Humu chai zipo za kutosha mkuu yani ni tafrani.Watu waliozungukwa wanapitia wapi kutokea Kursk? Propaganda nyingi sana kwa upande wa Russia.
Ila nyie Pro UkraiNATO Kwa ujuaji hamjambo,mnajua Kila kitu.Unajidanganya
Mabonge nyanya kivipi? Kama kiuchumi Russia ipo nyuma ya UK, German, FRANCE, labda kijeshi ambapo kama Europe itaungana kwapamoja itaweza kuishinda Urusi, lakini kwa nchi moja moja hakuna inayoweza kuishinda Urusi
Watu waliozungukwa wanapitia wapi kutokea Kursk? Propaganda nyingi sana kwa upande wa Russia.
Humu chai zipo za kutosha mkuu yani ni tafrani.
Huenda watawatumia mateka hao kubadilishana POWKwa sababu mmetilia shaka taarifa hiyo ya Urusi naona ngoja nitumie nafasi hii kuwaelewesha kidogo maana inawezekana pengine ni udogo wa umri wenu,ama ufinyu wa elimu ya masuala haya, ama ni ubishi TU wa kawaida,nayo sio mbaya inaweza kua ni kutaka kujifunza TU.
Ntaenda na nyinyi taratibu TU,najua mtanielewa.
Iko hivi.
Mpaka kati ya Urusi na Ukraine ni mkubwa sana.
Mkoa wa kursk unapakana na mkoa wa Sumy wa Ukraine.
Mpaka wa kursk na Sumy pia ni mkubwa sana.
Tatizo lenu la uelewa liko hapa.
Unaposikia jeshi Fulani limelizunguka jeshi (kiundi la maadui), kijeshi haimaanishi kuwazunguka kwa kuwaweka kwenye mduara huu wa kawaida mnaoufahamu yaani kuwaweka watu kati.
Katika mazingira ya vita kuwazunguka maadui ni kufunga njia kubwa za kuweza kuingiza silaha kubwa kubwa ama kuingiza misaada mikubwa ama kufunga njia ili maadui wasiweze kutoroka na silaha zao.
Kumbuka hapo kursk waukraine wameingia na silaha nzitonzito nyingi sana ikiwa ni pamoja na msululu wa magari,mizinga,vifaru,magari ya mawasilaiano,rada,magari ya kurusha makombora na magari ya ADS na silaha za Kila aina.
Kumbuka huwezi kuingia nchi kama Urusi na vibunduki TU.
Njia walizotumia kuingiza silaha hizo zimefungwa hawana nafasi ya kuingia wala kutoka.
Lakini kama nilivyosema hapo juu kua mpaka mi mrefu sana Kuna viji njia vya panya mito na mapori huko ndiko raia wa kursk wanaotekwa hupitishwa kupelekwa ukraine Kwa kificho.
Mfano mzuri ili mnielewe zaidi ni kwamba,duniani kote, huwezi kuvuka kihalali mpakani kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kwa Barabara, bila kupitia check point kukaguliwa vibali na passport,lakini Kuna watu hua wanapita njia za panya na kuvuka.
.Mfano.
Mexico na USA .
Imefikia mahali Hadi USA wanajenga ukuta kutenganisha kati ya USA na mexico.
Mfano kwa Dar kama Kuna magaidi wameingia na silaha nzito na wapo labda ubungo,kuwazunguka ni kufunga njia zote za kutoka Mkoa wa Dar ambazo ni kuzuia Mkuranga ili wasikimbile mikoa ya Mtwara na lindi,
Kuzuia kibaha ili waikimbilie morogoro
Kuzuia njia ya Bagamoyo.
Sasa je ukiteka watu watano Kila siku na ukiwa na mafunzo na vifaa huwezi kupitia njia za panya kuwasafirisha watu hao?
Kumbuka pamoja na ulinzi wote bado watu wanawinda ndovu wanasafirisha nyara,wanapitisha madawa ya kulevya,wanapitisha silaha,na wakimbizi pia wanatoroka, Iko hivi sehemu mbalimbali duniani.
Hivi ndivyo waukraine wanavyofanya wakiwateka raia wa kursk na kuwapeleka Ukraine.
