LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kijana unatatizo gani kwani mbona povu sana

Nyuzi zandani zipo watu wameamua kutozifatilia kama hizi

Nenda kale tunda kimasihara ule uzi wandani mbona nanaona una wachangiaji tele
 
Mpaka sasa hivi wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 5,000 wameshazika hapo Kursk mass Graves, supply chains ya silaha, vyakula katika front line imeshakatwa, hivyo wanajeshi wa Ukraine na NATO walioko kursk watajifia uko mbele au kusalimu amri.
Ni suala la muda tu mtasikia watu wanakula majani, unless wawe wanavamia makazi ya watu na supermarkets, lakini pia chakula kitaisha tu kwa sababu hakuna supply.
 
Kursk .
Wa Ukraine wako ktk wakati mgumu sana tofauti na wengi walivyotarajia



24 AUG, 09:01
Over 150 munitions destroyed in Kursk Region

MOSCOW, Engineers of the Russian Ministry of Emergencies destroyed more than 150 munitions in the Kursk Region, ministry’s press service told TASS.

"Search and deactivation of explosive items in the Kursk Region are performed daily within the framework of the effective counterterrorist operation regime. Engineers destroyed over 150 munitions over the entire time," the press service said.

Ministry’s ordnance technicians found and destroyed the warhead of a Tochka-U missile fired by the Ukrainian army, the press service added. To retrieve the munition, professionals had to dig a pit and find all the explosive components of the missile, it noted.

24 AUG,
Russian Armed Forces disrupt Ukrainian army attacks in Kursk Region

A tank, seven armored vehicles, and two motor vehicles were destroyed also

MOSCOW, The Russian Armed Forces thwarted attacks of assault teams of the Ukrainian army in the Kursk Region and also disrupted attacking attempts, the Russian Ministry of Defense said.

"Battlegroup North units supported by army aviation and artillery fire thwarted attacks of enemy assault groups in the direction of Borki, Spalnoye, Cherkasskoye Porechnoye and Malaya Loknya. Attempts of attacks in the direction of Komarovka and Kremnoye were disrupted. The enemy lost over 60 people killed and wounded as a result," the ministry said.

A tank, seven armored vehicles, and two motor vehicles were destroyed also.

24 AUG,
Russian Armed Forces liberate one more settlement — official

MOSCOW, Servicemen of the 810th detached Guards marine infantry brigade of the Black Sea Fleet liberated one more settlement in the Kursk direction, head of Akhmat Special Force Major General Apty Alaudinov said

"The enemy is being destroyed daily by all forces. The situation is such that our units below - 810th brigade units - took a settlement and continue the mop-up. We are holding and destroying the enemy from the top," the general said.

24 AUG, 1
Russian units use Lancet to wipe out Ukrainian combat vehicles in Kursk Region

MOSCOW,. Russian forces, using a Lancet loitering munition, have wiped out several Ukrainian armored combat vehicles in the Kursk Region, the Russian Defense Ministry said.

Russia’s Battlegroup North detected the movement of enemy vehicles and used Lancet munitions and drones to eliminate them.

The ministry provided footage of the attack.



24 AUG, 1
Russian helicopter strikes Ukrainian troops in borderline district of Kursk Region

MOSCOW,A Mi-28NM attack helicopter of Russia’s Aerospace Forces has delivered a strike on Ukrainian troops in a borderline area of the Kursk Region, the Russian Defense Ministry said.

"The army aviation crew of a Mi-28NM helicopter has delivered a strike with airborne projectiles on Ukrainian troops, armored hardware and military motor vehicles in a borderline district in the Kursk Region," it said in a statement.

The ministry provided footage of the attack.

The military agency added that, having received a confirmation from reconnaissance that all targets have been eliminated, pilots successfully returned to their home base.
 
Huwa nawaona ni wapumbavu nyie wote mnaojadili kuhusu Ukraine na Urusi au Irsael na Palestina bila kuchoka halafu ndugu zenu wanatekwa tu hovyo na kupotea hovyo wala hamjadili. Nyie ni mambwa tu wakumbafu nyie.

Takakata ephen_
Hao walevi wanaotekana acha watekana, hao ni wanasiasa acha wamalizane, wanagombania ugali, hakuna wanaopambania maslahi ya waTanzania.

Nyie wazungumzaji wa siasa ndio huwa nawaona ni khuma tu nyote hamna akili.
Mnapelekeshwa kishamba sana, hao wanajuana acha wafu wazikane.

Sijui nani wa chadema katekwa , acha watekane sisi inatuhusu nini? Huo ushoga hapa ni marufuku. Wanasiasa wote wezi tu.

Mnaambiwa muandamane flani katekwa si waanze familia zao, wana watoto, wake, baba, mama, shangazi, jirani, kaka n.k

Wanaojadili hapa wanaelewa impact ya hii vita kwenye hizi nchi zenu masikini ulimwengu wa 3.
Tuache kuzungumzia masuala ya kimataifa yenye impact kubwa kidunia tuanze kujadili pumb.u la mtu limetekwa.

