Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Waelimishe wewe basi,maana Kila siku unajinasib humu kuwa wewe una akili sana.Haaahaaa!!! Yaani umemuana huyo jamaa kichwa sana hadi unamuambia awaelimishe watu humu JF.
Ila sikushauri utimie lugha za matusi humu,nakushauri tujadiliane kwa hoja.Mbona kama unawabembeleza members,au mmeanza ushogaππ€©
Wewe Jamaa una uchungu sana π€©π
This is more than what democracy can do...Huyu ndio putin,he is cum, anatumia akili nyingi,ubinadamu pia ...kuna watu hapa jana wamebwabwaja sana kuhusu huyu mwamba ,wengine wakamuita dhaifu,mala Russia inaanguuka ..now you see?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1859651965808198113?t=eRfLlnjlPhxm0qA9EBvWMw&s=19
hii shambulio hata wataaramu wameshindwa kuelewa utendajiksxi wake.Huyu baladhuri Zelensky si alisema makombora yataongea yenyewe?
Sasa atulie yaongee.
We jamaa una akili fupi sanaKama Putin ana hizo nguvu mnazo claim hapa anashindwa nini kuimaliza Ukraine na kuiondoa kwenye uso wa dunia??
Jamani mlioko hapo ubalozini 33 Pyatnitskaya StreetHuyu ndio putin,he is cum, anatumia akili nyingi,ubinadamu pia ...kuna watu hapa jana wamebwabwaja sana kuhusu huyu mwamba ,wengine wakamuita dhaifu,mala Russia inaanguuka ..now you see?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1859651965808198113?t=eRfLlnjlPhxm0qA9EBvWMw&s=19
| Moscow | |
|---|---|
| Location | Zamoskvorechye |
Hayo maonyo tumeyasikia mara nyingi sana,anasubiriwa afanye kweli Ili wahuni wapite na kichwa chakePutin warns of retaliation against countries providing weapons to strike Russia
Moscow will respond decisively and in kind to any aggression, the president has said
Putin warns of retaliation against countries providing weapons to strike Russia
Moscow has asserted that it has the right to strike the military facilities of countries that allow the use of their weapons against Russian territory, President Vladimir Putin has said.
The head of state made the remarks during a public address on Thursday, promising a decisive response to any aggression.
βWe will determine the targets during further tests of our newest missile systems based on the threats to the security of the Russian Federation,β Putin stated.
The president continued: βWe believe that we have the right to use our weapons against the military facilities of those countries that allow their weapons to be used against our facilities.β
SureThis is more than what democracy can do...
Tuone kichapo heavy,Cha kumtia adabu Ukraine.Ila hiki Cha kupiga maghala ya silaha na vyanzo vya umeme Ukraine wameshakua sugu aiseee.Huyu ndio putin,he is cum, anatumia akili nyingi,ubinadamu pia ...kuna watu hapa jana wamebwabwaja sana kuhusu huyu mwamba ,wengine wakamuita dhaifu,mala Russia inaanguuka ..now you see?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1859651965808198113?t=eRfLlnjlPhxm0qA9EBvWMw&s=19
Afanye kweli,red lines zote zimeshavukwa.
Tunaanza kushambulia taifa gani bibie, UK ama USA..,au ndio tunaufyata mkia hivo πππTamba baba, walitaka kutusahulisha na Netanyahu!
Putin says Ukraine hit with 'intermediate' range missile by Russiapublished at 20:23
President Vladimir Putin says this morning's attack in the central Ukrainian city of Dnipro was carried out with a "new conventional intermediate range" missile. It was codenamed Oreshnik, he adds.
Putin says Russia hit Ukraine with new intermediate-range ballistic missile
The Russian president says the strike was in response to Ukraine's "use of American and British long-range weaponry".www.bbc.com
Ukraine war latest: Trump 'hopes to announce minerals deal tonight' - after Zelenskyy's olive branch and truce talk
Donald Trump is hoping to announce an agreement with Ukraine in front of Congress tonight, according to Reuters. Earlier, Volodymyr Zelenskyy said it's "time to make things right" after his White House argument with Trump. Listen to the latest Trump 100 podcast below.news.sky.com
Jamaa Hana Cha kufanya zaidi ya kutamba na hizo intercontinental missiles hambazo hata kiduku mwenyewe anazo ππAfanye kweli,red lines zote zimeshavukwa.
Bro achana naye huyo mi binafsi NATO wameshanichosha maana wanatupa kazi mbili mbili kwa pamoja yaaniIla sikushauri utimie lugha za matusi humu,nakushauri tujadiliane kwa hoja.
Sijakutukana na wala hiyo makala yangu ulivyo quote haikua inakuhusu wewe.
Nakuomba sana tuendelee kujadiliana kwa heshima.