Unapenda sana kujisifu kuwa mtu mwenye umri mkubwa, elimu mkubwa na mtambuzi wa mambo mengi kumbe uelewa wako ni wastani kabisa.Kwa sababu mmetilia shaka taarifa hiyo ya Urusi naona ngoja nitumie nafasi hii kuwaelewesha kidogo maana inawezekana pengine ni udogo wa umri wenu,ama ufinyu wa elimu ya masuala haya, ama ni ubishi TU wa kawaida,nayo sio mbaya inaweza kua ni kutaka kujifunza TU.
Ntaenda na nyinyi taratibu TU,najua mtanielewa.
Iko hivi.
Mpaka kati ya Urusi na Ukraine ni mkubwa sana.
Mkoa wa kursk unapakana na mkoa wa Sumy wa Ukraine.
Mpaka wa kursk na Sumy pia ni mkubwa sana.
Tatizo lenu la uelewa liko hapa.
Unaposikia jeshi Fulani limelizunguka jeshi (kiundi la maadui), kijeshi haimaanishi kuwazunguka kwa kuwaweka kwenye mduara huu wa kawaida mnaoufahamu yaani kuwaweka watu kati.
Katika mazingira ya vita kuwazunguka maadui ni kufunga njia kubwa za kuweza kuingiza silaha kubwa kubwa ama kuingiza misaada mikubwa ama kufunga njia ili maadui wasiweze kutoroka na silaha zao.
Kumbuka hapo kursk waukraine wameingia na silaha nzitonzito nyingi sana ikiwa ni pamoja na msululu wa magari,mizinga,vifaru,magari ya mawasilaiano,rada,magari ya kurusha makombora na magari ya ADS na silaha za Kila aina.
Kumbuka huwezi kuingia nchi kama Urusi na vibunduki TU.
Njia walizotumia kuingiza silaha hizo zimefungwa hawana nafasi ya kuingia wala kutoka.
Lakini kama nilivyosema hapo juu kua mpaka mi mrefu sana Kuna viji njia vya panya mito na mapori huko ndiko raia wa kursk wanaotekwa hupitishwa kupelekwa ukraine Kwa kificho.
Mfano mzuri ili mnielewe zaidi ni kwamba,duniani kote, huwezi kuvuka kihalali mpakani kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kwa Barabara, bila kupitia check point kukaguliwa vibali na passport,lakini Kuna watu hua wanapita njia za panya na kuvuka.
.Mfano.
Mexico na USA .
Imefikia mahali Hadi USA wanajenga ukuta kutenganisha kati ya USA na mexico.
Mfano kwa Dar kama Kuna magaidi wameingia na silaha nzito na wapo labda ubungo,kuwazunguka ni kufunga njia zote za kutoka Mkoa wa Dar ambazo ni kuzuia Mkuranga ili wasikimbile mikoa ya Mtwara na lindi,
Kuzuia kibaha ili waikimbilie morogoro
Kuzuia njia ya Bagamoyo.
Sasa je ukiteka watu watano Kila siku na ukiwa na mafunzo na vifaa huwezi kupitia njia za panya kuwasafirisha watu hao?
Kumbuka pamoja na ulinzi wote bado watu wanawinda ndovu wanasafirisha nyara,wanapitisha madawa ya kulevya,wanapitisha silaha,na wakimbizi pia wanatoroka, Iko hivi sehemu mbalimbali duniani.
Hivi ndivyo waukraine wanavyofanya wakiwateka raia wa kursk na kuwapeleka Ukraine.
Mkuu umeelezea vizuri sana hongera.Kwa sababu mmetilia shaka taarifa hiyo ya Urusi naona ngoja nitumie nafasi hii kuwaelewesha kidogo maana inawezekana pengine ni udogo wa umri wenu,ama ufinyu wa elimu ya masuala haya, ama ni ubishi TU wa kawaida,nayo sio mbaya inaweza kua ni kutaka kujifunza TU.
Ntaenda na nyinyi taratibu TU,najua mtanielewa.
Iko hivi.
Mpaka kati ya Urusi na Ukraine ni mkubwa sana.
Mkoa wa kursk unapakana na mkoa wa Sumy wa Ukraine.
Mpaka wa kursk na Sumy pia ni mkubwa sana.
Tatizo lenu la uelewa liko hapa.
Unaposikia jeshi Fulani limelizunguka jeshi (kiundi la maadui), kijeshi haimaanishi kuwazunguka kwa kuwaweka kwenye mduara huu wa kawaida mnaoufahamu yaani kuwaweka watu kati.
