Speech ya Obama kwenye kongamano la Democrats

Wewe unazungumzia namna ya kusoma hotuba au kutoahotuba mwenyewe?

Obama ana uwezo mzuri wa kudeliver a.k.a kusoma speech lakini sidhani kama ana uwezo mzuri wa impromptu speech
 
Obama ni kati ya top 3 best orators/public speakers kati ya marais wote wa Marekani.
 
Sijawahi kumkubali obama nasijawahi kuwakubali marais wote wamarekani tokea nianze kuwajua

Ila ukianza kuwaangalia kina bush ukija kwahawa makatuni waliopo sasa trump na biden na hata huyu mgombea kamala

Naukiangalia hata viongozi wengine duniani obama ukimpa jukwaa analitendea haki

Jamaa akiongea anaongea hasa anapangilia hasa

Ila ni mshenzi na muuaji tu kama wauaji wengine mbwa mkubwa huyo jamaa
 
Kamuua nani??
ndege JOHN njoo usikie stories nyingine huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…