kuelekea miji y Kramatorsk, Slovyiansk na mengineyo.

Kudeclare total war na kusweep whole Ukraine sio faida kwa Urusi,Brics Wala Global South.
 
MILITARY SITUATION ON UKRAINIAN FRONTLINES ON JUNE 28, 2024 (MAPS UPDATE)

-Russian strikes were reported in the Mykolayiv region;
-Russian strikes were reported in the Kherson region;
-Russian strikes destroyed targets in the Dnipropetrovska region;
-Russian strikes destroyed targets in the Khmelnytskyi region;
-On June 28, Russian strikes destroyed targets in the Odessa region;
-A civilian was wounded as a result of Ukrainian attacks in the DPR on June 27;
-Russian forces advanced south of New York;
-Ukrainian forces advanced near Terny;
-Russian forces took control of Razdolovka. The mop up operation continues;
-Clashes continued in Volchansk;
-Clashes continued near Glubokoe;
-Clashes continued in the Kanal district;
-Clashes continued in Krasnogorovka;
-Clashes continued in Urozhaynoye;
-Russian forces eliminated 3,230 servicemen, four armoured vehicles, 40 motor vehicles, three MLRS vehicles, 24 artillery guns in the Kharkiv region over the past week;
-Russian forces eliminated 4,410 servicemen, two tanks, eight armoured vehicles, 48 motor vehicles, 39 artillery guns in the Bakhmut area over the past week;
-Russian forces eliminated 2,950 servicemen, three tanks, six armoured vehicles, 30 motor vehicles, 42 artillery guns, M777 howitzers in the Avdiivka area over the past week;
-Russian forces eliminated 930 servicemen, six armoured vehicles, 36 motor vehicles, 19 artillery guns in the Southern Donetsk area over the past week;
-Russian forces eliminated 740 servicemen, three tanks, two armoured vehicles, 48 motor vehicles, 23 artillery guns in Kherson region over the past week;
-Russian air defense systems shot down six ATACMS missiles, eight Patriot missiles, one HARM missile, 61 HIMARS, Vampire and Olkha projectiles over the past week;
-Russian air defense systems shot down 589 Ukrainian drones over the past week;
-Russian air defense systems shot down two MiG-29 warplanes over the past week.

-Russian forces advanced in the western part of Krasnogorivka;
-Clashes continued in the center and eastern part of Krasnogorivka;
-Clashes continued in the eastern part of Maksymilyanivka;
-Up to 115 servicemen, one armoured vehicle, five motor vehicles, one FH-70, one 2S1 Gvozdika, one D-30, one M119 were destroyed in the area.

-Clashes continue in the western part of Sokil;
-Clashes continued in Yasnobrodovka;
-Clashes continued near Novopokrovkse;
-Clashes continued on the northern shore of the Karlovsky water reservoir;
-Up to 345 servicemen, three motor vehicles, one M777, one 2A65 Msta-B howitzer, four 122-mm D-30 howitzers were destroyed in the area.
 
‼️🇷🇺🔥Iskander burned S-300 positions near Odessa
“Russian troops fired an Iskander-M missile at a wheat field in the Odessa region,” the command of the South group of the Ukrainian Armed Forces previously stated.
▪️The footage shows today’s strike on the Ukrainian Armed Forces’ air defense position in the village, Velikodolinskoe near Odessa. Once again, Russian reconnaissance drone calmly traveled through the Odessa region, where it discovered the position of the S-300 air defense system of the Ukrainian Armed Forces.
▪️Within an hour, the position was struck by the Iskander OTRK, which destroyed:
➖combat control cabin - 1 pc.
➖ACS machine - 1 pc.
➖guidance illumination radar - 1 pc.
➖low-altitude detector - 1 pc.
Air defense specialists of the Armed Forces of Ukraine - at least 15 people.
 
Kwa huruma aliyokuwa nayo Putin, sidhani kama atafikia hatua ya kutumia NUKES!
 
