Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In total, Ukrainian forces have lost as many as 15,650 troops, 124 tanks and 121 artillery guns since fighting began in the Kursk area, the ministry said.
 
Hizo iron dome zilizopigwa na drones za Iran, juzi Houthis walipiga katikati ya jiji la Israel kwa kutumia technology ndogo ya Iran ya ballistic missile. Sasa watawekaji Ukraine kwenye advanced technology ya Russia. Zitapigwa Asubuhi tu, kama zile za Marekani zimeteketezwa kabisa ambazo USA walikuwa wanajidai nazo sembuse hizo outdated technology za Israel.
 
Wanataka kumupindua maana Zelensky Muda wake umeisha toka mwezi wa tano, kunatakiwa uchaguzi. Na uchaguzi ukifanyika anapigwa chini. Ukiona Raisi anafukiza makamanda wakubwa ujue hali siyo nzuri, soon atapigwa chuma.
 
The West watabaki kuwa mabonge nyanya tu,hamna kitu mkuu.
 
Uko sahihi kabisa mkuu,the West maneno meengi,lakini hamna kitu.Russia wanafanya mambo yao quietly,lakini kishindo kikubwa kwekweli.A formidable fighting force indeed.
 
Wanataka kumupindua maana Zelensky Muda wake umeisha toka mwezi wa tano, kunatakiwa uchaguzi. Na uchaguzi ukifanyika anapigwa chini. Ukiona Raisi anafukiza makamanda wakubwa ujue hali siyo nzuri, soon atapigwa chuma.
Unajidanganya
The West watabaki kuwa mabonge nyanya tu.Hamna kitu.
Mabonge nyanya kivipi? Kama kiuchumi Russia ipo nyuma ya UK, German, FRANCE, labda kijeshi ambapo kama Europe itaungana kwapamoja itaweza kuishinda Urusi, lakini kwa nchi moja moja hakuna inayoweza kuishinda Urusi
 
Hawawezi kukamata meli za Russia za mafuta, sijui watafanyeje, the biggest buyers of Russia oil ni China and India ambako USA hawezi kuweka mdomo wake.
 
Unajidanganya

Mabonge nyanya kivipi? Kama kiuchumi Russia ipo nyuma ya UK, German, FRANCE, labda kijeshi ambapo kama Europe itaungana kwapamoja itaweza kuishinda Urusi, lakini kwa nchi moja moja hakuna inayoweza kuishinda Urusi
GDP ya Russia ni ya nne baada ya USA, China na India. I'll, German, France uchumi umeporomoka sana. Angalia data za bank ya Dunia na IMF
 
Unajidanganya

Mabonge nyanya kivipi? Kama kiuchumi Russia ipo nyuma ya UK, German, FRANCE, labda kijeshi ambapo kama Europe itaungana kwapamoja itaweza kuishinda Urusi, lakini kwa nchi moja moja hakuna inayoweza kuishinda Urusi
Wishful thinking,they won't unite ever.And you know what,the West in general is sliding down towards extreme poverty,and will never recover,and that is by design!!Follow the link below to get a grasp of what I am talking about.

By the way America kwenyewe viwanda wamehamishia Asia,watu wao kazi hawana.Hao hao Wamarekani are pulling down Europe with them.Very sad indeed.
 
Hakuna air defense system inayoweza kuzuia kikamilifu projectiles zote. Tunasoma Urusi ana teknolojia kubwa ila wote tuliona namna yale mapipa ya S400 yalivyokuwa yanapasuliwa na drones za kienyeji za Ukraine.
 
Ila mkuu iron dome haikufikia ufanisi hata wa 60%.
Oktoba 7 ripoti yao wenyewe Israel inasema Hamas walirusha maroketi yapatao elfu tano.
Nusu ya hayo maroketi elfu tano yalipenya na nusu ndio yalidunguliwa.
Sasa kuna mfumo hapo kweli mkuu?
 
The first satellite images from the #Toropets ammunition depot show devastating damage, although some areas remain smoky.

New section: 23 buildings destroyed, 80% of bunkers damaged. Old section: 70-90% damage.

In general, according to analysts, it is likely to be a total material loss, although 10-20% can be saved.
 
"We're getting closer to enforcing a much tougher regime on the shadow fleet and the volume of oil Russia can supply to the market," Singh said.
Kwa orodha hii hapa chini ya vikwazo dhidi ya Russia kutoka US na wenzake! Bado unaimani na vikwazo kufanya kazi kwa Russia!?

Ila mkuu iron dome haikufikia ufanisi hata wa 60%.
Oktoba 7 ripoti yao wenyewe Israel inasema Hamas walirusha maroketi yapatao elfu tano.
Nusu ya hayo maroketi elfu tano yalipenya na nusu ndio yalidunguliwa.
Sasa kuna mfumo hapo kweli mkuu?
Kaka 2006 iron dome ilifanya interception kwa 97% hiyo ni baada ya radar kupima trajectory na kugundua asilimia kubwa ya ya marocketi yataangukia sehemu kubwa ya makazi ya watu, hakuna Air defense iliyofanya vizuri kuizidi iron dome
 
Hiyo 2006.
Vipi kuhusu ripoti ya mwaka huu na mwaka jana??
Wewe kama mwalimu utatizama performance ya mwanafunzi wako ya miaka 10 ilopita au ya mwaka huu??
 
Watu waliozungukwa wanapitia wapi kutokea Kursk? Propaganda nyingi sana kwa upande wa Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…