BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Jamani mkatazeni Putin mbona atawamaliza hawa mashoga?? Kipigo kinachotembezwa hizi week 3 tangu wakuda waingie Kursk ni cha hatari mnoo yaani hatari kubwaa..Link:
UPDATE: RUSSIAN MISSILE STRIKE AGAINST POLTAVA WIPES-OUT SAAB CORPORATE DIVISION EXECS
UPDATE: RUSSIAN MISSILE STRIKE AGAINST POLTAVA WIPES-OUT SAAB CORPORATE DIVISION EXECS
September 04, 2024
In the Russian missile strike against the Communication Training Center in Poltava, Ukraine there are many Swedish and Danish instructors among the dead. They are from the AWACS and drones company Globaleye of SAAB.
Word in Intelligence Circles is that Sweden lost the entire top management of SAAB Airborne Early Warning & Control (AEW&C) systems.
So ferocious was the Russian attack that 15 trucks evacuated dead foreign NATO troops + officers: 700+ dead/wounded.
Yesterday, in my initial reporting of this incident, I reported more than 700 dead (Story Here). This is now being confirmed by a Ukrainian in Poltava:
View: https://x.com/NovichokRossiya/status/1831401174492442646
Swedish Foreign Minister Billstrom has now resigned after Russian Iskander missiles hit Poltava, and Sweden suffered war dead just months after joining NATO, at the behest of the now-former, Foreign Minister.
Ukraine units are being withdrawn from the south Dnipropetrovsk region, from the Krivoy Rog area, from the Zaporizhzhya and Kherson regions and are being transferred to Pokrovsk, Mirnograd and Selidovo to try to defend Poltava and that area. ALL of those new troops are presently being hit with Fuel Air Bombs (FABs) by the Russian air force.
Polen sana Mzee MwenzanguUkrainian soldiers are using so-called "dragon drones" against Russia, that rain fire down on the battlefield, Ukraine's Defense Ministry confirmed on Sept. 4.
Mwamba aliyakalia vibaya haya mashoga tangu zamani hayamwezi huyu jamaa...Eeh Mungu mbariki mama aliemzaa Putin.
Kursk inawezekana ni eneo takatifu,ndo maana putin kamaind sana mashoga kuingia humo.Jamani mkatazeni Putin mbona atawamaliza hawa mashoga?? Kipigo kinachotembezwa hizi week 3 tangu wakuda waingie Kursk ni cha hatari mnoo yaani hatari kubwaa..
CC:KIPANYAJamani mkatazeni Putin mbona atawamaliza hawa mashoga?? Kipigo kinachotembezwa hizi week 3 tangu wakuda waingie Kursk ni cha hatari mnoo yaani hatari kubwaa..
Umemaliza Kila kitu ila kipanya44 na wenzie watakaza fuvu kukataaNajua wewe hua ni mbishi wa kukubali ukweli.
Iko hivi,kwa mujibu wa uliemjibu ni kwamba.
"Ukraine anapata misaada kutoka west inayowekwa hadharani na misaada mingine inatolewa kwa Siri."
Sasa wewe Kwa kupenda kwako ubishi unasema hata Urusi nae anapewa misaada kwa Siri.
Sawa.
Kwa hiyo bado hoja inabali pale pale kua, Ukraine inapewa misaada kwa uwazi na usiri.
Lakini hakuna ushahidi kwa Urusi kua anapewa misaada kwa uwazi,hadharani ama inayojulikana.
Sasa Mimi nakuambia hivi,
sijawahi kuona ama kusoma ama kuisikia popote pamefanyika mikutano ya ama wakuu wa kijeshi wa nchi nyingi kwa pamoja wakijadili kuisaidia Urusi kwa pamoja kama wanavyokaa wakuu wa kijeshi wa NATO na west wakijadili kuisaidia Ukraine Kwa silaha, fedha na maarifa.
Pia sijaona wala kusoma wala kusikia wakuu wa nchi,au mawaziri wa nje,au wa ulinzi wa nchi nyingi kwa pamoja wakijadilia kuisaidia Urusi kama wanavyokaa wakuu wa nchi za NATO na west,G7,EU n.k kujadili kuisaidia Ukraine.kwa silaha,fedha na maarifa.
