kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Shida zako utupigie kelele,kwani ww ulitaka JamiiForums yote I post mambo ya Tanzania tu?! Ndio maana Kuna majukwaa tofauti,usitupangie Cha kuandika humu aise!JamiiForums Huu upuuzi mna entertain kwa manufaa ya urusi au ukraine? Kwanini hakuna nyuzi za yanayoendelea Tanzania? This is a slave mentality and pyscho symptoms.
Mnajadili kwa wingi ya wenzenu wakati yenu yanawasumbua. How comes this is allowed to happen wakati tukianzisha nyuzi tukibweka mnazifuta?
Maxence Melo Paw Abrianna JamiiForums mnatuchezea au?
Tulikua na nyie kule Kisutu daily ila hamjali mnaendekeza upuuzi eti threds zina trend ni za mataifa mengie wakati sisi huku mapinjii wanasanya tu, au mko kwa mgao?
Maxence Melo usiendekeze hizi mambo. Ni sawa we need to know about international issues ila iso kuuweke eti special thread wakati vile vinaendelea hata hap ground zero hamuvipei uspesho wowote.
Ban me, kick me out but today is the day I got fed up with this shit.
Mzee wa vodka karudi. Ukraine anamhemesha vibaya bado anachimba biti West! huo moto itakuwa wa mabua.
Wewe usijifanye hamnazo hao wanouwawa huko ni Watu kutoka Ulaya na majeshi yote ya Nato yako hapo.Sasa kama Russia inaweza kuishambulia 3/4 ya nchi ya Ukraine ndani ya siku 2 mfululizo na bado kuna wanajeshi wa Ukraine wanapigana Kursk na wanajaribu kuvamia kuingia ndani ya Russia kupitia Belogrod...Sasa Russia wanashambulia Ukraine kuzuia kitu gani?
Hawa wanajeshi wa Ukraine ni majinamizi Wasiyoisha au kuweka silahaa chini kwamba wameshindwa vita.
Kweli wanajeshi wetu wawaige wanajeshi wa Ukraine kukipigania nchi Yao regardless wamevamiwa na adui mwenye nguvu kiasi gani...
Hongereni sana wanajeshi wa Ukraine; piganeni kuitetea nchi yetu ata kama itabaki wilaya moja kuliko kumpigia adui magoti.
Huyu Wameuwawa kwenye hiyo Hotel walikua watu zaidi ya 140 wote wanajeshi ila wao wanamuita safety adviser
Gaidi ni nani ?Ukraine inakabiliana kishujaa sana dhidi ya magaidi
Ukraine wanauawa kishujaaUkraine inakabiliana kishujaa sana dhidi ya magaidi
Sema lakini wananyeto mnajua kuchekeshaUkraine inakabiliana kishujaa sana dhidi ya magaidi