Ukro losses
are huge but that has no meaning. Ukraine can sacrifice another 500,000 without problem. Fighting the Russians and serving the west is something they accept as the meanings of their lives.
So, even using the Russian military reports of Ukrainian losses, which do not include losses away from the front (e.g. with that FAB 3000 hit), Ukrainian losses are about 60,000 a month. Utterly unsustainable, then add in the huge losses of artillery as well. We are reaching peak Ukrainian losses as there are simply not enough Ukrainian soldiers to maintain this level of losses for very long.
The gradually accelerating pressure by R.U. forces are steadily advancing on numerous fronts, to the point where those small cities of the Donbass, with their "water-hazards" and high-rise buildings...heve largely been invested and liberated.
Once the Ukie forces are pushed into open fields and bits of forested lands, the game will be over, as the collapse will come suddenly and ubiquitously.
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga
Speaking in Brussels, Zelensky had argued that Ukraine “does not want to prolong the war” and does not want the conflict to last “for years.”

“We have many wounded and killed on the battlefield. We must put a settlement plan on the table within a few months,” he said, without offering details.

Kiev is taking heavy casualties and doesn’t have much time, the Ukrainian leader has said

Zelensky preparing ‘plan to end war​

 

Juzi tu ametoka kupewa Msaada wa zile USD 63 bil. Leo analeta story za kusitisha vita.

Mimi mmarekani wa bonyokwa kamwe siwezi kukubaliana na ili jambo.
 
Nime ona uko juu member ana dai Ukraine ana imarika[emoji81][emoji81] Pro West mme anza kua comedians
Unaanza kuwehuka kwa kushindwa kutofautisha pro West na pro East
 

Attachments

  • Screenshot_20240628-085923.png
    260.4 KB · Views: 3
Mkuu umeongea ukweli mtupu,bila upendeleo wala ushabiki,hiyo ndio Hali halisi.
 
Kwa huruma aliyokuwa nayo Putin, sidhani kama atafikia hatua ya kutumia NUKES!
Urusi Hana mpango wa kutumia nukes kwa Ukraine,kwani Ukraine haiwezi kumshinda Urusi kiasi atumie nukes.
Urusi atatumia nukes kwa collective west,kwa sababu wao ni wengi Wana nguvu,Wana nukes pia na wanaweza kumwahi Urusi kwa kumpiga na nukes ,hivyo kwa pande zote mbili kwa kuogopa kuwahiana wanaweza kutumia.
Urusi keshaweka wazi kua kama usalama wa Urusi utatishishiwa watatumia,na wanaotishia ni collective west,kwa sababu wanazidi kumsogelea na kumvizia.
Kumbuka ukimuweka kwenye Kona adui anaweza akafanya maamuzi magumu.
 
Si Zele pekee anyetamani vita kukoma, hata Putin angependa ikome maana hasara naye anayo yakutosha.

Zelensky amesema anataka vita vikome kwa sababu wanamgambo wake wanakufa na wanashindwa ku hold Frontlines.

President Putin anasema pale conditions za Russia zitakapotekeleza ndio vita itaisha. Conditions kama Ukraine kuwa Neutral country na kutojiunga na NATO.

Je, umeona tofauti ya hao watu wawili?
 
Ndiyo naiona, Putin anataka lengo lake litimie regardless kapoteza roho ngapi, na proof ipo kuwa askari wake wanapukutika pia.
 
Unafikir china anashindwa kumtwanga nyuklia Taiwan na kufanya ainue mikono!?
Vip marekani kule Vietnam?
Vip Russia kule Afghanistan?
North Korea kwanini asimtwange nyuklia south na kumfanya ainue mikono!?
Vip marekani kule Afghanistan!?
Kwa ukatili wa islaer unafikir kwa nini hajatwanga nyuklia pale Gaza!?

Wewe jamaa una hoja za Hovyo sana,hata kama ni kujipa matumaini jarbu kutafta hoja zenye mashiko!
 
Ndiyo naiona, Putin anataka lengo lake litimie regardless kapoteza roho ngapi, na proof ipo kuwa askari wake wanapukutika pia.
Si ajabu ndio maana warusi million 27 walichinjwa katika vita ya pili ya dunia, hakuna taifa duniani liliwahi kupoteza watu wengi namba hii vitani..,hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🙌 🙌
 

Attachments

  • 1719648862270.jpg
    376.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…