LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Watu humu kujifanya wanajua,duh!
Kila habari,ooh fake news,ooh propaganda za magharibi!
Kwahiyo tuwaamini nyinyi mlioko uwanja wa vita nyuma ya keyboard?![emoji16]bongo bwana!
Basi wanaposema fake news walete hizo news ambazo sio fake basi ,wanaishia kuongea tu.

Ngoja tuendelee kuangalia aljazeera,CNN,BBC tuone hizo fake news!
 
We mwenyewe huu uzi umesoma au ndio unaona watu waliopo jF ni jobless watasoma tu
 
Vijana wa siku hizi hasa waliojazana Bavicha, Ngome ya Vijana wa ACT na UVCCM hata bastola sidhani kama wanaweza kushika, wao ni kuvaa milegezo na visuruali vifupi tu.

Ila mdomoni sasa maneno kama chiriku na kuwaza wizi na ufisadi tu siyo maendeleo na ulinzi wa taifa.

Nawashauri sana vijana wa leo akina Pambalu, Nondo na Kenani jifunzeni uzalendo kutoka Ukraine siyo za mdomoni hazina maana yoyote mambo yakichafuka.

Sabato njema!
 
Marekani ana influence mambo mengi sana mfano wewe humpendi marekani lakin unatumia bidhaa zake mfano facebook, Instagram, android, iphone n.k hivyo ni baadhi mmarekani kumeupaka ni kujiondoa kwenye mfumo wa dunia
Nani kasema hampendi Mmarekani ?

Mbili corporations hazina nchi; wao mwisho wa siku ni Profit, kwahio hata Marekani alivyojitahidi productions za Iphone na kazi zote zirudi USA alishindwa (sababu its cheaper and efficient) kutengeneza China....

Power is shifting.., America hana influence as he used to be.., na America its new in comparison na mataifa mengine; before America there were other superpowers and after America they will come others.....; Always empires Rise and Fall na Advantage aliyonayo China ni Watu ambao sio Wabishi (Obidient either kwa woga / propaganda au design)..., America has their own problems like everyone else and his influence is not as it used to be
 
Kwani kuna shida gani kuonyesha? Wao si wanataka waonekane kuwa ndo wameshinda wababe wana nguvu si ndo vzr kuonyesha?
 
Kuna taarifa kuwa Russia wamezuia hadi watu wao wasifungue baadhi ya mitandao ya jamii. Sidhani kama kuna TV kutoka huko itakayokuwa na uhuru wa kueleza what is going on exactly. Hata hivyo Russian wamekaribia sana kumiliki Eukraine.
 
Huku mapigano ya majeshi ya Russia yakipamba moto nchini Ukraine, rais Putin kaionya Sweden na Finland wasije kujaribu kuvuka mstari wake mwekundu kwa kujiunga NATO. Ikumbukwe kuwa nchi hizo zote mbili za Nordic countries, zinashea mpaka na Russia kama ilivyo Ukraine.

=====


Vladimir Putin has threatened Sweden and Finland with ' military and political consequences' if they join NATO.

Maria Zakharova, Russia's foreign ministry spokeswoman, says there will be serious repercussions for their close Arctic neighbours.

As Russia's invasion of Ukraine intensifies, they have sent out another warning about crossing President Putin.

Both Scandinavian nations share a border with Russia.

Zakharova said during a news briefing: "Finland and Sweden should not base their security on damaging the security of other countries and their accession to NATO can have detrimental consequences and face some military and political consequences."
 
Mbona zipo Cuba na hakuna vurugu
 
Marekani ana influence mambo mengi sana mfano wewe humpendi marekani lakin unatumia bidhaa zake mfano facebook, Instagram, android, iphone n.k hivyo ni baadhi mmarekani kumeupaka ni kujiondoa kwenye mfumo wa dunia
Huwapendi lakin unatumia vitu vyao sio
 
Putin alikuwa anawadanganya , unajua ukiweka bajeti kubwa ya silaha na unakuwa huna pa kuzitumia unaanza choko choko ili upate pa kuzitumia ....!!! Atafurah
 
Unafikiri kurusha ICBM ni sawa na kurusha kishada, ndugu?!
 
NATO na Marekani kama wanaona mbali,Huyu Puttin ni wa kuondolewa madarakani bila kuchelewa vinginevyo kuna siku watajuta.
 
Silaha za msaada alizopewa Ukraine na Nchi za Magharibi zimetua mikononi Russia Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wamepata shehena kubwa za silaha mpya za kutoka Nchi za Magharibi. hili ni pigo jingine kubwa kwa NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…