Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Maelezo mengi ila yamejaa ujinga mwingi sana.Ni SMO kwa maana aina ya askari,silaha zinzotumika na lengo la mashambulizi ni la SMO sio vita.Ikitangazwa vita utaowaona kwa wingi mstari wa mbele ni elite Russian forces,hakutakuwa na limitation ya matumizi ya silaha na malengo ya kupigana hayatakuwa tena kumdhoofisha adui ili akubali kujadiliana, bali kipigo cha kuogofya ili adui ajisalimishe.Na hapo ndipo utaona yale yaliyofanywa na Israel kwa Gaza yakitokea pia Ukraine.
Wale ambao mnajizima data kuita hii ni vita kamili,hivi hamjiulizi kwa nini kwenye mashambulizi makubwa ya mabomu ya Russia hakuripotiwi idadi kubwa ya vifo vya raia? Tujikumbushe hawa wanaojiita watu wa demokrasia walisababisha vifo vya raia milioni tatu wakati walipovamia Iraq.Mwaka wa tatu huu unaingia kwenye SMO ya Russia,je ni raia wangapi wa Ukraine wamekuwa wahanga wa hii vita mpaka sasa? majibu ya swali hili yatakusaidia kuelewa tafauti ya malengo ya Vita kamili na SMO.
Hiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekaniNa ni wababe kinyama😂😂😂😂😂.
Pale middle East nchi takriban zote zitakua upande wa Russia.
Asia pacific 90% ni pro Russia kwasababu ya China.
North Korea mama yanguuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Dunia simama nishuke.
North Korea walionesha uwezo tokea vita za mgawanyo za 1959 za Korea.Hiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekani
Kaka taifa lolote la nuclear siwezi kulichkulia poa, iwe Urusi au Pakistan, ila kuhusu north Korea ndio ilianza kuivamia south Korea kwa kigezo kuwa ni sehemu ya jimbo lake, kuingilia kati kwa marekani ndio kulisababisha kupatikana kwa Korea zote mbili.North Korea walionesha uwezo tokea vita za mgawanyo za 1959 za Korea.
Nguvu ya Korea kaskazini ndio chanzo cha Korea kusini kuhitaji msaada USA.
Na USA akapata chambo.
China alivyompa sapoti North Korea USA na South Korea walitaambika kiasi kuomba mazungumzo.
N.korea usiwachukulie poa mkuu.
Kuingilia kwa Uchina ndio kukapatikana Korea mbili sio Marekani.Kaka taifa lolote la nuclear siwezi kulichkulia poa, iwe Urusi au Pakistan, ila kuhusu north Korea ndio ilianza kuivamia south Korea kwa kigezo kuwa ni sehemu ya jimbo lake, kuingilia kati kwa marekani ndio kulisababisha kupatikana kwa Korea zote mbili.
I believe they have done that already.Should we believe that the Houthis have the technical know how to manufacture the type of missiles which have hit their target in Israel so precisely and without detection? I don't think so.Another country must have been involved,possibly Iran or Russia.Read this👇View attachment 3009749
🇷🇺🇺🇸🇫🇷🇬🇧🚨‼️ BREAKING: Russia will deliver the same type of weapons to conflict zones to strike western assets of those countries that deliver weapons to Ukraine!
Yemenis are rubbing their hands right now!
Which "mass media Kipanyaaa?"The kneeling are Ukrainian soldiers pretending to be Russian prisoners of war,huu ni usanii tu.NEWS FROM THE FRONT -
The Ukrainian Armed Forces defeated the Russian occupiers near Lyubimivka in the Kursk region, the attack ended in a defeat for the Airborne Forces of the Russian 51st Airborne Regiment, one of the "elite" Russian units, - mass mediaView attachment 3096468.
Sasa mkuu ndio uone North Korea sio mtu mwepesi.Kaka taifa lolote la nuclear siwezi kulichkulia poa, iwe Urusi au Pakistan, ila kuhusu north Korea ndio ilianza kuivamia south Korea kwa kigezo kuwa ni sehemu ya jimbo lake, kuingilia kati kwa marekani ndio kulisababisha kupatikana kwa Korea zote mbili.
Uko Kursk Ukraine amepata mtaji mkubwa sana wa mateka zaidi warusi,kubali kataa!Which "mass media Kipanyaaa?"The kneeling are Ukrainian soldiers pretending to be Russian prisoners of war,huu ni usanii tu.
Namimi ni pro Russia kakaNa wewe ni lazima utakua Pro Russia TU.
Maana kumtambua mtu mwenye akili na kutambua kua ametema madini ni lazima nae uwe na akili.kwa sababu mtu asie na akili hawezi kujua kua haya ni madini.
Hawa askari wa Russia hovyo sana, Ukraine wanajikamatia kama kumbikumbi.NEWS FROM THE FRONT -
The Ukrainian Armed Forces defeated the Russian occupiers near Lyubimivka in the Kursk region, the attack ended in a defeat for the Airborne Forces of the Russian 51st Airborne Regiment, one of the "elite" Russian units, - mass mediaView attachment 3096468.
We mwerevu tuhabarishe ya kwako.Hapa tunabadilishana mitazamo ya mambo.Jukwaa litapenda sana ukitupa mlinganisho wa vita hii na ile ya USA na NATO kwa Iraq.M
Maelezo mengi ila yamejaa ujinga mwingi sana.
Tutajie vita ngapi alizoshindwa tuongeze maarifa.Hiyo north Korea hata usitishike nayo, duniani tunahitaji balance of power lakini kwa north Korea Bado sana, vitisho na mikwara havijawahi kushinda vita, hiyo north Korea haijawahi kushinda vita yoyote, kuwa na nuclear Saba sio sababu ya kuipa point kubwa ya kushinda vita vyake dhidi ya marekani
Hivi mrusi akianza biashara ya kuyauza hayo ma-vyuma chakavu si atapiga hela!!Huu msafara sijui umetoka NATO.umekitana na kitu kizito 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
View: https://x.com/ug_chelsea/status/1834973620809936951?t=zz6JRyEOtp31g7soDZ8fWQ&s=19