LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huo ushaidi kama ni wa uhakika kwa nini urusi asiutumie kama justification ya kuwashambulia NATO!
The ministry noted that 2,960 mercenaries arrived in Ukraine from Poland. The US was second with 1,113 "soldiers of fortune" and Georgia third ...
===
Neno kuu hapa ni "Mercenaries"!
Ufaransa naye alituma askari wake kwa gia ya mercenaries akapata kilichompata Sweden juzi kati!!!
 
Kama Hivyo Basi kwanini hawajivamia Urusi maana waja mitambo ya Kujikinga na Urusi haina madhara kwao...! Lowasa aliwahi kusema nchi hii inahitaji Elimu Elimu Elimu

Akisha maliza nae anamalizwa.
 
Unapenda sana kuwaambia wenzako Wana IQ ndogo.. sijui ujasiri huo unaupata wapi...hiyo niarrogance ...Binafsi huwa siwapendi arrogant people...wanaojifanya wao ni Bora kuliko wengine wakati wao wenyewe Hawana ubora huo..
 
Unapenda sana kuwaambia wenzako Wana IQ ndogo.. sijui ujasiri huo unaupata wapi...hiyo niarrogance ...Binafsi huwa siwapendi arrogant people...wanaojifanya wao ni Bora kuliko wengine wakati wao wenyewe Hawana ubora huo..
Namshukuru sana Mungu. Akili kila mtu amepewa lakini ukiwa MVIVU kuitumia ndio unakuwa MJINGA KAMA WEWE
 
Umejifunza kitu cha uongo, SMO imebakia tu hapa JF, Urusi mwenyewe kwa sasa anaita ni vita na Ukraine. Kwa akili za kawaida tu, SMO gani unahitaji kuzunguka duniani huko ukinunua silaha na kuajiri wapiganaji?
Ni SMO kwa maana aina ya askari,silaha zinzotumika na lengo la mashambulizi ni la SMO sio vita.Ikitangazwa vita utaowaona kwa wingi mstari wa mbele ni elite Russian forces,hakutakuwa na limitation ya matumizi ya silaha na malengo ya kupigana hayatakuwa tena kumdhoofisha adui ili akubali kujadiliana, bali kipigo cha kuogofya ili adui ajisalimishe.Na hapo ndipo utaona yale yaliyofanywa na Israel kwa Gaza yakitokea pia Ukraine.
Wale ambao mnajizima data kuita hii ni vita kamili,hivi hamjiulizi kwa nini kwenye mashambulizi makubwa ya mabomu ya Russia hakuripotiwi idadi kubwa ya vifo vya raia? Tujikumbushe hawa wanaojiita watu wa demokrasia walisababisha vifo vya raia milioni tatu wakati walipovamia Iraq.Mwaka wa tatu huu unaingia kwenye SMO ya Russia,je ni raia wangapi wa Ukraine wamekuwa wahanga wa hii vita mpaka sasa? majibu ya swali hili yatakusaidia kuelewa tafauti ya malengo ya Vita kamili na SMO.
 
Mara zote mweka vikwazo anakuwa anategemewa pakubwa na muwekewa vikwazo.Inakuwa kama adhabu ya kumshurutisha kutekeleza matakwa yenu.Collective west walijisahau ya kuwa na wao wanamuhitaji sana Russia kwenye maisha yao kila siku kiuchumi na kiusalama kama na yeye anavyowahitaji.Kwenye scenario kama hii ni ujinga kuweka vikwazo kwa sababu hata nyinyi mtaumia.Uchumi wa German umeporomoka kwa kiwango kikubwa kwa sababu ya kutumia expensive energy supplies kama mbadala wa Russian energy.
kiusalama vile vile hali si shwari kama ulivyoona France amekatiwa mirija yake muhimu ya unyonyaji aliyojiwekea Africa ikiambatana na kufurushwa kwa aibu.
West wamepoteza zaidi kwenye vikwazo kulikoni Russia.
 
