Specialist wa Russia walichambua kombora la Uingereza - Storm Shadow

Specialist wa Russia walichambua kombora la Uingereza - Storm Shadow

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Kombora la Storm Shadow linalotumiwa na Ukraine Kushambulia Russia, hatimaye limedakwa zimazima Sasa lipo maabara likichambuliwa kama samaki,, hapo ndio kwisha habari yake kama HIMARS Russia akishalisoma analitengenezea jamming yake ukilituma analirudisha lilikotoka nakulipua.

Russian specialists are actively studying the enemy's Storm Shadow cruise missiles.

IMG_20240330_152545.jpg
IMG_20240330_152547.jpg
IMG_20240330_152549.jpg
IMG_20240330_152550.jpg
 
Walitegemea mrusi apagawe ndo aanze kutumia vitu vyake vipya, badala yake wamepagawa wao,, yale mavifaru yao waliyokua wanayasifia mrusi kayafumua yote ,walete tena vitu vipya jamaa avifumue,,,kikinuka zaidi ndo yeye awaonyeshe maajabu yake
Na ameshawambia anazisubiri F 16 azichome moto
 
🤣 Hiyo storm Shadow Sasa imeshakua useless mchina anaenda kuitoa kwa gharama nafuu kila mtu apate
Hata sisi huku Tanganyika tutapewa kwa gharama nafuu sana,Wakikuyu wakituletea za kuleta tunawatwanga mchana kweupe.
 
Walitegemea mrusi apagawe ndo aanze kutumia vitu vyake vipya, badala yake wamepagawa wao,, yale mavifaru yao waliyokua wanayasifia mrusi kayafumua yote ,walete tena vitu vipya jamaa avifumue,,,kikinuka zaidi ndo yeye awaonyeshe maajabu yake
Kama upo kwy muvi vile unavyoongea
 
Hata sisi huku Tanganyika tutapewa kwa gharama nafuu sana,Wakikuyu wakituletea za kuleta tunawatwanga mchana kweupe.
Tubadili jembe la mkono kwanza haya mengine baada ya miaka 100 maana jembe ni 500 years tangu litengenezwe
Sisi hata power tiller hatujaiga daa sad
 
Back
Top Bottom