#Magufuli_Effects. Safari ya Kwanza ya Treni ya Umeme hapa Tanzania itakuwa Mwezi Novemba Mwaka huu wa 2019, itakuwa kutoka Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Ikumbukwe hii ni baada ya ujenzi wa reli ya SGR ambayo inatakiwa kufika Mwanza na Kigoma kukamilika awamu ya kwanza ya...