Special thread-yanayojiri USA Los Angeles janga la moto

Special thread-yanayojiri USA Los Angeles janga la moto

jonas amos

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
3,645
Reaction score
4,438
Kutokana na moto unaoendelea kuweka huku miundombinu likiendelea kuharibika
Zipo taarifa kadhaa ikiwamo moto huo kuhusishwa na ugaid
Na kama itakuwa ndivyo basi marekan atakuwa amevuliwa nguo

Kwa siku ya Jana mshukiwa mmoja amekamatwa akiwa ni simu za mkononi Tano na kadi za bank zinazohusishwa na kutolewa na UN pia amekutwa nazo

Mpaka sasa UN hawajatoa taarifa yoyote Aisha kukanusha au kukubali

Maeneo ya Los Angeles kwa sasa ni Bora gaza majumba yamekuwa majibu bila kupigwa mabomu
Njiti tu ya kiberiti inamduwaza mbuyu wa Dunia

Naomba tuendelee kupeana yanayojiri wengine si wataalamu wa uandishi sio fani zetu

Lakini naitamani kuwaona wale wamerekan weusi wa bonyokwa

Iran
Urus
China
Syria
Kimyaa
 
Screenshot_20250112-114156.png
 
Hivi kwa uharibifu uliotokea huko,kuna bomu lingeweza leta madhara kama hayo?

Next time watengeneze bomu la carbon dioxide, moto kama huo unapigwa hilo bomu inatulia.
 
Ila mbona huwa inatokea moto kama ule, si mara moja, ila awamu hii ulikuwa ukisambaa kwa upepo na ulikuwa sio kawaida
 
Yule katibu wa UN aligombana na Bwana Netanyahu pengine wanataka kumchomoa kwenye kiti
 
Yani huyo kijana mmoja aliwezaje sambaza moto wote ule!??

Hapana.. nahitaji elewa zaidi aisee..
Kwa akili yangu binafsi moto huo wa kimkakati kutoka maadui wa USA
Si moto wa kawaida
 
Back
Top Bottom