LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kulaaa Chumaa
Halafu kumbe jamani Makyuma kyumaa
Jamani Makyuma Kyuma ya F kumi Sita yamekula moto na hamsemi???? Hanga zima limeunguzwa zilikua 20 zote zimekula kibiriti huu mziki mnene leteni zingine sisi tunazisubiria

Cc mapanya
 
Hanga nzima la F 16 limepigwa Kibiriti
Hiyo Wanayosema ni Moja Ni Uongo mtupu hizo Ndege zilikua 30 zote zimekula Kibiriti.....

MSisahau marubani wa Marekani waliokua kwenye ile hotel ya Saphire Hotel wote walikua moto pia
Hizi ni porojo tu as long as huna reference yoyote huna tofauti na mlevi wa kijiweni.
Halafu sio hanga ni anga umefika hata form four kweli wewe?
 
Hizi ni porojo tu as long as huna reference yoyote huna tofauti na mlevi wa kijiweni.
Halafu sio hanga ni anga umefika hata form four kweli wewe?
Wewe Una Ka degree kako ka UDSM unambeza mwenzio

Anyway,ujumbe umefika pro west hii kitu haihutaji makasiriko au kama vipi chukua visa sogea frontline ukawasaidie Ukraine na west 😀😀
 
Ukrainian pilot Oleksii Mes has died on August 26 during the massive Russian attack on Ukraine. He destroyed three cruise missiles and one attack drone.

In the archive photo, Andrii "Juice" Pilshchikov and Oleksii "Moonfish" Mes are conducting advocacy work to lobby Ukraine receiving F-16s.

F-16s are in Ukraine thanks to their work, as well.

Eternal memory and eternal glory to Ukrainian Heroes! Aircraft are metal. People are priceless and irreplaceable.
 
Wewe Una Ka degree kako ka UDSM unambeza mwenzio

Anyway,ujumbe umefika pro west hii kitu haihutaji makasiriko au kama vipi chukua visa sogea frontline ukawasaidie Ukraine na west 😀😀
Hii ni Id yako nyingine sio? suala siyo mimi kuwa na degree suala ni kujua kuandika kwa usahihi. nyie watoto sikuhizi hamjui kuandika kwa usahihi.

Taarifa mtu analeta kwa maneno matupu kama yeye ndio anapigana frontline watu wenye akili timamu watajua hizo ni porojo tupu.

Tupo na kina DAEMUSHIN humu na sikuhizi namuona Maonihuru sikuzote huwezi kuwabeza sababu wanaleta na reference.Muwaige hao jamaa ndivyo inavyopaswa kuleta habari namna hiyo.
Mengine ulioandika ni mipasho ya kike acha hiyo tabia mdogo wangu
 
Ukrainian Officials Push for U.S. Approval to Strike Russian Targets

Ukrainian Defense Minister Rustem Umyerov and President's Office Head Andriy Yermak are heading to Washington with a list of Russian targets for long-range American weapons, according to CNN.

"During personal meetings with representatives of President Biden's administration, Ukrainian officials will present a list of priority targets in Russia, seeking to persuade the U.S. to lift restrictions on the use of long-range weapons," the article states.

Sources note that without striking these targets, it will be challenging for Ukraine to shift the war in its favor.

On August 30, Umyerov will meet with U.S. Defense Secretary Lloyd Austin. It is currently unclear whom Yermak will meet.

A member of parliament interviewed by journalists emphasized that territory near the border, which can be reached with Western weapons, is still part of the Russian Federation.

"We see strikes deep into Russian territory by American weapons as no more provocative than strikes near the border. Both are Russian territory, regardless of how deep the targets are located," he said.

 
Russian authorities are creating new volunteer territorial defense units in response to the ongoing Ukrainian offensive in Kursk region, which suggests Vladimir Putin's reluctance to counter the offensive more extensively, including through general mobilization, fearing public discontent or a large-scale redeployment of troops due to possible disruptions of Russia’s own offensive efforts in eastern Ukraine.
 
Pokrovsk ni kipande cha mwisho kinounda eneo lote la Donbas.