Katika mazingira ya vita kuwazunguka maadui ni kufunga njia kubwa za kuweza kuingiza silaha kubwa kubwa ama kuingiza misaada mikubwa ama kufunga njia ili maadui wasiweze kutoroka na silaha zao.
Kumbuka hapo kursk waukraine wameingia na silaha nzitonzito nyingi sana ikiwa ni pamoja na msululu wa magari,mizinga,vifaru,magari ya mawasilaiano,rada,magari ya kurusha makombora na magari ya ADS na silaha za Kila aina.
Kumbuka huwezi kuingia nchi kama Urusi na vibunduki TU.
Njia walizotumia kuingiza silaha hizo zimefungwa hawana nafasi ya kuingia wala kutoka.
Lakini kama nilivyosema hapo juu kua mpaka mi mrefu sana Kuna viji njia vya panya mito na mapori huko ndiko raia wa kursk wanaotekwa hupitishwa kupelekwa ukraine Kwa kificho.
Mfano mzuri ili mnielewe zaidi ni kwamba,duniani kote, huwezi kuvuka kihalali mpakani kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kwa Barabara, bila kupitia check point kukaguliwa vibali na passport,lakini Kuna watu hua wanapita njia za panya na kuvuka.
.Mfano.
Mexico na USA .
Imefikia mahali Hadi USA wanajenga ukuta kutenganisha kati ya USA na mexico.
Mfano kwa Dar kama Kuna magaidi wameingia na silaha nzito na wapo labda ubungo,kuwazunguka ni kufunga njia zote za kutoka Mkoa wa Dar ambazo ni kuzuia Mkuranga ili wasikimbile mikoa ya Mtwara na lindi,
Kuzuia kibaha ili waikimbilie morogoro
Kuzuia njia ya Bagamoyo.
Sasa je ukiteka watu watano Kila siku na ukiwa na mafunzo na vifaa huwezi kupitia njia za panya kuwasafirisha watu hao?
Kumbuka pamoja na ulinzi wote bado watu wanawinda ndovu wanasafirisha nyara,wanapitisha madawa ya kulevya,wanapitisha silaha,na wakimbizi pia wanatoroka, Iko hivi sehemu mbalimbali duniani.
Hivi ndivyo waukraine wanavyofanya wakiwateka raia wa kursk na kuwapeleka Ukraine.
Labda ndiyo sababu ya rais wao kutaka kufanya mabadiliko anahisi Kuna informer wa Urusi kwenye vyombo vyake vya usalama na wanaomzungukaNATO secret operations headquarters destroyed in Kiev
September 21, 2024
According to preliminary data, more than two dozen military and infrastructure facilities working in the interests of the Ukrainian army were subjected to Russian strikes last night. One such target, a secret NATO Operations Center, was destroyed.
Heavy long-range attack drones hit arsenals, areas of troop deployments, sites with armored vehicles, and fuel storage facilities from Kharkiv to Ivano-Frankivsk.
As midnight arrived, local time, air raid sirens howled in Ukraine, and Russian Geranium drones attacked Ukrainian military facilities throughout the country.
A massive blow was inflicted on Kharkiv. An entire military unit was destroyed in the city, including units of the nationalist formation "Azov" and several groups of foreign mercenaries withdrawn for rotation.
In addition, the workshops of several military supply companies were hit.
In the Poltava region, large fuel storage facilities intended for Ukrainian troops operating in Kursk, Russia were hit. A large fire that broke out after the impact continues to burn today.
In Kiev, an attack by Russian drones cost the Armed Forces of Ukraine several warehouses with ammunition, including NATO cruise missiles, and a base for the repair of military equipment. A training center for personnel of the special operations forces of the Armed Forces of Ukraine was also destroyed.
According to Ukrainian sources, explosions also took place in the city of Kaniv, the purpose of which appear to have been the machine shops of the local hydroelectric power plant, which provides electricity to military enterprises in the Kiev area.
The destruction of military facilities in Cherkasy and Dnipropetrovsk also took place. Several launchers of Ukrainian air defense in those areas were destroyed.
In Ivano-Frankivsk, oil storage facilities are burning and ammunition depots are exploding.
