Tena watu wa EU limewatoka viserikali vyao vinaanguka hali ya uchumi mbaya wameua watu Ukraine imeharibika na wanaambiwa Zele akisema arudishiwe eneo apambane mwenyewe USA haimoo"Our opponents believed they would deliver a knockout blow to Russia, but that did not happen," said Putin.
Hakuna media ya kijinga kama CNN
Urusi harudishi miili ya wanato, anarudisha waukraine tuu, wanati wanapigwa viberiti to ashesKviv wao Hawana hii tarifa, tarifa iliyopo ni kupokea miili ya waUkraine na NATO 567
Hii ndege ilikua ya Russia ama⚡Russia and Ukraine exchanged bodies of killed soldiers -- 37 Russian for 563 Ukrainian.
62 bodies were reportedly prisoners of war killed in the downing of an Il-76 aircraft in the Belgorod region on January 24, 2024.
Acha uchawa, nchi gani dunia hii inaweza pigana na nchi 32? Hata marekani yenyewe haiwezi, sijui mashabiki wa Putin mmelishwa nini aiseeNimeipitia kwa haraka
===
1. “Some of these troops have already taken part in hostilities against the Ukrainian military. Yes, there are already losses, this is a fact.”
He did not specify which side suffered the losses.
=> Inaoneka matokeo si mazuri kwa upande wa NATO huko Kursk
----
2.The Ukrainian president said from Budapest Thursday that world leaders are not listening hard enough to his pleas to allow Kyiv to use long-range weapons as it faces a “new wave of escalation” involving “the army of another state in the war against Ukraine.”
=>Hivi wanaojinasibu kuwa Ukraine imeisimamisha Russia, wanajisikiaje wanapoaibishwa na kauli hizi za Zelensiky! Kama kweli Ukraine wapo wenyewe na si nchi 32 za NATO na wengine kama Australia, inakuwaje muombe ruhusa ya kutumia nyenzo za kujilinda?
----
3.But Zelensky fears a greater role for North Korean troops if its allies fail to exert more pressure on Putin.
=> Sasa North Korea ambayo tunaambiwa ni nchi ya masikini sana, inakuwaje iogopeke namna hii?
HakikaTusichoke kuwaombea warusi ndugu zangu, wanachinjwa mno 🥱🥱🥱🥱View attachment 3147776
Alikwambia nani mtu ataishi milele? Mimi mwenyewe nipo tayar kufa kwa kutetea nchi yanguZele ni mtu mpuuzi sana yaani hana hela hana silaha lakini anataka kupigana aue watu nchi nzima waishe anapigwa kila leo maeneo yanaenda
Donald trump sio mtu wa kumuamini, yawezekana ilikuwa ni sababu wa kuombea kura tu, ila ngoja tuone itakavokuwa make sera za nje za marekani zinajulikana.Majirani wapatane tu.... Zelensky hana option zaidi ya kupatana na jirani yake
USA haimo kivipi? Usijifanye kuwa umeongea kwa niaba ya marekani, tusubiri kauli Donald trump ndio atakaeamua kuwa vita viendelee au visitishwe, hizo kauli sijui Ukraine Hana chake ni uvumi tu, trump hatabirikiTena watu wa EU limewatoka viserikali vyao vinaanguka hali ya uchumi mbaya wameua watu Ukraine imeharibika na wanaambiwa Zele akisema arudishiwe eneo apambane mwenyewe USA haimoo
Sio kirahisi hivyoMajirani wapatane tu.... Zelensky hana option zaidi ya kupatana na jirani yake
Yes bibie,of course binafsi naona Ukraine akikubali kuachia Crimea na huku akirudishiwa mikoa yote minne yaani kheson Donetsk Lugansk zapolzhia itakuwa ni favor kubwa sana kwakekp kipanya44 upo?? Watu wanataka kumaliza vita!
Trump ally says Ukraine focus must be peace, not territory
An ally of President-elect Donald Trump says the incoming administration will focus on achieving peace in Ukraine rather than enabling the country to gain back territory occupied by Russia.
Trump ally says Ukraine focus must be peace, not territory
Bryan Lanza tells the BBC there needs to be an "honest conversation" with Kyiv and returning Crimea is not a US priority.www.bbc.com