Mji huu ukianguka na kuwa chini ya Russia, basi malengo ya SMO yatakuwa yametimizwa na hapo Russia wataweza kukubali kuketi kwa mazungumzo.
Mmh hapana, vipi kuhusu Kostiantynivka, Kramatorsk, Slovyansk na hata Chasiv Yar??
 
Pokrovsk ni kipande cha mwisho kinounda eneo lote la Donbas.

Mji huu ukianguka na kuwa chini ya Russia, basi malengo ya SMO yatakuwa yametimizwa na hapo Russia wataweza kukubali kuketi kwa mazungumzo.
Aisee!
Safi sana.
 
Hanga nzima la F 16 limepigwa Kibiriti
Hiyo Wanayosema ni Moja Ni Uongo mtupu hizo Ndege zilikua 30 zote zimekula Kibiriti.....

MSisahau marubani wa Marekani waliokua kwenye ile hotel ya Saphire Hotel wote walikua moto pia
Mimi Pro Haki kindakindaki,
Sijawahi kuficha kua Mimi ndie "Lee Vladimir Creef".
Ukweli ni kwamba sitaki kuamini kabisa habari hii,ni mapema mno kuiamini.
 
Almost immediately after Mongolia cancels Russian gas pipeline plans, Putin will visit for the first time the country forced to arrest him under the Hague warrant. Big test for rule of law as Kremlin announces Putin's visit to Mongolia on September 3. Now we know why Putin wants to run Mongolia.
 
Mimi Pro Haki kindakindaki,
Sijawahi kuficha kua Mimi ndie "Lee Vladimir Creef".
Ukweli ni kwamba sitaki kuamini kabisa habari hii,ni mapema mno kuiamini.
Mykhailo Podolyak, Office of the Ukrainian President announced this, from 1 January 2025 the "Sudza" gas pipeline from Russia through Ukraine will stop working, thus the flow of oil to Slovakia, Czech Republic and Hungary will end. Ukraine will also completely stop the transit of Russian gas from January.
 
Warusi wanafahamu hilo la Odesa na kwamba ndo chanzo cha mashambulizi khasa ya Crimea. Usiku wa jana vifaa mbalimbali kutoka NATO vilokuwa vyangojewa na majeshi ya kukodi vyote vimechomwa moto na mashambulizi ya makombora ya Iskander.

Odesa ndio itakuja kuchukuliwa kwasababu ndipo ilipo bandari kubwa kama ya Dar-es-Salaam na NATO hawana sehemu ingine ya kutua mizigo isipokuwa hapo Odesa.
 
Habari mchanganyiko.

RT news
Ukrainian MP claims F-16 was downed by Patriot
A lawmaker believes the military may be hiding the true cause of the incident.

Ukrainian lawmaker Mariana Bezuglaya has accused the military of trying to downplay the loss of a Western-supplied F-16 fighter jet, saying it may have been destroyed by friendly fire.

Kiev has confirmed the loss of an F-16 along with its pilot, without disclosing the cause.

“According to my information, the F-16 piloted by Aleksey ‘Moonfish’ Mes was hit by a Patriot anti-aircraft missile system due to discoordination between units,” Bezuglaya wrote on Telegram, noting that all official reports thus far insist he merely “lost control.”

“War is war, such episodes are possible. But a culture of lies… leads to a management system for military decisions that does not improve based on truthful, consistently collected analytics, but worsens and even collapses, as seen in the Pokrovsk direction,” she added, referring to Russia's recent advance toward the Donbass city of Pokrovsk.

According to Ukraine’s General Staff, the fighter jet incident occurred when F-16s were deployed “together with units of the anti-aircraft missile forces” to repel a coordinated Russian strike earlier this week. At some point, “communication with one of the aircraft was lost” before it was confirmed that it “crashed.”

The Defense Ministry in Kiev has set up a special commission to investigate the incident.

A source within the Ukrainian Air Force told Voice of America that potential causes under examination include pilot error, technical malfunction, and “friendly fire” from Ukrainian air defenses. Another source told CNN that the Ukrainian Defense Forces do not believe pilot error was the cause.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…