A military airfield in the city of Kolomyia, the reconstructed runway of which COULD receive NATO Air Force fighters, also came under attack. Data on the affected targets continues to come through the network of pro-Russian Resistance in Ukraine.
A shroud of death now covers what used to be a secret NATO headquarters. The main radio communication center of the military intelligence of Ukraine, was destroyed in Kiev.
Link:
NATO secret operations headquarters destroyed in Kiev
According to preliminary data, more than two dozen military and infrastructure facilities working in the interests of the Ukrainian army were...halturnerradioshow.com
We nani kakwambia wanatoka??Watu waliozungukwa wanapitia wapi kutokea Kursk? Propaganda nyingi sana kwa upande wa Russia.
Kwa Historia ya ukaribu wa mataifa haya mawili Ukraine & Russia kiusalama ni ngumu sana kujua nani ninani katika kuvujisha siri. Hii ni kwasababu ya muingiliano ulio kuwepo hapo kabla. Western countries watatumia gharama kubwa kuwatenganisha na wakubaliane tu kuvunja uhusiano uliopo kati ya raia wa nchi hizi mbili ni mgumu na mafanikio yatachukua ya vizazi vingi mbele.....Labda ndiyo sababu ya rais wao kutaka kufanya mabadiliko anahisi Kuna informer wa Urusi kwenye vyombo vyake vya usalama na wanaomzunguka
Si wewe kila kukicha humu unasema Israel ilipigwa 2006? Namimi nikisema hiyo 2006 iron dome ilionyesha ufanisi unasema ni vita ya zamani, haya tuanzie October 7 Hamas peke yake imerusha maroketi zaidi ya 7000 hapo hatujataja Hezbollah na houthi, kati ya mashambulizi yote hayo zaidi ya nusu yamezuiliwa vinginevyo Israel mpaka muda huu ingekuwa majivu,Hiyo 2006.
Vipi kuhusu ripoti ya mwaka huu na mwaka jana??
Wewe kama mwalimu utatizama performance ya mwanafunzi wako ya miaka 10 ilopita au ya mwaka huu??
Twende taratibu kaka.Si wewe kila kukicha humu unasema Israel ilipigwa 2006? Namimi nikisema hiyo 2006 iron dome ilionyesha ufanisi unasema ni vita ya zamani, haya tuanzie October 7 Hamas peke yake imerusha maroketi zaidi ya 7000 hapo hatujataja Hezbollah na houthi, kati ya mashambulizi yote hayo zaidi ya nusu yamezuiliwa vinginevyo Israel mpaka muda huu ingekuwa majivu,
Aisee Toresk ikianguka itakuwa pigo sana maaana ni mji mkubwa kuliko hata Bakhmut, na pia ni mji wa kimkakati
Kaka Israel Bado ina silaha nzito kuizidi hiyo Hezbollah, kuna silaha kama Jericho III, F35, nyambizi, nuclear, huwezi pima mzani kwa kulinganisha Israel na Hezbollah,Twende taratibu kaka.
Vita nzima na ufanisi wa iron dome ni vitu viwili tofauti.
Vita nzima itatizamwa ufanisi wa vifaa hadi ubora wa mbinu.
Mwaka 2006 kipindi Hizbollah anawapiga Israel, Hizbollah ilikua kundi dhaifu lisilo na silaha kubwa na lilikua lina wafuasi ama wapiganaji wasiozidi 10k.
Sasa je sasa hivi wana ballistic missiles, vifaru, anti tank missiles,drones na wana wapiganaji laki moja itakuaje??
Irone dome Gaza Hamas walirusha maroketi 5k nusu ya 5k yalipenya.
Tena maroketi ya Hamas ni home made.
Hizbollah Kaskazini Galilaya alifanya operation ya guided missiles 680 hakuna hata shambulizi moja iron dome iliweza kuzuia.
Bro sema mwenyewe huo ufanisi uko wapi??
Je Hizbollah ikisema waanze kutumia hypersonic missiles si itakua maafa Israel?
Hizbollah anapokea silaha kutoka Iran.Kaka Israel Bado ina silaha nzito kuizidi hiyo Hezbollah, kuna silaha kama Jericho III, F35, nyambizi, nuclear, huwezi pima mzani kwa kulinganisha Israel na Hezbollah,
Alafu nitajie AD yenye performance nzuri duniani kuizidi iron dome