kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Punguza hasira Wao wamesema hawamo hufuatilii mamboUSA haimo kivipi? Usijifanye kuwa umeongea kwa niaba ya marekani, tusubiri kauli Donald trump ndio atakaeamua kuwa vita viendelee au visitishwe, hizo kauli sijui Ukraine Hana chake ni uvumi tu, trump hatabiriki
Wamesema wapii, trump bado hajaapishwa, mazungumzo hayajafanyika, hujui kuwa mazungumzo yanaweza kukwama na vita vikaendelea, tokalini wanasiasa wakaaminika? Acha uchawaPunguza hasira Wao wamesema hawamo hufuatilii mambo
Karibu sana kwenye jukwaa. Hapa tunapashana habari za ukweli ukweli unadhibitishwa na ushahidi usiotiliwa mashaka. Ushahidi ukiwa na mashaka, basi wanajukwaa wanaleta ushahidi wa ukweli usio na mawaa! Ni kwa msingi huo huo, Mkuu, Nina imani hutaliangusha jukwaa.Acha uchawa, nchi gani dunia hii inaweza pigana na nchi 32? Hata marekani yenyewe haiwezi, sijui mashabiki wa Putin mmelishwa nini aisee
inazidi kuchakazwa
Kremlin imekanusha taarifa hii asubuhi ya Leo wakiita ' fiction'Je,vita itaisha??
Trump and Putin 'discuss Ukraine in call' - as Biden to urge president-elect 'not to walk away' from Kyiv
Kremlin denies Trump and Putin call discussing Ukraine - as Biden to urge president-elect 'not to walk away' from Kyiv
Reports say the Ukrainian government was aware Donald Trump and Vladimir Putin reportedly spoke on the phone - and didn't object, but its foreign ministry said it was "impossible" Ukraine would have endorsed such a call.news.sky.com
Trump calls Putin – WaPo
The US president-elect has reportedly called the Russian leader to discuss the Ukraine conflict and its potential settlement
Trump calls Putin – WaPo
US President-elect Donald Trump has called Russian President Vladimir Putin to discuss the Ukraine conflict, the Washington Post reportswww.rt.com
Trump, Putin speak as Biden plans to lobby Trump to stick with Ukraine
Huenda kuna mahali panaenda kusambaratishwaNaona kuna TU-95 8 bombers ziko angani
Wapi umeziona wakati upo hapa KibadaNaona kuna TU-95 8 bombers ziko angani
Ila huyu jamaa mjinga ujueElon
Kama ulishawahi kuona wanayama wawindaji wanavyo fundisha watoto wao kuwinda ni hivi.Kumbe mziki ulikuwa haujaanza!
Large group of Russian and North Korean forces prepared to retake Russia’s Kursk region from Ukraine
Russia has amassed a large force of tens of thousands — including recently arrived North Korean troops — to carry out an assault on the Ukrainian positions in Russia’s Kursk region expected in the coming days, a US official told CNN on Sunday.
The New York Times reported Sunday that some 50,000 Russia and North Korean troops are set to take part in the assault.
Sun November 10, 2024
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1855709320836481407