Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wamezingirwa vibaya na wamekufa wengiSijui nani aliwadanganya, ni kama waliamua kujitoa mhanga.
Russia inatoa kichapo tokana na situation iliyopo...
Hawawezi kutoka mkuu, Russia hawakushindwa kuwazuia mpakani endapo wangeamua.Wamezingirwa vibaya na wamekufa wengi
Sijui kama watatoka hapo
Kama hawajasema angalia mchezo unavyokwenda tutajua nani atashinda.Urusi haijasema hilo, lakini kwa jinsi nionavyo Russia inapanga shambulizi kubwa kuepuka aibu hii.
Muda tu mtasikia wanarudishwa nyuma huku wengine wakivaa sketi na hijab na kutelekeza gwanda baada ya kichapo.
Mchezo unavyokwenda askari wa Ukraine wamezungukwa wanamalizwa kikatili sana.Kama hawajasema angalia mchezo unavyokwenda tutajua nani atashinda.
Kumbe nia ya wanajeshi wa Ukraine ilikuwa ni kuteka Nuclear Plant kwa kuwa blackmailed tangu jumapili ilyopita ila jaribio limefeliHawawezi kutoka mkuu, Russia hawakushindwa kuwazuia mpakani endapo wangeamua.
Kwa hizi picha ambazo ni very graphic na watu wametolewa vichwa nina uhakika ni message kwa askari waliobaki wa NATO na Ukraine kwamba wasije kujaribu.
Nina imani hili ni pigo linalokwenda kushusha morali ya jeshi la Ukraine.
Russia amecheza karata yake vyema.
Haaa ...hapa nipo nakula ugali tena unateleza tu ... kwa kuangalia picha za mafufu na mizoga ya waukrainPro Russia mbona mnacomment kwa hasira hivi? mnapata hata appetite ya kula kweli?
Mkuu somoche sisemi mengi.Duh Kumbe wamezibiwa Njia maweee
Kwa hiyo ndio kusema wamefika walipokuwa wanaenda sio? 🤣Mrusi anachowafanyia Ukraine hapo mjini Kursk
View attachment 3070015
View attachment 3070016
View attachment 3070024View attachment 3070025
Kichwa sijui kimeenda wapi mkuu 😂Kwa hiyo ndio kusema wamefika walipokuwa wanaenda sio? 🤣
Kulaaa vichwaaa Kimaa hao wooteMkuu somoche sisemi mengi.
Russian Forces Close to Encircling Ukrainian Troops in the Kursk Region
The Russian army is nearing the completion of its operation to encircle Ukrainian forces in the Kursk region.
According to Apti Alaudinov, Deputy Chief of the Main Military-Political Directorate of the Russian Armed Forces, the situation in the region is under the control of Russian forces. He stated, "The situation is under control. We are finishing the encirclement of the forces that entered the Kursk region and gradually closing all the gaps that were present."
Nia yao ilikuwa kuteka maeneo ya Russia kama Russia ilivyoteka maeneo ya Ukraine, referee wa mchezo ni US hivyo Trump akiingia madarakani ameapa kuimaliza hio vita kwa kumuita Ukraine na Russia meza moja...Kumbe nia ya wanajeshi wa Ukraine ilikuwa ni kuteka Nuclear Plant kwa kuwa blackmailed tangu jumapili ilyopita ila jaribio limefeli
Sasa wanasema nia yao sio kushikilia ardhi ya Russia
We jamaa umeathiriwa sana na punyeto.Jamaa LIONGO HILI SIJAWAHI KUONA
Hii vita inategemea zaidi uchaguzi utakaotokea US nani anashinda...Kwangu mimi naona dalili ya hii Vita kupiganwa zaidi ya miaka 5 mbele. Japo propaganda imekuwa nyingi sana.
Wale mateka wanaochukuliwa kila upande wanaweza kuteketezwa iwapo kila upande itaona wanapoteza zaidi.
Marekani Rais hana maamuzi tambua hiloHii vita inategemea zaidi uchaguzi utakaotokea US nani anashinda...
Akishinda Trump vita inaisha..