Sasa hivi ubao unasomekaje mkuu?Me maoni yangu wazuie tu wasipigwe mengine maana naona shughuli ni pevu leo
Waarabu 2 - 0 yang offtimeSasa hivi ubao unasomekaje mkuu?
Vipi game imekwisha?Mwarabu keshatugonga Mbili kwao...
Dooh Yanga[emoji22] [emoji18]Waarabu 2 - 0 yang offtime
Vipi game imekwisha?
Dakika ya 47 kipindi cha pili kimeanzaVipi game imekwisha?
Mtu mpaka sasa kesha chukua chuma 3-0Mapumziko,,matokeo ni mbili moja
Yanga timu,pigwa goli 4 tu urudi kwenu dimbwiniMapumziko,,matokeo ni mbili moja
Tayari 3 - 0Ngapi?