Acha makasiriko, kakwambia nani mimi ni pro- Ukraine? Kwanini mtu akiongea ukweli kwa upande wenu mnamchukulia kama adui? Kama Urusi ameshaichukua Donbass yote kwahyo mapigano yapo mji gani kwasasa?
Kwani nani kakuambia Pro Ukraine ni adui zetu?
Sisi sio warusi wala NATO.
Watu wengi humu tunaijadili vita hii lika mtu na matazamo wake.
Sisi Pro Russia tunaona Urusi anayo haki ya kupinga kutanuka Kwa NATO na pro NATO wanaona Ukraine anayo haki ya kujiunga na NATO.
Hizo ndio sababu za vita hii.
Lkn hakuna maadui humu.
Lon nyinyi Pro NATO hamna hoja za maana,shida ndio Iko hapo.
 
Ila umenichekesha uliposema ni wababe kinyama.
Umenikumbusha Wa Houth,aisee Hawa wahuni waache kabisa,Hawa Mimi nawafananisha na honey badger 🦑,huyu mnyama ni mdogo kwa umbo lkn mtata balaa,haogopi na ,Kuna kipindi hua anakimbiza Simba na chui.
Yaani Houth Hadi Urusi kawakubali,mambo waliyowafanyia west hata Urusi na china hawajafanya Yaani Hawa wakiwezeshwq watatisha.
Hawa akili zao hazitofaitiani sana na watalaban,maana wote ni manunda.
Watalaban nao hawatishiwi na adui yoyote,hawaogopi umbo la adui.
Njoo kwa wavietnam,hawa ni Mbwa wa vita,roho ya paka,Hawa ni no retreat no surrender fighters.
Najaribu kuangalia kama wakiwa upande wa Urusi Hali itakuaje.
 
Ndugu Mimi wala wengi humu hatujasema Urusi haiathiriki wa watu wake hawafi ktk vita hii,hamna vita isiyo na Vifo.
Urusi kutuma makombora new York wala sio suala la ubabe ,Bali ni suala la muda TU.
Nakuambia hivi muda hujafika,muda ukifika wala sio new York TU,Bali miji mingi ya nchi za west makombora yatatumwa TU,na kinyume chake.
Nchi hizi zimetengeneza makombora kwa kazi hiyo naida ukifika yatatumika.
Ni rahisi TU kuelewa.
Siku zote vita zote ama mgogoro yote huanza hatua kwa hatua,na matumizi ya silaha IPi ianze pia hufanyika hatua kwa hatua,mana yake ni kwamba,Kila mgogoro unavyozidi kujua na matumizi ya silaha kubwa ndivyo yanavyozidi kuongezeka.
Sio TU silaha kubwa kuongezeka Bali pia vita hupanuka.Mfano umeona Ukraine wamevamia Kursk.
Hivyo kama. West wakiongeza kupump silaha na kurusu silaha hizi kupiga sehemu muhimu ndani kabisa ya Urusi,usidhani Urusi itakaa kimya.
Urusi itafanya kitu kikubwa sana hiyo ndio hali halisi.
Ni suala la muda TU
Ndio maana watu wenye busara wanashauri busara itumike.
 
Kinachowabeba hao jamaa ni kila vita wanayopigana wao wanaamini kufia imani.
Wanaamini in martyrdom.
Ndio maana hata wenyewe wazungu wanakwambia ni ngumu kupigana na mtu ambaye anaamini kufia imani acha.
Waulize USA askari wake walivyouawa Somalia kipindi cha Farah Aidid.
We houthi wa kuishikilia red sea kweli!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu kuna baba yao Iran anakupa vitisho kwanza ukijaa anakujambishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Angalau huyu amejaribu kubuni kitu tofauti.
Sasa unakuta kijimtu humu kinakosoa watu amabao wamekwishafika kwenya nyota,lkn chenyewe hata kutengeneza vijiti vya Chelewa TU kwa ajili ya kuchokonolea meno kimeshindwa.
Unakuta vijiti vinatoka mojawapo ya nchi inayotaka kujiunga na BRICS.
Halafu eti kinakuambia BRICS ni kikao Cha vikoba.huku kikiwa kimevimba kabisa.
Hongera kwa Chaula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…