Sijawahi kusoma wala kusikia wala kuona nchi nyingi kwa pamoja zikihimizana kupeleka michango ya fedha ama silaha ama kuiwekea na kuiongezea vikwazo Ukraine kama wanavyofanya kwa Urusi.
Sijawahi kuona ama kusikia ama kusoma nchi zikiiwekea vikwazo ama kuitenga Ukraine kama inavyowekewa na kutengwa Urusi.
Kwa hiyo, hizo ndizo tofauti za misaada anayopewa Ukraine na kile ambacho wewe unasema kua Urusi nae anapewa misaada.
Najua utazungumzia drone za Iran,
Je hizi dron zilikua ni misaada ama Iran ilitaka kujaribu drone zake?
ama Iran ilifanya biashara na Urusi?
Mimi sijui,
je Kwa wakati Iran inatoa dron hizo Urusi ilikua Ina uhitaji wa dron hizo?
Au Urusi haikua na dron kabisa?
Je Urusi ilikua imezidiwq halafu droni za Iran zikaja kuongeza nguvu?
Ama Urusi ilikua inasonga mbele halafu droni za Iran zikaja kuongeza nguvu?
Je unaweza kulinganisha au kufananisha drone za Iran alizompa Urusi (kama misaada),dhidi na silaha,fedha, intelligence,ushauri,vikwazo kwa Urusi,masanaries,mafunzo na misaada mingine yote anazopewa Ukraine na NATO west toka vita ianze?
Naomba tuwe wakweli.
Na wewe nijibu pia "satellite" ni silaha za aina gani.,ni silaha au sio silahaHa ha haa,nimemuuliza rafiki Yako anipe jibu,kama una weza msaidie wewe kunipa jibu.
Swali langu ni hili,
ili tuelewane naomba unifahamishe "Macroelectronics" ni silaha ya aina Gani,Ni silaha au sio silaha?
Kisha tuendelee.
Ukiunganisha dots na kauli alizozitoa Putin Leo unaona kabisa kwamba urusi kachoka na hii vita.,anatafta the way aut.,hiyo kauli kutolewa na kamanda wa ngazi ya juu hivo si bahati mbaya!Kauli ya kamanda aliyeko mstari wa mbele kabisa.
Kwamba OP wameshashinda.
Russia already won special military op — army official
"Our next task is to do everything possible to ensure that we remain a united family ready for future challenges," Apty Alaudinov said
MOSCOW, September 5. /TASS/. Russia has already claimed victory in its special military operation, Major General Apty Alaudinov, commander of the Akhmat special forces commando unit, said.
"I always say that we have already won this military operation. Our next task is to do everything possible to ensure that we remain a united family ready for future challenges," he said in a video published on his Telegram channel.
Earlier, Alaudinov told TASS that the Russian military had prevented Ukrainian troops from sending reinforcements into the Kursk Region at night.
Nyani katema bung'oJamani eeeeeh! Nyani katema bungo huko, mwanzoni alibana mwishowe kaachia😎😍🤩View attachment 3087736
Huu Mji unapakana na Poland silaha zote zikitoka huko Ulaya zinaingilia pale hivyo zinakula Kiberiti haraka sana ndio mana unapigwa sana huo mji..Nadhani Lviv ndio mji ulipo mbali na front line unaaongoza kula missiles
Wewe kirat kwa hali ya kawaida unafikiri ni nchi gani inaweza kuwaita hawa jamaa kwenye meza ya mazungumzo? Nchi kubwa za ulaya isipokuwa Uturuki zipo upande wa Ukraine. China, Brazil, na India ndio zinaonekana zipo neutral kwenye huu mzozo. Lakini pia ni washirika wakubwa wa Russia kiuchumi na biashara. Pia ni member waanzilishi wa inayoitwa BRICS. Moja kwa moja Russia anawaamini.Naona Putin kaanza kujitongozesha.., operation ya Kursk imembana mbavu kweli 🤩😍😎View attachment 3087691