Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
,π€π€π€π€π€π€π€π€πππππππBless bruh, I admire your commitment
Wewe ndiyo unajua kuliko hawa?? Tupunguze ujuaji kwenye vitu ambavyo hatuvifahamu. Tujifunze kuukubali ukweli hata kama unauma.huwezi kuilinganisha significance za miji hii
Kipanya anakuja kukuambia" leo warusi 1200 wamelambishwa mchanga"Oh kipa Mpira umemshinda ugledar ndo hiyo kuanzia Leo jinale ni Russian Federation
Dah!Miji muhimu hambayo imekuwa ikitajwa sana na vyombo vya habari vya urusi na magharibi ni chasiv yar na pokrovsk., huwezi kuilinganisha significance za miji hii na hiyo vuhuledar
Watabadundulia hadi kiev achana na mapanya ma takwimu zake za chumbani kwake na beberu bidenNasikia Urusi imeteka wanajeshi 800 wa Ukraine huko Valuder.
Kwa lugha nyingine wamejisalimisha
Hiyo ndo SMO ya Russia malengo yapo palepale na Donbas yote huenda ikachukuliwa kufikia mwishoni mwa November au mwanzoni mwa 2025.Tunakuja huko chasiv yar ndugu yangu
Awamu hii yule mbabe alligator aka k 52 atawepo
Siunamjua vurugu lake?
Bila kuisahau OdessaHiyo ndo SMO ya Russia malengo yapo palepale na Donbas yote huenda ikachukuliwa kufikia mwishoni mwa November au mwanzoni mwa 2025.
siku ODESA ikichukuliwa na URUSI nitakunywa VODKA kwa furaha.Bila kuisahau Odessa
Kumbe unasikia! Endelea kusikia.Nasikia Urusi imeteka wanajeshi 800 wa Ukraine huko Valuder.
Kwa lugha nyingine wamejisalimisha
exchange fund imekua replenished msemo wa zelensky na syrsky!Nasikia Urusi imeteka wanajeshi 800 wa Ukraine huko Valuder.
Kwa lugha nyingine wamejisalimisha