Kingine hii forum ni world wide, usifikiri wote wanaishi gongo la mboto , kuna watu hapa wanaishi Europe, USA hata Russia, so toa ujinga bw mdogo


Tutoleeni u5enge.
Nyshi mkubwa.
 

Ni akili ya mjinga Zelensk kuamua kuwatoa vijana wake kafara.yani umeshindwa kulinda ardhi yako, unaenda kuvamia ardhi ya mvamizi.hii kweli akili😂😂😂
 
Poor mind. So kutekwa raia wenzako ambao wanaweza kuwa ndugu zako ni poa tu ila ujadili wa ukraine usiowaju?

Nincompoop
 
Mbuzi wewe huna akili ndio maana nilikugongea manzi uliemshobokea baby doll matrako wewe
 
Poor mind. So kutekwa raia wenzako ambao wanaweza kuwa ndugu zako ni poa tu ila ujadili wa ukraine usiowaju?

Nincompoop
Wewe ndiye poor mind, kulazimisha watu ku discuss vitu unavyotaka na kuviona vinafaa.

Ndio maana nakuambia hii forum kuna waTanzania wapo Europe wanafuatilia hapa, hii ni world wide, sio kwa ajili ya Tanzania pekee sawa? Elewa hilo.

Majukwaa yapo mengi, hizo mada kama unazipenda nenda huko, mbona zipo nyingi.

Wengine sio wapenzi wa siasa.

Mwisho, hii vita ina impact kidunia, ina impact hadi Tanzania, sasa kwanini wasijadili hali ya kuwa ni tishio la ww3?

Jaribu kuwa mstaarabu, tabia ya kuja hapa unatusi watu humu nimekuona chenga sana, uwezo wako kufikiri ni mdogo.
 
Wewe unauwezo mdogo ndio maana ulipomshobokea doll nikakushinda sababu wewe ni zero IQ. Nipe new challenge hapa ephen_
 
Kama mnafatilia vizuri mara ya mwisho niliweka idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaokufa Kursk ilifika 4700 Leo 24 Aug imefika 5500.
Lkn pia silaha nyingi zao zinazidi kuteketezwa.

Ukraine Loses Over 5,500 Troops, 71 Tanks in Kursk Region Since August 6

MOSCOW Ukraine has lost over 5,500 troops, 71 tanks, 57 armored personnel carriers and other military equipment in the Russian region of Kursk since early August, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
"Since the beginning of hostilities in Kursk region, the [Ukrainian] losses amounted to more than 5,500 troops, 71 tanks, 30 infantry fighting vehicles, 57 armoured personnel carriers, 372 armoured fighting vehicles," the defense ministry said.
The Ukrainian army lost 170 motor vehicles, 36 artillery guns, five anti-aircraft missile systems, 11 multiple launch rocket launchers, including three HIMARS systems and one multiple launch rocket system, seven electronic warfare stations, a counter-battery warfare station, four units of engineering vehicles, including two counterobstacle vehicles and one UR-77 mine clearing vehicle.
In the attack on the Kursk Region alone, Ukraine lost more than 360 troops and 29 armored vehicles over the past 24 hours, the ministry estimated.
"Over the past 24 hours, the [Ukrainian] losses amounted to more than 360 troops and 29 units of hardware including two tanks, three infantry fighting vehicles, two armoured personnel carriers, 22 armoured fighting vehicles, two artillery guns, 12 motor vehicles, one Bukovel-AD electronic warfare stations, and one counter-battery warfare station," the bulletin read.

Huko maeneo mengine ndani ya Ukraine
Hali Iko hivi kw siku ya Leo 24 Aug

Russia's Special Operation in Ukraine

Ukraine Loses 2,100 Troops in Special Operation Zone in Past Day
24.08.2024

MOSCOW - The Ukrainian armed forces have lost approximately 2,100 servicepeople in the special operation zone over the past day, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
Russian troops of the West grouping inflicted losses on four Ukrainian brigades, eliminating up to 520 enemy soldiers.
Meanwhile, the South grouping of Russian troops repelled a Ukrainian counterattack and progressed to more advantageous positions, with Ukrainian forces losing up to 690 personnel during this period, the ministry said in a bulletin. Three Ukrainian ammunition depots were destroyed.
In the operational zones of the North grouping in the Sumy and Kharkov regions, Ukrainian forces lost up to 135 servicepeople and a German-supplied Marder infantry fighting vehicle. Ukraine also lost around 130 .
 
Wewe unauwezo mdogo ndio maana ulipomshobokea doll nikakushinda sababu wewe ni zero IQ. Nipe new challenge hapa ephen_
We chokoraa sijawahi tembea na manzi yeyote jf, cause sitaki.
Mkoma kama wewe hata nikitokea watu watajua we ni mfanya kazi wangu.

Mi sio levels zako dogo.
Sijafikia ufukara wa kugombea demu na wewe.
 
PUTIN IS CRAYNG....
Iranian President Hassan Rouhani called to congratulate Ukrainian President Vladimir Zelensky and the people on Ukraine's Independence Day, reports the Iranian president's press service. Putin's faithful lackey Lukashenko also suddenly “changed his shoes” and very curly congratulated Ukraine on Independence Day. The full congratulations were published by the head of state's press office.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…