Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 649
- 1,461
Umeelewa nilichojibu ama umekimbilia kucomment. Drone jumla zilikuwa hizo 337 kwenye mikoa tofauti tofauti Ila zilizodunguliwa kabla ya kuingia Moscow zilikuwa 74. Hata taarifa ya Russia imeeleza hivyo.Kipanya kaleta habari ya drone 337 kudunguliwa katika mikoa 10 tofauti. Wewe unasema 74 tuamini lip
Security guarantee aliyohakikishiwa ni ipi Zaidi ya kuambiwa kuwa atarudishiwa msaada aliokuwa amekatiwa?Zelensinky akusaini mara ya kwanza kwa sababu hakupata security guarantee..,mara hii amesaini kwa sababu marekani imemuhakikishia usalama pasina shaka kwenye maeneo yaliyopo hayo madini😎
Kama ulipata orodha ya kila kitu kilichojadiliwa tuwekee hapa Ili tusiendelee kuandikia mate🤔Security guarantee aliyohakikishiwa ni ipi Zaidi ya kuambiwa kuwa atarudishiwa msaada aliokuwa amekatiwa?
Aliyeleta issue ya guarantee ni mimi au wewe? Anayepaswa kuleta ushadi wa guarantee alizipewa Ukraine ni wewe mkubwaKama ulipata orodha ya kila kitu kilichojadiliwa tuwekee hapa Ili tusiendelee kuandikia mate🤔
Kwa hiyo kumbe amehakikishwa usalama kwenye eneo la madini na sio nchi nzima?Zelensinky akusaini mara ya kwanza kwa sababu hakupata security guarantee..,mara hii amesaini kwa sababu marekani imemuhakikishia usalama pasina shaka kwenye maeneo yaliyopo hayo madini😎
Wewe ndie ambae huelewi, Taarifa ya Kipanya inasema zimenduguliwa 337 source ni DW aliyoleta. 74 kuelekea Moscow, na zilizopiga 300. Sasa nakuuliza hio majuzo zilirushwa zaidi ya drone 700 ndani ya siku Moja?.Umeelewa nilichojibu ama umekimbilia kucomment. Drone jumla zilikuwa hizo 337 kwenye mikoa tofauti tofauti Ila zilizodunguliwa kabla ya kuingia Moscow zilikuwa 74. Hata taarifa ya Russia imeeleza hivyo.
Gharama ya nini wakati kule kina migodi kama yote.umesahau iloKumbuka Moja ya malengo ya hii vita ni kimpigisha urusi dandana mpaka ateme bung'o., marekani apoondoka Vietnam au huko Afghanistan na kwingineko,sio kwamba alikuwa hasongi mbele,bali ghalama ya vita haikuingia akilini na alichokipata.,hata urusi USSR huko Afghanistan hakufukuzwa bali hakupenda kupoteza ghalama sana kwenye vita hambayo wenye nchi hawako tayari kurudi nyuma
Ukraine hawajasaini chochote bado, isipokuwa wamekubali mapendekezo yalotengenezwa na Marekani (draft proposal).Zelensinky akusaini mara ya kwanza kwa sababu hakupata security guarantee..,mara hii amesaini kwa sababu marekani imemuhakikishia usalama pasina shaka kwenye maeneo yaliyopo hayo madini😎
Mkubwa naona wewe ni mbishi, baki na ubishi wakoWewe ndie ambae huelewi, Taarifa ya Kipanya inasema zimenduguliwa 337 source ni DW aliyoleta. 74 kuelekea Moscow, na zilizopiga 300. Sasa nakuuliza hio majuzo zilirushwa zaidi ya drone 700 ndani ya siku Moja?.
“It’s an indication that they want to raise the stakes and they are preparing something to pressure the Donald Trump administration back into some aggressive action against Russia,” Lavrov said. Moscow will not compromise on “the fate of the Russian people,” he added, referring to Russian citizens and ethnic Russians in Ukraine.Ukraine from the hub
“It’s an indication that they want to raise the stakes and they are preparing something to pressure the Donald Trump administration back into some aggressive action against Russia,” Lavrov said. Moscow will not compromise on “the fate of the Russian people,” he added, referring to Russian citizens and ethnic Russians in Ukraine.Hivyo tutarajie Russia kuja na jibu lolote kutokana na watavyosoma hiyo “ceasefire proposal”.
Endelea kujilazimisha kumuelewa asieeleweka, nasisi tunajaribu kukuelewa usieeleweka!Trump nilikuwa namchukia lakini ni kama naanza kumuelewa kidogo,yeye anatafta amani,ni kama vile hapendelei urusi Wala Ukraine,anachaotafuta ni mauaji yakome!
(1) 😂😂😂😂 Ebu acha kuchekesha watu walionuna.kwani huyo USA kasitisha lini iyo misaada, kabla ya kusitisha hali ilikuwaje na sasa kimebadilika nini.Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na
1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images
Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃
Mwache huyu jamaa anaweza kujinyongaKipanya 44 ebu tupe habari ya Kurks.bado mnasonga mbele kuelekea mkoa gani mwingine ndani ya Urusi😂😂😂