LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia is extremely concerned that nationalists in Ukraine may use chemical weapons - Russia's permanent representative to the OPCW Shulgin
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Hili mbona liko wazi. BAADA ya kutengwa Iran kiuchumi kwa mda Mrefu Sasa ni zamu ya Russia kuonja uchungu wa vikwazo kamili. Vikwazo kwa Russia havitakuwa vichungu bila Mafuta ya Iran,Venezuela na Iraq kuingia sokoni.

Ngoja tuone Kama Iran itamsaliti Urusi ili kuondolewa vikwazo.
Iran wakati imewekewa vikwazo Urusi ilikua inauza mafuta kama kawaida.
Sasa kwanini ionekane usaliti wakati Iran ni taifa huru na Lina maamuzi yake.
 
Mabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
 
Iran wakati imewekewa vikwazo Urusi ilikua inauza mafuta kama kawaida.
Sasa kwanini ionekane usaliti wakati Iran ni taifa huru na Lina maamuzi yake.
Kama Iran, Venezuela na Iraq wakikataa kuuza Mafuta kwa Marekani na Ulaya Basi ujue Marekani na Ulaya hawawezi kuweka vikwazo vya Nishati kwa Urusi.

Kama Iran anaushirika wa kweli na Urusi Kama tunavyoaminishwa Basi asusie kuwauzia Mafuta Ulaya.
 
Ushahidi wa kuondoka nazo hunao?

Halafu pantisir sio short range kama ulivyosema ni medium range.

Short range zao ni Iskander.

Bado hii haiwafanyi kwa kipindi kifupi kuweza kufanya decoding na kutumika kwenye vita hii.

Kwani Wamarekani wameacha kutumia Blackhawks na B 52 bomber.

Walivyoacha Afghanistan ni siraha nyingi na za hatari.

Acha uongo siku nyingine
B52 Bado Ni bomber inayoendelea kutumiwa na jeshi la Marekani
 
payment system ya china CIPS nayenyewe inatumia System za SWIFT kuoperate ht kwe domestic transactions, pia unatumia yuan pekee kwa both domestic na crossborder transactions so russia labda atumie mfumo wake mwenyew ambao nao unfny kaz day time tu siku za kazi lkn unaweza kutumika urusi, armenia, kazakhstan na uturuki hivi kitu km hicho
Kaka mfumo wa SWIFT umefungwa kwa baadhi ya bank,na katika Bank zingine unaendelea kama kawaida.
 
Kama Iran, Venezuela na Iraq wakikataa kuuza Mafuta kwa Marekani na Ulaya Basi ujue Marekani na Ulaya hawawezi kuweka vikwazo vya Nishati kwa Urusi.

Kama Iran anaushirika wa kweli na Urusi Kama tunavyoaminishwa Basi asusie kuwauzia Mafuta Ulaya.
Kwanini Iran akatae wakati kipindi kile amebanwa na vikwazo Urusi iliendelea kufanya biashara kama kawaida. Na Mrusi hakuonekana msaliti?
 
Wewe jamaa na war monger na ushabiki wako wa Russia , haiko rational unatuma taarifa za upande mmoja huoni aibu kwa upuuzi unaofanya unashabikia waukraine kufa il

Ukweli mchungu siyasifii mabeberu ila majamaa yamejipanga Sana, taasisi zao zina nguvu na hazikuota kama uyoga. Uwezo wa kuanzisha Russia mashindano yake anao ila yatakosa mvuto kama tunavyoona msimumuko wa UEFA. Mabeberu yakikukalia kooni hutoboi yako smart sana kwenye logistics na mikakati yao ya medani. Pro russia wengi wa bongo mnatokana na pedagogies zilizotumika kuwafundisha mashuleni na vyuoni kuwachukia mabeberu ila yanapositive side. Kumbuka hawa mabeberu yame engineer market economy na mifumo mingi ya pesa, ukayaangalia mabeberu kwenye negative eye yana positive pia
NYUNDO YA MOTO huwa anadai anatoa taarifa zisizokuwa biased 😂.Mkuu hawa Pro Russia wenyewe wanaongea haya kuwapondea Mabeberu lakini wengine unakuta wanakula bata Nchi za Mabeberu au ndoto zao ni kwenda kuishi huko.Ikitokea wakapewa option ya kwenda kuishi Russia au USA sote tunajua watakimbilia kuishi USA.Twende nao hivyo hivyo hapa Jamvini lakini katika uhalisia wa maisha wote dreams zao ni kwenda kutafuta maisha au kuishi kwa Mabeberu

Swala la kuanzisha mashindano yake mwenyewe ya mpira nnje ya UEFA ni sawa na kuanzisha Ndondo Cup,hao Footbollers wa Russia wanadream na wanapenda kwenda kuchezea Clubs kubwa kubwa kwa Mabeberu leo hii uwafungie Russia na mashindano yako ya Ndondo Cup nani atakubali?

SLAVA UKRAINE.
 
Kumbuka USA alikuwa anavipiga nchi ndogo ndogo vya dunia ya tatu kwa msaada wa nchi wanachama NATO. Na katika harakati zake hakupata vitisho wala vikwazo toka nchi zote kaama ilivyo kwa sasa kwa Urusi.
Wakati ule US wanavamia nchi zingine walikuwa pampja na Mungu kwa sababu hakukuwa na taifa ambalo lingeipiga US kwa wakati uKumbuka USA anavamia vinchi vya dunia ya tat
 
This video, according to social networks, is filmed as the Ukrainian Armed Forces transport weapons, in particular the British NLAW, in civilian vehicles.

The Russian military has previously stated that Ukrainian nationalists are using the civilian population of their cities as human shields. These words are confirmed by the refugees who managed to escape.
View attachment 2143570
Sijaona "human shield".
 
Back
Top Bottom