kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Na huko Kursk Ukraine anasonga mbele kwa Kasi.., pamoja na back up ya north Korea huko Kursk Ukraine anachanja mbuga tuRasmi!!! URUSI imeingia jiji la Kupyansk,
UongoNa huko Kursk Ukraine anasonga mbele kwa Kasi.., pamoja na back up ya north Korea huko Kursk Ukraine anachanja mbuga tu
Najua ni ngumu kumeza hiyo, Kursk ni karata muhimu sana kwa Ukraine,kawekeza rasimali muhimu huko ndio maana urusi anatumia kila mbinu lakini hajamzuia Ukraine kusonga mbeleUongo
Lete ushahidi ambapo Ukraine imesonga mbele hara mwezi huu huko kurskNajua ni ngumu kumeza hiyo, Kursk ni karata muhimu sana kwa Ukraine,kawekeza rasimali muhimu huko ndio maana urusi anatumia kila mbinu lakini hajamzuia Ukraine kusonga mbele
Rasmi!!! URUSI imeingia jiji la Kupyansk,
Warusi walichinjwa vibaya sana walipojaribu kuingia kupyanskRasmi!!! URUSI imeingia jiji la Kupyansk,
😂😂😂 iyo labda Kursk ya kibadaNa huko Kursk Ukraine anasonga mbele kwa Kasi.., pamoja na back up ya north Korea huko Kursk Ukraine anachanja mbuga tu
😂😂😂😂😂 achana na habari izo za kutoka chanzo cha Ukraine.tunavyongea muda huu Warusi wanakaribia kufika katikati ya mji.wewe upo bize kusema awajaingia🤣🤣🤣Warusi walichinjwa vibaya sana walipojaribu kuingia kupyansk
Ukraine repels Russian attempt to enter Kupiansk, military says
"The city is under the control of Ukraine's Armed Forces," General Staff spokesperson Andrii Kovalev told Ukrinform.kyivindependent.com
Hapa ndo utaamini ma nchi ya magharibi yanatawaliwa na US. Kama ni mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi kama tunavoaminishwa kwa nini wasi fill hilo gape endapo US itasitisha misaada kwa Ukraine? Ni kutwa kuibuka na matamko kuisemea US. Nchi za Ulaya wana shida gani?Ukraine's collapse would be a bigger humiliation for the U.S. than its withdrawal from Afghanistan, former U.K. Foreign Secretary William Hague said at The Telegraph's podcast on Nov. 13.
Ukraine to receive weapons from US every week - Pentagon
Russian propagandists have accused the Russian military command of producing false victorious reports and ordering doomed assaults on Ukrainian positions in Kursk Oblast.