kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Mwendo mdundo mpaka Moscow πππππ kwa hali hii kweli mtafika Moscow
Hivi ni wanajeshi 1,000 au 10,000? Maana wameshauawa 2,700 na wengine wengi kutekwaUnawezaje kupigana vita bila kuwa na air support? Hapa Ukraine amefeli sana.
Mimi nilitarajia wangevamia hapo Kursk na kupiga ambush na kurudi Ukraine. Sasa wanapoendelea kukaa humo ndani ya Kursk, logistics support inatokea wapi?
Unawezaje ku advance bila kuwa na air support?
Halafu wanajeshi 1,000 wanawezaje kuleta habari za kuteka Russia? Sometimes tuwe logical.
Kila kitu mtego. Si wamebaki 55 hawo niwakuwafanyia mtego?We dogo kwenye Military strategy hio inaitwa mtego unamsogeza adui ndani kama vile wewe ni dhaifu, afu unamzunguka ndicho alicho kifanya Mrusi.
Sawa mtoa taarifa kutoka front line.Jukumu la kuwang'oa vichwa wavamizi limeachwa kwa AKHMAT.
Tayari wameshafunga njia zote walizoingilia Hawa NATO na pia wamefunga njia ambazo wangeweza kutokea.
Sasa hivi ni msako wa pori kwa pori
Kazi Yao kuu ni kuhakikisha hakiingii kitu wala mtu na wala hatoki mtu na kitu chochote.
Mtoto kayataka mwenyewe.
Uko frontline?Mchezo unavyokwenda askari wa Ukraine wamezungukwa wanamalizwa kikatili sana.
Nimeona kabisa mwamba Hana kichwa,ukweli nimeogopa sana.Mkuu lakini si umeiona hiyo picha ya jamaa lakini.
Hivi ni wanajeshi 1,000 au 10,000? Maana wameshauawa 2,700 na wengine wengi kutekwa
Alaudinov's statementsSawa mtoa taarifa kutoka front line.
Sasa kama wanasonga mbele huko Kursk, mbona wanataka exchange dhidi ya wanajeshi wao waliotekwa huko Kursk.Ukrainian Ombudsman Lubinets said that he has already discussed with Russian Commissioner Moskalkova the topic of prisoners of war in the Kursk region, Ukraine wants all military personnel arrested from AZOVSTAL - ReutersView attachment 3070183
Anapafahamu hapo Azovstal? panahusiana nini na Kursky?Sasa kama wanasonga mbele huko Kursk, mbona wanataka exchange dhidi ya wanajeshi wao waliotekwa huko Kursk.
Kumbe ilikuwa Kuna misinformation kwenye offensive ya Ukraine kwenye Hilo jimbo
Nashukuru sana kwa taarifaHilo gari liliishapoteza muelekeo zamani sanaaa
Labda kama wewe mgeni nalo
Safari ndefu kimeona kitangulie π€£Kichwa sijui kimeenda wapi mkuu π
Mwambie Russia awawekee vikwazo us aache bla. Siyeye anawekewa na anatoa macho tu.Vita vikuu vya urusi ni kuipiga dollar kwa kutumia brics..mchezo ni mtamu sana
Ule msemo maarufu wa kipanya 'wakusema warusi wamechinjwa cjui wameliwa vichwa .Yani kweli kabisa mkuu kinyofolewa sijui aliwajibu nini watabe wakaona isiwe tabu kichwa si ndo kinakupa jeuri sasa tunatoa hiki hiki π€π€π€
Kuvamiwa anaweza kuvamiwa mtu yeyote la msingi ni hatua gani utachukua baada ya kuvamiwa.Jikite kwenye mada iliyopo, supapawa imekuwaje na yeye kavamiwa?..... What went wrong?
Alaska haikutekwa kutoka Urusi bali Urusi ililiuza kwa Marekani hivyo hilo ni eneo halali la Marekani.Russia akimalizana na Ukraine airudishe pia Alaska kutoka mikononi mwa USA π
Of course Ukraine malengo Yao yameshatimia kikamilifu hapo Kursk
1.wamevuna maelf ya wanajeshi mateka wa urusi wa kutosha
2.maeneo watakayoyashilikilia wataweka mines za kutosha
3.kakamata eneo hambalo urusi hajaweza kuliteka kwa offensive yake ya mwaka mzima ndani ya muda wa wiki Moja tu
4.kivyovyote vile urusi atatumia resources nyingi mno kuweza kuvisukuma nyuma vikosi vya Ukraine vinavyozidi kusonga mbele zaidi huko Kursk, ikumbukwe huko Kursk Ukraine alikuwa kama anaswaga ngombe tu,Wala hakukutana na upinzani wowote wa maana..,ikiwa na maana kwamba ni kama Ukraine kaipata Kursk Bure, lakini urusi atakutana na mziki mzito kuwaondoa.
5.yote Kwa yote, Ukraine bado anaendelea na counteroffensive huko Kursk,hatujui kama atakomea Kursk au la! Vip baada ya Kursk kituo kinachofuata ni kipi?Na kama itakuwa counteroffensive ya kudumu naona kabisa focus ya vita kwa Sasa itaamia urusi.
5.mwisho,hata kabla ya counteroffensive huko Kursk, Ukraine hakuwahi kuwa interested kufanya mazungumzo na urusi
50/50 yao ipo kwenye fursa tu huko kwingine men are menkwenye dhahma yote hii wanawake huwaoni π
50/50 haipo tena au