LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
🤣🤣
 
Ni wazo zuri maana humu tunaelimishana mimi pia nimesoma mahali siwez kushupalia sana vitu ambavyo hata mimi sijui tuchangamshe jukwaa tuu siku ipite
Kumbe ulisoma mahali , Achana na hizo simulizi dini hazina chochote ambacho inafanya katika kuiendeaha dunia kinacho endesha Dunia ni Mataifa yenye nguvu ya kiuchumi kijeshi na kisiasa pamoja na Sera zao , ndio maana mataifa hayo yanaweza kuamua Leo tuipige Tanzania tumtoe Raisi madarakani na wakafanya hivyo wakati mataifa hayo yanafanya hivyo huyu Mungu Muweza wa yote anaye sifiwa ktk dini Anakuwa yupo Tu ana Angalia Jinsi Tanzania inavyo onewa , Dini ni scammer
 
Urusi na Marekani hawana kujuan hivyo.
Makubaliano Yao ni pale TU anaangalia maslahi yake.
Lakini hawa ni mahasimu kweli kweli.
Kila mmoja anamuombea mabaya mwenzie.
Hakunaga urafiki baina ya Nchi na nchi zinazo taka kutawala dunia , Maana mmoja anapokusa super power zaidi ya mwingine means lazima atacheza rafu ili mwingine asiwe Juu yake , unapo kuwa Juu ya mwenzio tafsiri yake ni lazima utataka kumtawala mwenzio hapo ndio balaa linapo anzia
 
Nipeni update maana sikuwepo muda sana, naskia vile vijitu vifupi toka Korea vinafyekwa ni balaa
 
Huyu Gaidi waliempachika Syria hata suti hajawahi kuvaa..Hawa watu washenzi.sana
 
EUROPE CONTINUES TO PREPARE FOR WAR WITH RUSSIA- The Deputy Head of the Polish Ministry of Internal Affairs, Duszyk, in an interview with the Financial Times said that Poland is building a road and a railway close to the border with the Kaliningrad region of the Russian Federation. In order to allow the rapid transfer of thousands of troops and security forces if necessary.
 
NATO Official Warns of Rising Threats from Russian Hybrid Attacks

James Appathurai, NATO’s Deputy Assistant Secretary General for Policy Affairs on Innovation and Cyber Technologies, warned of the growing risks posed by Russian hybrid warfare, including sabotage and arson, in an interview with Sky News.

Appathurai emphasized the need for NATO members to agree on what level of “grey zone” activity — unconventional attacks below the threshold of traditional warfare — could trigger a collective Allied response, including military force.

He highlighted the alarming rise in Russian hybrid actions, such as cutting undersea cables, sabotaging buildings, and planting incendiary devices in aircraft cargo, since Russia’s invasion of Ukraine. According to Appathurai, NATO members have thwarted numerous plots, though dozens have succeeded, with more than 100 known incidents.

He expressed concern that a major hybrid attack could result in significant casualties or economic damage, potentially crossing the threshold for invoking NATO’s Article 5 collective defense clause:
“What really worries me is that one of these attacks... will break out on a large scale. We don’t want to be unprepared for what comes next.”
 

Russia launches attack on Kyiv, hits infrastructure in Ukraine's north​


Separately, unidentified infrastructure was hit in a Russian missile attack in the town of Shostka, in the northern Sumy region, authorities said on Telegram. Local Telegram channels reported rounds of explosions in the area.

December 31, 20249:35 AM GMT+3

 
After Z-propagandists began to spread information that the Ukrainian Armed Forces are preparing a new offensive, the Russian mil blogger Romanov now also shared similar expectations.

"No later than 07.01.2025, the enemy will strike at the junction of the Kursk and Belgorod regions. The enemy has gathered a force of up to 20,000 soldiers, including those trained in the West and redeployed from the Donetsk region.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…