Speculations behind Kanumba's death

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Hebu tufikirie kwa undani kuhusu sababu zinazoelezwa na madaktari kuhusu kilichosababisha kifo cha Kanumba,"Brain concusion", nijuavyo mimi Concusion ina madhara ambayo ni minor kama kupoteza fahamu kwa muda na siyo sudden death, labda kama ingekuwa" Brain contusion" ambapo ubongo unakuwa umeumizwa sana ambapo inahitajika force kubwa zaidi na tukumbuke anayedaiwa kumsukuma, Lulu hana nguvu nyingi kihivyo za kuweza kumsukuma mwanaume kama kanumba na kuweza kubamiza kichwa kwa force kubwa.

Na ukiangalia mahali alipobamiza kichwa ni kwa chini kimo cha mtu aliyekuwa amechuchumaa siyo aliyesimama.

People, lets think out the box,may be there was a third person.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…