Specialist wa ENT

Specialist wa ENT

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
282
Reaction score
62
Habari,
Wadau nasumbuliwa na masikio, naomba mnisaidie namna ya kumpata daktari bingwa wa ENT kwa hapa dar, yupo hospitali gani, iko wapi n.k.
Nashukuru kwa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom